jaji mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kyagata

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia anapenda kufanya kazi kwa ukaribu na watu kutoka mkoa wa Mara?

    Jaji mkuu mstaafu Prof Ibrahim Juma ni mwenyeji wa mkoa wa Mara, Jaji mteule Maseju nae ni mwenyeji wa mkoa wa Mara. IGP mstaafu Simon Sirro ni mtu wa Mara, IGP wa sasa pia ni mtu wa Mara. ADC wa Rais Samia nae ni mtu wa Mara, pia nimedokezwa hapo ikulu kwa sasa wasaidizi wengi wa mheshimiwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hongera Jaji George Masaju kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama Tanzania, nakuomba pokea ushauri huu ambao mtangulizi wako aliukataa

    Hongera sana Jaji George Masaju, sina shaka kabisa na wewe kuhusu utendaji wako wa kazi, umeandaliwa vizuri, ulikuwa mwanasheria mkuu wa serikali na kazi ilionekana, ukaenda kuwa mshauri wa Mhe Rais na kazi imeonekana, sasa piga kazi sisi vijana wako tunaounga mkono serikali hata kama hatuko...
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu George Masaju baada ya kuapishwa anza na mambo yafuatayo;-

    Kwanza nampongeza Jaji Masaju kwa kuaminiwa na Mhe. Rais na kumteua kuwa Jaji Mkuu mpya wa Tanzania. Mara baada ya kula kiapo tunashauri aanze na mambo yafuatayo;_ 1. Ondoa uonevu na upendeleo ndani ya muhimili wenyewe, jenga umoja na mshikamano. tenda haki kwa watumishi wote bila upendeleo...
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Jaji mkuu alishatoa mwongozo kuwa hakuna mtuhumiwa kupandishwa kizimbani mpaka upelelezi ukamilike. Kwa nini Hakimu huyu anaegemea upande wa Jamhuri?

    Mwongozo upo wazi kabisa na ulitolewa na Jaji mkuu wa Tanzania. Hii ilikuwa ni kupunguza mrundikano wa mahabusu. Sasa kama Jamhuri haikamilisha upelelezi kwa nini Lissu alikamatwa na kupandishwa mahakamani. Kama makosa ni kuchapisha maneno na kutamka maneno ya uchochezi na uhaini upelelezi...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu nitakukumbuka kwa kuziondolea mamlaka ya kutoa hukumu Ward Land DisputeTribunals maana walikuwa wanakula rushwa na kuharibu kesi za watu

    Naomba nikushukuru kwa hilo. Rais alisema you are soon exiting. Hili kwangu ni jambo jema maana lilikuwa linaleta kuuana huko vijijini.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Jaji Mkuu wa India juu ya Katiba na Mihimili 3 ya nchi. IPO kwa KiingerezaConstitution is supreme, not us': CJI Gavai urges harmony between

    Constitution is supreme, not us': CJI Gavai urges harmony between judiciary, executive, and Parliament | India News - The Times of India In his first public address since assuming office, Chief Justice of India B R Gavai on Sunday asserted that it is not the judiciary, executive, or Parliament...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu tafadhali pitia marekebisho ya sheria ya kutumia Kiswahili kwenye mahakama, kuna mkanganyiko mkubwa

    Kuna conflicting decisions na mambo mengine ambayo yanafanya matumizi ya kiswahili kuleta shida mahakamani. Mawakili wanaweza kukupa undani wa hoja hii. Sisemi Kiswahili wakiache matumizi yake yasiwe ya lazima, kuwa na flexibility ya kiingereza na kiswahili mtu achague anataka kutumia lugha...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Rais wa Ghana amasimamisha kazi Jaji Mkuu: Uhuru wa mahakama mashakani

    Sitaki kuandika juu ya sababu za kumsimamisha, my concern is the Idependncy of the Judiciary! Ghana president suspends chief justice in unprecedented move Rais wa Ghana, John Mahama, amemsimamisha kazi Jaji Mkuu wa Mahakama ya Juu – tukio la kwanza katika historia ya nchi hiyo. Uchunguzi...
  9. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Kama Rais anachaguliwa na wananchi, Spika wa bunge anachaguliwa na wabunge, kwanini Jaji mkuu asichaguliwe na majaji?

    Kama kuna mhimili wa dola unaodharaulika, kutumiwa vibaya na kudhoofishwa basi mhimili wa mahakama ndio kinara. Sijaona mantiki kwa nchi yenye mihimili rasmi ya dola mitatu inayojitegemea, yaani Rais (serikali), bunge na mahakama, halafu Rais kwa mamlaka yake awe ndio anayeteua mkuu wa mhimili...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Uhuru wa Mahakama: Mahakama yasitisha amri ya Trump ya kuzuia uraia wa kuzaliwa Marekani

    UHURU WA MAHAKAMA Kwako Ibrahim Juma , CJ. MH. JAJI MKUU NAOMBA UPITIE UONE KAMA KUNA HAJA YA KUIGA MFANO HUU WA MAHAKAMA HURU Jaji wa Mahakama ya Wilaya ya Marekani, John Coughenour, ametoa agizo la muda la kusitisha utekelezaji wa amri ya Rais Donald Trump ya kufuta uraia wa kuzaliwa nchini...
  11. Cute Wife

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu Martha Koome aituhumu serikali kwa kumuondolea walinzi wake. Asema ni shambulio dhidi ya Mahakama na Ofisi ya Jaji Mkuu

    Wakuu, Jaji Mkuu Martha Koome ameituhumu serikali, kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani, kwa kuondoa walinzi wake, hatua ambayo ameielezea kama shambulio dhidi ya Mahakama na ofisi ya Jaji Mkuu. Koome alitoa madai hayo katika barua aliyoiandika Alhamisi kwa Waziri wa Mambo ya Ndani Kipchumba...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ikiwa nafasi ya uenyekiti tu wa chama mnabagazana namna hii ingekuwaje kama mngeshika dola kuhusu nafasi ya Waziri Mkuu, Spika, Jaji Mkuu na Mawaziri

    Nimekuwa najiuliza sana kama nafasi ya uenyekiti wa chadema tu mnaongea hadi mnapitiliza, mnatukanana hadi wazazi wenu, mmefikia hatua ya kuua udugu wenu, zogo kila kila siku, kila mwanachama anaita vyombo vya habari anafyatuka tu, Mbowe anaongea kule, Lissu anaongea pale, Lema yuko kule, Heche...
  13. Satirical Yet Awesome

    JamiiForums Tanzania Trump kumuekea vikwazo Karim Khan, Jaji mkuu wa mahakama ya ICC baada ya uamuzi wake dhidi ya Benjamini Netanyahu

    🚨HABARI: Donald Trump kumuekea vikwazo jaji mkuu wa mahakama ya ICC Karim khan kwa maamuzi ya mahakama hio ya kutoa hati ya kukamatwa kwa Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu 🚨NEWS: Donald Trump will SANCTION a British lawyer ‘Karim Khan’ over the International Criminal Court’s arrest...
  14. Ikaria

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jaji aliyemhukumu IGP Masengeli kifungo jela apokonywa walinzi; Jaji Mkuu Koome ataka warejeshwe mara moja

    Jaji wa Mahakama ya Juu Lawrence Mugambi amepokonywa walinzi wake siku tatu tu baada ya kumhukumu kifungo cha miezi 6 jela Kaimu Inspekta Jenerali Mkuu Gilbert Masengeli, kwa kosa la kudharau mahakama. Kufuatia kitendo hicho Tume ya Huduma za Mahakama(JSC) ikiongozwa na Jaji Mkuu Martha Koome...
  15. Midimay

    JamiiForums Tanzania Eliezer Feleshi anaweza kuja kuwa Jaji Mkuu?

    Eliezer Mbuki Feleshi ni jina ambalo halitajwi kwenye Kada ya sheria hapa Tanzania saana isipokuwa wakati ule was DP World. Lakini huyu ni mtu ambaye hadi sasa amebakiza cheo kimoja kizito tu katika Justice system ya Tanzania. Ni rare situation kumtokea mtu mmoja. Eliezer Feleshi amekuwa DPP...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu Prof. Ibrahim Juma, jengo la Mahakama ya Mwanzo Temeke limekamilika lakini wananchi bado wanasumbuka kwenda Tandika kupata haki zao

    Mhe Prof. Ibrahim Juma, Jaji Mkuu na Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania. Nakusalimia na pole kwa kazi. Mhe. CJ tunafahamu jengo jipya la Mahakama ya Mwanzo Temeke limekwisha, kwa sasa mahakama ya mwanzo Temeke iko Tandika katika nyumba ya mtu binafsi ambayo bila shaka itakuwa imekodiwa. Mhe...
  17. kunguni masta

    JamiiForums Tanzania Kwa Jaji mkuu Tanzania

    Binafsi Sina uelewa wa sheria kabisa, ila naomba hizi mahakama za mwanzo ziondolewe au zifutwe kabisa kwani huku ndio kimbilio letu sisi masikini na wajinga na sisi tusio na akili, Kwa mfano Mimi Kuna kesi nimeenda kumdhamini mtu anadaiwa kiasi kisichazidi mil 1 Nina barua anayonitambua...
  18. chiembe

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Jaji Mkuu ana taarifa kwamba majaji wa Mahakama Kuu siku hizi "Wanaandikiwa" hukumu na watu tunaopishana nao magengeni na kwenye baa?

    Nadhani kuna haja ya Mahakama kufanya tathimini katika hili jambo. Majaji wengi hawaandiki hukumu kwa mkono wao na fikra zao binafsi, wanaandikiwa hukumu! Ukifanikiwa kumjua anayemuandikia hukumu Jaji, hata kama una kesi ya namna gani, utapata upenyo tu! Wakati Rais anateua Majaji, kwa kweli ni...
  19. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Video Clip: Jerry Silaa adai kuna Jaji anamlinda tapeli wa viwanja

    Awali "Y" alikuwa Wakili na aka attest nyaraka za Mzee "X". Hatimaye Tapeli "Z" akadhulumu kiwanja, kesi ikafunguliwa. Na kwa bahati mbaya ikaanguka kwa Jaji "Y" ambaye ndiye alikuwa Wakili wa Mzee "X". Na sasa Jaji "Y" anawaita Mawakili wa Serikali kutaka kuwa CORRUT. Je huyu Jaji "Y" ni...
  20. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Askofu Dkt. Philemon Mollel: Kuteuliwa kwa Makonda ni fursa kwa wakazi wa Arusha kutatuliwa kero zao

    Askofu Dkt. Philemon Mollel (Monaban) , ambaye pia ni kada wa CCM, mfadhili mkuu wa CCM Arusha, anayejiita mtu wa kiroho, wa Kanisa la Kilutheri Afrika Mashariki[Aliasi kutoka KKKT akafungua Kanisa lake la KKTA] amesema kitendo cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan...
Back
Top Bottom