M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,203
- 23,020
Kichwa cha uzi kinajieleza chenyewe.
Humu JF nako tume join bandwagon ya walalamikaji tu (yes, you are right....hata mimi hapa hivi niandikapo sasa - huu ni ulalamishi tu!).
Ukienda twitter huko ndiyo usiseme kabisa - ni kulialia tu!
Kinachosikitisha kuliko vyote ni ni kumsikia kiongozi mkuu wa mhimili wa mahakama (jaji mkuu) naye eti analalamika. Tafsiri hapa ni kwamba mhimili unaopaswa kusimamia haki za Watanzania nao umepanda "Walalamikaji Express Train" kuelekea I don't know where, badala ya kusimamia haki kwa vitendo. Huyu (jaji mkuu) mimi binafsi ameniumiza sana - bora angejinyamazia zake tu!
Lakini sioni aibu kukiri udhaifu wetu wa kulalamika lalamika - ni hatua muhimu kuelekea kwenye kupata ufumbuzi. Wale wachambuzi wa masuala ya kijamii, kiuchumi, kibiashara, nk nina uhakika mnakijua kitu kiitwacho SWOT.
S - tunazo tele
W - zipo lakini karibu zote zinaweza kuwa negated na hazina tele ya "S" tulizo nazo
O - uoga wa watawala
T - ni sisi wenyewe (siyo watawala)
Tuache kulalamika. Tuichambue "SWOT matrix" yetu kisawasawa.
cc: Zitto John Mnyika