Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 643
- 2,688
Mhe Prof. Ibrahim Juma, Jaji Mkuu na Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania. Nakusalimia na pole kwa kazi.
Mhe. CJ tunafahamu jengo jipya la Mahakama ya Mwanzo Temeke limekwisha, kwa sasa mahakama ya mwanzo Temeke iko Tandika katika nyumba ya mtu binafsi ambayo bila shaka itakuwa imekodiwa.
Mhe. Jaji Mkuu, sijui kama uliwahi kufika pale mahakama ya mwanzo Temeke iliyopo Tandika.
Mazingira sio rafiki kabisa, eneo lenyewe ni dogo, ukifika pale halaf ukaambiwa hapa ndipo haki za watu zinapotolewa utasikitika sana, wananchi wengine wako ndani ya nyumba ya mtu, wengine wako nje kwenye vibaraza vya watu.
Mhe Jaji Mkuu, umeleta mabadiliko makubwa katika mfumo justice dispensation hapa nchini, maboresho mengi yamebadili kabisa tasnia ya mahakama zetu.
Nikuombe sana, watu tukipita pale Temeke ambako jengo jipya limejengwa tunaona limekamilika, kama kuna itifaki zinasubiriwa za kufungua jengo hilo basi zikamilike haraka ili wananchi waweze kwenda kupata huduma pale mahakamani, sio pale Tandika.
Sio vzr mahakama kutumia nyumba ya mtu kufanya shughuli za kutenda haki, itakuwaje cku mwenye nyumba kaingia matatani na ameshtakiwa hapo mahakamani, hata kama kuna mikataba ya kukodi akifanya hujuma je.