Kama Jaji na hakimu wakiamua kesi kwa haki na haki imeonekana ikitendeka mbele ya jamii, kazi ya Jaji na hakimu itakuwa kazi kama kazi nyingine tu. Hakuna haja ya hofu kwa majaji.
Ujira mdogo hauathiri utoaji haki kwa majaji na mahakimu tu bali hata kwa wafanyakazi wa fani zote. Huwezi kuwa...
Nahisi kama tangu tumepata uhuru huyu atakuwa Jaji mkuu ambae yupo linked na siasa.
Analialia kuwa yeye na mahakimu wake wana hali mbaya kimaslahi hivyo anaomba waongezewe posho.
Hapa mahakama zitakuwa huru?
Mimi nilitarajia aombe mabadiliko ya sheria ambayo yatamfanya awe na mhimili ambao...
John Mnyika akiwa ni mbunge na Anna Makinda Spika wa bunge, kuliendeshwa mjadala wa ama ni sahihi wakuu wa Wilaya na mikoa kuwa mamlaka ya nidhamu Kwa mahakimu au si sahihi.
Mjadala ule ulioendeshwa mpaka zaidi ya saa nne usiku Mnyika alipinga kabisa wakuu wa mikoa na wilaya kuwa mamlaka ya...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali atakapokuwa amekamilisha tafasiri ya matoleo ya kisheria kwa lugha ya Kiswahili, tutaanza pia kuandika hukumu kwa Kiswahili. Nimeambiwa yuko katika hatua za mwishoni, na sheria tayari ilishatungwa inayosema lugha ya Mahakama itakuwa ni ya Kiswahili." - George...
Yote aliyosema Jaji mkuu yanaakisi Mmomonyoko wa uwajibikajo kwa taasisi nyingi na Baadhi ya Sekta na Wizara,, hususa Wizara ya Afya na Sekta ya Afy.
Nchi imekua na utendaji mbovu kutokana na watumishi kutopewa stahiki zao, kubadilishiwa Miundo ya Mishahara kulingana na hali ya kiuchumi...
Anonymous
Thread
jajijajimkuu
mganga
mganga mkuu wa serikali
mkuu
serikali
Jaji Mkuu George Mcheche Masaju akizungumza wakati Rais Samia Suluhu kufungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama (Judiciary Square), mkoani Dodoma, leo Januari 13, 2026.
Jaji Mkuu George Mcheche Masaju amezungumzia kuhusu maslahi ya Watendajiw a Mahakama mbele ya Rais Samia Suluhu ambaye anafungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama (Judiciary Square), mkoani Dodoma, leo Januari 13, 2026.
Jaji Mkuu George Mcheche Masaju amesema hayo wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama (Judiciary Square), mkoani Dodoma, tarehe 13 Januari...
Anaandika Martin Maranja kwenye ukurasa wake wa Instagram
Bwana Jaji Mkuu, George Masaju.
Unauliza nani anasema Mahakama haipo huru? Hebu tueleze ni kwanini kesi ya uhaini inayomkabili Tundu A.M Lissu haijapangiwa tarehe na kwanini hafikishwi Mahakamani shauri liendelee?
Je, huo ndiyo uhuru...
Jaji Mkuu wa Tanzania, George Mcheche Masaju, amesema changamoto ya rushwa bado ipo ndani ya taasisi muhimu za utoaji haki, akisisitiza kuwa nidhamu na uwajibikaji ndiyo nguzo kuu zitakazosaidia Mahakama kufikia hadhi inayokusudiwa na Rais Samia Suluhu Hassan.
Akizungumza Septemba 24, 2025...
Jaji mkuu Tanzania ana uwezo mkubwa wa kuwa shujaa kipindi hiki. Achana na uchawa wa mahakama hakuna kazi nyingine kubwa utapata.
Weka heshima yako na ya mahakama yako utakumbukwa kama Nyalali. Bila hivyo unaweza vilevile kudhaulisha mahakama.
Nimemtazama na kumsikiliza Jaji Mkuu George Masaju mwanzo mwisho akiseminisha na kuelekeza majaji wake hapa. Anaonekana kuwa na mtazamo chanya contrary na mambo yalivyo chini ya utawala wa Rais Samia..
Swali ni: Atadumu kweli ktk hiyo nafasi yake kwa tabia yake ya kusisitiza HAKI, HAKI badala...
Ghana's President John Mahama has fired the country's Chief Justice Gertrude Torkornoo following a recommendation by an inquiry.
She had been on suspension since April after complaints were lodged against her in petitions by three individuals.
A president-appointed commission then found that...
Wakuu,
Akizungumza jana Agosti 18 kwenye katika ufunguzi wa kikao kazi cha taasisi, zinazounda utatu Jaji Mkuu George Masaju ametaka mahakama kuwa na utaratibu wa kumaliza kesi zilizoko mahakamani mapema iwezekanavyo na kuacha kuahirisha ovyo bila sababu za msingi
"Haki sawa kwa wote mapema...
Ndugu Jaji mkuu:
Nakusalimu
Hivi karibuni kumezunguka mtindo wa kuibuliwa kwa kesi nzitonzito ambazo zinaonekana dhahiri ni za kisiasa. Tumeshuhudiwa Ndugu Mwabukusi, Dr Slaa na Mdude Nyagali wakifunguliwa kesi ya uhaini. Lakini ukiangalia sababu ya kesi hizo ni kwa sababu ya wao kupinga vikali...
TAARIFA YA MAKUBALIANO
Kati ya
Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (Tanganyika Law Society – TLS)
Na
Mheshimiwa Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. George M. Masaju
Tarehe: 11 Agosti 2025
Kufuatia ahadi iliyotolewa mnamo Aprili 2025 ya kufika mbele ya Mheshimiwa Jaji Mkuu wa Tanzania, uongozi wa TLS...
Ni agizo alilolitoa mapema mwaka huu baada ya kuapishwa kuwa watuhumiwa wa makosa ya jinai mahakama za mwanzo waww wanajidhamini wenyewe
Tatizo limekuja kuwa gumu baada ya wanaojidhamini mahakamani kutorudi tena na kutokomea kusikojulikana.
Ingawa alielekeza kuwa kesi ziendelee upande mmoja...
Endeleen kupiga makelele ya Wagombea wawe watatu, Mmoja au wawili ila ni Mheshimiwa Jaji Mkuu Masaju atakayemuapusha Mheshimiwa Dr SSH kuwa Rais wa JMT 2025-2030 baada ya ushindi mnono.
Lucas Mwashambwa
Tlaatlaah
ChoiceVariable
FaizaFoxy
Mpwayungu Village
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.