israel

  1. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Mkristo kushabikia au kuwa na upande vita vya Israel na Hamas ni matokeo ya ujinga wa maandiko

    Kushabikia Wayahudi au Waislam katika vita hivi ni matokeo ya ujinga wa maarifa. Wayahudi na waislam wote hawamjui Yesu. Wananyozidi kuuana wanaongeza idadi ya watu wa jehanam. Mkristo unatakiwa kuombea amani, na katika amani hiyo hao Wayahudi wasiomjua Yesu na Waislam wakiwemo hamas wasiomjua...
  2. Ritz

    JamiiForums Tanzania Makabidhiano ya mateka: Israel kuwaacha mateka 39 wa Palestina kwa watekaji wa Israel huko Gaza

    Wanaukumbi. BREAKING: ISRAEL YAWAACHA MATEKA 39 WA PALESTINA KWA WATEKAJI WA ISRAELI HUKO GAZA. Israel imewaachilia mateka Wapalestina 39, wanawake 24 na watoto 15. Hamas kukabiliana na mateka 13 wa Israel. Shirika la Kimataifa la Msalaba Mwekundu litasimamia uhamisho huo katika jela ya...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi Mtanzania aliyefariki kwenye mapigano ya Israel na Hamas atunukiwa Shahada na Chuo cha SUA

    Jina la Clemence Mtenga, aliyefariki dunia nchini Israel, limetajwa kuwa miongoni mwa wahitimu katika mahafali ya 42 ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA). Wakati mahafali hayo yakifanyika hiyo jana, mwili wa Mtenga uliagwa usiku wa kuamkia jana mjini Tel Aviv, Israel na kushuhudiwa na...
  4. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Israel kutumia mbinu za Misri, Kujaza maji ya Baharini kwenye mashimo yote walimojificha Hamas

    Mkakati uliopo baada ya kukoswa njia mbadala ya kuwafumua mashimoni Hamas, IDF wamekuja na mkakayi wa kupump maji ya baharini kwenye mahandaki na tunnels za hamas huko gaza. Njia hii iliwahi kutumiwa na Misri huko sinai kwa haohao Hamas. Walikuwa na mahandaki wakipitisha magendo ya silaha na...
  5. MK254

    JamiiForums Tanzania Israel wakamata wakuu wa hospitali ya Shifa, watolee maelezo kuhusu handaki lililogunduliwa humo

    Haiwezekani handaki lililogunduliwa la mita 55 liwe chini ya hospitali bila wao kujua na muda wote walikua wanakana halipo, watahojiwa zaidi. ====================== The director of Shifa Hospital in Gaza City was arrested by Israeli forces on Thursday morning, and taken for questioning by the...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Israel yakubali masharti ya HAMAS kwenye kusitisha mapigano ya vita kwa siku 4. Kwa masharti haya,nani kaelemewa?!!

    Mgogoro wa Israel na Palestine huku ukiendelea kwa mashambt makali,kesho vita vitasinama kwa siku 4. Yafuatayo ni masharti ambayo Israel na HAMAS zimekubaliana kwenye mazungumzo ambayo yamekua yakifanyika nchini Qatar kwa takribani wiki 2 Sasa. Makubaliano hayo yameungwa mkono na USA ambae ni...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Who is winning the battle between Israel and Hamas? Nilitegemea 6 day war or so ijirudie, why not this time?

    Who is winning the battle? Nilitegemea 6 day war or something near to that ijirudie, why not this time? Ina maana Israel nguvu zake kijeshi zinatelemka, and if so , IS IT WRIGHT ONE TO PREDICT THAT existence ya Israel is at stake! Maana waarabu wakipata upenyo, wanaifuta kwenye uso wa dunia...
  8. MK254

    JamiiForums Tanzania Ramani: Mataifa yenye uhusiano mzuri na Israel

    Huku mataifa yanayoongozwa na chuki za kidini yakitaka Wayahudi wauawe na Israel ifutwe kwenye ramani ya dunia, kuna idadi kubwa sana ya mataifa yanayotambua haki ya Wayahudi kuishi dunia hii. Kuna machache yamesitisha uhusiano kama mbinu ya kulalamika kwa jinsi Israel inatembeza kichapo pale...
  9. 100 others

    JamiiForums Tanzania Ubabe wa Israel Kijeshi

    Vile vi operation uchwara kupaisha yale mabati kwenda kupiga vinu vya nuclear kule Syria na Iraq viko wapi? vile vi covert operation vya kipuuzi ambavyo vinapigiwa chapuo miaka na miaka kwenda kuua watu iko wapi? Vistory vya kijinga toka miaka ya 60 vya six days war😂. Hio six days war kashindwa...
  10. Webabu

    JamiiForums Tanzania Jordan imeshapeleka jeshi lake mpakani tayari kwa vita na Israel

    Baada ya muda mrefu wa ukimya jana Jumanne serikali ya Jordan imeongeza idadi ya askari na vifaa vya kivita mpakani na Israel tayari kwa mapigano iwapo Israel itaendelea kuhatarisha usalama wao na kuvunja mkataba baina yao. Hayo yamebainishwa na waziri mkuu wa Jordan,Bisher Khasawneh...
  11. MK254

    JamiiForums Tanzania Israel yapiga kura na kukubali kusitisha mapigo kwa siku tano ili HAMAS waachie mateka 50

    HAMAS wameachiwa unafuu wa mapumziko ya kipigo kwa siku nne, nayo itaachia mateka 50 wa Israel na imeambiwa itaongezewa siku moja kwa kila ikiachia mateka kumi kwa siku, ila baada ya hapo kipondo kitaendelea, na pia hamna cha wafungwa kuachiwa kutoka kwa Israel. Pia haijaelezwa mateka wasio...
  12. Killing machine

    JamiiForums Tanzania Tujiandae na Vita ya Tatu ya Dunia

    Habari wakuu zangu, Kuna msemo unasema "Jela hakuna mateso ila wanao leta mateso jela ni wajelajela wenyewe." Hivyo hivyo duniani ni mahala salama, pana maji, vyakula ardhi nzuri, na vyote Mungu alitoa bure. Yaani ule bure, unywe bure, ujenge popote bure, uwinde bure, uvue samaki was baharini...
  13. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania FT: Tanzania 0-2 Morocco Kufuzu Kombe la Dunia, Novemba 21, 2023

    Naam leo ndo leo majira ya saa 4 usiku kwa saa za afrika mashariki kutakuwa na mchezo kati ya Tanzania na Morocco KUFUZU WORLD CUP: TANZANIA YAPOTEZA 2-0 DHIDI YA MOROCCO KWA MKAPA Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imepoteza kwa magoli 2-0 licha ya kuwa nyumbani kwenye Uwanja wa Mkapa...
  14. Ritz

    JamiiForums Tanzania Israel na Hamas zinakaribia kufikia makubaliano ya kusitisha mapigano na kubadilishana mateka na wafungwa

    Wanaukumbi. Maafisa wa Hamas 'wanakaribia kufikia makubaliano ya mapatano' na Israel na kundi hilo limetoa majibu yake kwa wapatanishi wa Qatar, Ismail Haniyeh alisema katika taarifa. Taarifa hiyo haikutoa maelezo zaidi, lakini afisa wa Hamas aliiambia Televisheni ya Al Jazeera kwamba...
  15. Eddo Sambai

    JamiiForums Tanzania Kwa haya maagizo ya Mungu juu ya Taifa la Israel (1 Samweli 15: 2-3) Kanisa halina budi kuomba

    Ndugu watu wa Jf amani ya Bwana ikae nanyi. Awali ya yote naomba ninukuu 1Samweli 15: 2 - 3 iwe ndio msingi wa mada yangu. 2 - Bwana wa majeshi asema hivi "Nimeyatia moyoni mwangu mambo hayo Amaleki waliyowatendea Israeli, jinsi walivyowapinga njiani, hapo walipopanda kutoka Misri." 3 - "Basi...
  16. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Mazayuni wa Israel wasalimu amri na kukubali masharti yote ya Hamas ya kusitisha mapigano baada ya kuchezea kichapo jana na juzi

    Mazayuni wamechezea kichapo cha maana jana na juzi kutoka kwa Hamas, Hizbollah na Wayemeni kilichopelekea wao kukubali masharti yote ya Hamas ya kusimamisha mapigano. Ikumbukwe kuwa mpaka juzi, Wayahudi walikuwa hawataki kabisa kusikiliza yeyote duniani na kusema hawasimamisha mapigano mpaka...
  17. Webabu

    JamiiForums Tanzania Ndugu wa mateka wapambana vikali na wabunge ndani ya Knesset nchini Israel

    Vita vikali vya maneno vimetokea kwenye bunge la knesset nchini Israel baina ya wabunge wahafidhina wa kiyahudi na makundi ya ndugu za mateka wanaokisiwa 247 walioko Gaza. Mapambano hayo yamesababisha kushindikana kupitishwa sheria ya kifo kwa wafungwa wa kiarabu walioko kwenye magereza ya...
  18. Webabu

    JamiiForums Tanzania Saudia na Marekani wanaisaidia Israel kuua watoto na kuiangamiza Palestina

    Yako mataifa kadhaa ya kiarabu na mataifa ya kiislamau ambayo yameonekana kufanya uzembe katika vita vya Gaza.Hata hivyo taifa la Saudia linaongoza kwa kusaidiana na Marekani kuipa nguvu Israel iue na kuangamiza mpango wa kuundwa kwa taifa la Palestina. Iran iliahidi mstari mwekundu ukivukwa...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Israel anavyolazimisha tulishwe matango pori

    Hii dunia ni ngumu sana. Kwamba IDF inataka tuonyeshwe wanachotaka wao? Hii sasa si ndiyo ile ya mambo zetu na VPN na wale waheshimiwa wa pande za kwetu? Au zile mambo zetu na jamiiforums.co.tz badala ya jamiiforums.com? Kwamba IDF kaona mahandaki ya HAMAS hospitalini, ila tuonyeshwe tu vile...
  20. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Meli ya Israel yatekwa Yemen

    Meli ya Israel imetekwa na Wapiganaji wa Houthi ikiwa na ma baharia wa Kijapani, hii imefuatia tangazo la hivi majuzi kuionya Israel kua meli zake zote zitalipuliwa zikikatisha Yemen [emoji779] [emoji1267][emoji1134]Israeli Ship Seizure Update Israeli media confirmed that Houthis attacked a...
Back
Top Bottom