Video: Cheki bongo star search ya Iran na Ayatollah ndio jaji

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Jul 5, 2018
6,191
13,614
Mzuqa!

Hizi sankshen za Marekani dhidi ya Iran balaa na zina effect kubwa sana.

Pia ukitazama kwa makini utamuona Qassim Solemani kwenye mstari wa mbele akilia sana enzi za uhai wake huku kafunika uso wake kwa kiganja.
Screenshot_20200112-034611.jpg


Inaonekana hii ni kama bongo star sech yao ama X Factor yao. Nimecheka balaa. Bora enzi za Utawala wa Shah.

 
Back
Top Bottom