Stephanie Italia Ricci (Italian: [iˈtaːlja ˈrittʃi]; born October 29, 1986) is a Canadian actress best known for playing White House Chief of Staff and Special Advisor Emily Rhodes in Designated Survivor.
Hali ya joto nchini Italia inatarajiwa kuongezeka kwa nyuzijoto 12C (53.6F) zaidi ya wastani.
Utabiri wa siku ya Jumamosi kwa JIji la Roma unaonesha kuwa halo iko katika nyuzijoto 37C (98.6F), na 43C (109.4F) siku ya Jumapili.
“Italia, Uhispania, Ufaransa, Ujerumani na Poland zote...
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk (Mb.) amesaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa Italia nchini, kufuatia kifo cha Waziri Mkuu wa zamani wa Italia Mhe. Silvio Berlusconi kilichotokea tarehe 12 Juni, 2023.
Mara baada ya kusaini...
Silvio aliwahi kumiliki team ya AC Milan. Kwa kipindi chake AC Milan ilikuwa ya moto.
======
Aliyewahi kuwa waziri mkuu wa Italia, Silvio Berlusconi amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 86. Nguli huyo kwenye tasnia ya habari ameongoza Serikali tatu za Italia kutoka mwaka 1994 mpaka 2011...
ZIARA YA KIKAZI YA MHESHIIWA JUMAA AWESO WAZIRI WA MAJI NCHINI ITALIA
Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso alifanya ziara ya kikazi Rome-Italy hivi karibu mwezi Mei mwaka 2023.
Akiwa Italia Mhe Waziri Aweso alipokelewa na mwenyeji wake
Balozi wa Tanzania nchini Italia Mheshimiwa Mahamood...
Maaskofu Katoliki wamemaliza hija Roma na pia mkutano wao na Baba Mtakatifu.
Baada ya hapo wamekutana na watanzania waishio Italia hasa katika jiji la Roma wakiwepo wanafunzi.
Wakiongozwa na askofu mkuu Nyaisonga, maaskofu wamewaasa vijana hao kurudi nyumbani Tanzania mara wamalizapo masomo...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb.) amekutana kwa mazungumzo na Balozi wa Italia nchini, Mhe. Marco Lombardi pamoja na Balozi wa Umoja wa Nchi za Ulaya (EU) nchini, Mhe. Manfredo Fanti katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam...
Hukumu imetolewa na Mahakama ya Kijeshi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) juu ya mauaji ya Balozi #LucaAttanasio mwaka wa 2021, licha ya ushahidi wa kesi kuendelea kuwa na utata.
Hata hivyo, Mawakili wa Washtakiwa wametangaza kukata rufaa kupinga hukumu hiyo ambayo awali Waendesha...
Watoto 12 ni miongoni mwa waliopoteza maisha katika ajali hiyo huku watu wengine kadhaa wakiwa hawajulikani walipo ikiaminika ilibeba zaidi ya abiria 150.
Watu 80 wamesalimika na baadhi yao wanasema meli ilikuwa inakaribia Pwani ya Crotone eneo la Calabria.
Meli hiyo iliyotengenezwa kwa mbao...
Raia huyo wa Italia amefariki akiwa na umri wa miaka 58 alipokuwa amelazwa jijini London, England ikiwa ni wiki tatu tangu alipoacha kazi ya kufundisha Nchini Italia.
Alikuwa akisumbuliwa na saratani ya kongosho kwa muda.
Alikuwa straika aliyecheza Timu ya Taifa ya Italia, Sampdoria, Chelsea...
Tukio hilo limetokea baada ya mtuhumiwa kuingia katika mgahawa huo na kuanza kuzungumza kwa sauti “Nitawaua wote humu”, muda mfupi baadaye alianza kufyatua risasi ambazo pia zimejeruhi watu wengine wanne huku mmoja akiwa kwenye hali mbaya kiafya.
Mtuhumiwa ambaye ana umri wa miaka 57...
Sina cha kuongezea, angalia mwenyewe kuanzia dakika 0:40 huyo ni Mkuu wa Serikali ya Italia, member of the EU, Tanzania ilifanya ziara rasmi Ufaransa na kusaini Mikataba kama blue economy, sasa hivi samaki (baharini) Tanzania wamekwisha wamevuliwa wote na foreigners, wamebakia kambale tu, anyway...
Makumi ya maelfu ya Waitaliano wameandamana kwa ajili ya amani huko Roma
Umati wa watu ulimiminika kwenye mitaa ya Roma siku ya Jumamosi kutoa wito wa amani nchini Ukraine. Waandamanaji hao pia waliitaka serikali ya Italia kuacha kuipatia Kyiv silaha na badala yake kushirikiana na Urusi...
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba , Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema na mmoja wa wawakilishi wa Chadema kwenye Mazungumzo ya Maridhiano , John Heche , Amekutana na Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu Nchini Italia .
Mpaka sasa bado haijafahamika ajenda ya kukutana kwao , Bali vikao vizito...
Italy's Prime Minister Mario Draghi (R) submitted his resignation to Italy's President Sergio Mattarella at the Quirinale presidential palace in Rome on Thursday.
Italian Prime Minister Mario Draghi submitted his resignation to President Sergio Mattarella on Thursday, plunging the European...
Taifa hilo limesema linawafukuza Wanadiplomasia 34 kutoka Ufaransa, 27 wa Hispania na 24 kutokea Italia. Mataifa hayo matatu ni miongoni mwa Nchi za Ulaya ambazo zimefukuza Wanadiplomasia zaidi ya 300 tangu vita kuanza Ukraine
Mataifa hayo yaliwashutumu Wanadiplomasia wa Urusi kwa kufanya...
Wawekezaji zaidi ya 140 kutoka Italia wamewekeza katika miradi
mbalimbali nchini Tanzania
Takwimu hizo zimetolewa na Naibu Waziri Wizara ya Madini, Prof.
Shukrani Manya alipokuwa akifungua jukwaa la biashara na
Uwekezaji kati ya Tanzania na Italia lilifanyika Jijini Roma, Italia
leo.
Prof. Manya...
Shirika la Usalama wa Taarifa za Mtandaoni nchini Italia linachunguza jinsi wadukuzi walivyofanikiwa kuiba taarifa za wafanyakazi na watumiaji waliosajiliwa wa Shirika la Hakimiliki la Taifa.
Kundi hilo la Wadukuzi linalojiita ‘Everest’ limedai kuwa linamiliki zaidi ya Gigabaiti 60 za taarifa...
Zaidi ya watu 100 wamesaini barua kuitaka Kamusi ya Mtandaoni nchini Italia, Treccani kubadilisha kisawe cha neno mwanamke katika kamusi yake.
Kampeni hiyo inalenga kuondoa neno 'puttana' kama kisawe cha neno 'mwanamke' ambalo linatafsiriwa kama 'kahaba' wakidai kuwa linamfanya mwanamke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.