israel

  1. Ritz

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi wa Israel kachanganyikiwa asema watu wote wanaounga mkono Hamas wafe wote

    Wanaukumbi. WAZIRI WA ULINZI WA ISRAELI ANASEMA WATU WOTE WANAOUNGA MKONO HAMAS LAZIM WAFE WOTE. Alisema wafuasi wote wa Hamas wa Palestina duniani "wanapaswa kufa" hata wale wasio na silaha "waliovaa suti" Baada ya kipigo huko Gaza kila kiongozi wa Israel anasema lake kila mmoja...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Iran yazionya Marekani na Israel juu ya 'matokeo hasi makali' endapo jinai za kivita zitaendelea Gaza

    Iran yazionya Marekani na Israel juu ya 'matokeo hasi makali' endapo jinai za kivita zitaendelea Gaza Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian amezionya Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel kwamba zitakabiliwa na "matokeo hasi makali" iwapo zitashindwa kukomesha kikamilifu...
  3. Mtemi Eno

    JamiiForums Tanzania Baada ya siku 37 mtoto amepatikana chini ya majumba yaliyoripuliwa na wa Israel, Ni Miujiza na dalili Palestine inalindwa kiroho !!

    Ukisikia kitukuu cha mtume ndo ichoo..
  4. MK254

    JamiiForums Tanzania Israel yaanza kutembeza kichapo Lebanon

    Kupumzika ni binguni ila kwa sasa ni mwendo wa kichapo, pia HAMAS waharakishe wanachokifanya, warejeshe maeka fasta ili turudi uwanjani. Israeli forces are shelling targets in southern Lebanon, the Reuters news agency reports, citing state media. There is no immediate comment from the Israel...
  5. Webabu

    JamiiForums Tanzania Israel imebomoa majumba na kuua Gaza; Hamas imeporomosha uchumi wa Israel. Kumbe vikundi vinavyokwenda Israel ni vya watumwa

    Kwa kiwango kikubwa Israel yote inalishwa na shughuli za kilimo na ufugaji zinazofanyika kusini ya nchi hiyo na mpakani na Gaza ambazo asili ya ardhi hizo zenye rutuba zilitwaliwa na wayahudi waliovamia mpaka kufikia 1948. Na hata mashamba ya mitende ya kaskazini ya Israel yapo kwenye maeneo ya...
  6. Webabu

    JamiiForums Tanzania John Bolton, mgomvi wa Trump na mshauri wa masuala ya ulinzi asema Israel imeshindwa vita

    Mmoja ya wanasiasa machachari wa Marekani na aliyekuwa mshauri wa mambo ya ulinzi wa raisi Donald Trump, John Bolton amesema katika vita vinavyoendelea Israel imeshindwa na Hamas. Katika makala yake iliyochapishwa juzi kwenye gazeti la Telegraph, Bolton amesema usitishwaji wa vita wa siku nne...
  7. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Israel ina nini tusichokuwa nacho hata watuzidi katika kilimo?

    Angalia! ~ Nchi yetu ni kubwa mara kadhaa kuizidi. Tanzania ina kilomita za mraba 945,087 wakati Israel ina kilomita za mraba 22,145 tu. ~ Sehemu kubwa ya ardhi ya nchi yetu inafaa kwa kilimo wakati kwa Israeli, nusu ya ardhi ni jangwa. Ni asilimia ishirini tu ya ardhi yote ya Israel ndiyo...
  8. Webabu

    JamiiForums Tanzania Meli ya 3 ya Israel yatiwa nguvuni Yemen

    Huu ni mwaka wa wanamgambo wa Houth kupata ngawira kutokana na vita vinavyoendelea huko Gaza. Muda mfupi ulopita meli nyengine yenye mafungamano na Israel imetekwa kwenye bahari ya Aden Meli hiyo ya inayoitwa central Park inamilikiwa na kampuni ya ZODIAC MARITIME ambayo ni mali ya tajiri wa...
  9. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Kwanini Israel haiwekewi vikwazo kama Urusi?

    Kwanini nchi ya Israel na viongozi wake hawawekewi vikwazo kama ambavyo Russia amekewa kwa sababu ya Ukraine?
  10. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Marekani alipigwa na Vietnam,China kwa sababu ya spirit ya mapambano Israel ana kazi ya kupambana na watu wenye spirit ya mapambano.

    Katika vita jambo la msingi askari awepo vitani anapaswa kuwa nalo ni ile spirit ya kupambana dhidi ya adui kwa hali yoyote ili amuangamize. Hii kwa mifano michache nayo ifahamu ni pamoja na changamoto aliyokutana nayo marekani pale alipokuwa ana pigana na Vietnam marekani alitandikwa na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hizbullah: Utawala wa Israel haukuwa na budi kukubali usitishaji vita kwa kushindwa kukomboa hata mateka mmoja

    Nov 26, 2023 02:26 UTC Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema, utawala wa Kizayuni umelazimika kukubali usitishaji vita baada ya kushindwa kumkomboa hata mateka wake mmoja kupitia mashambulio ya ardhini dhidi ya Ukanda wa Gaza. Usitishaji vita wa siku nne kati ya utawala wa Kizayuni...
  12. Webabu

    JamiiForums Tanzania Israel ilipovunja makubaliano na Hamas wakazuia mateka

    Kwa kweli Israel wamebanwa sana katika hii vita.JWanapigana na mtu ambaye anawafahamu sana hasa katika suala la kuvunja makubaliano na kutotekeleza maazimio.Kwa kujua hilo Hamas wamekuwa wakiendesha vita vyao kwa vipimo madhubuti sana. Katika siku ya pili ya utekelezwaji wa makubaliano ya...
  13. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Inashangaza sana Israel Mbonyi ndiye mwanaziki anayekimbiza kuliko wote Afriki Mashariki kwasasa na kuwaacha hadi wakina Diamond kwa views Youtube

    Israeli mbonyi ni mwanamuziki wa muziki wa injili kutoka Rwanda. Kijana huyu anaimba nyimbo zinachukua views wengi youtube tofauti na wanamuziki wengine wa afrika mashariki. Tumpe pongezi zake. Saivi ana nyimbo zinazobamba youtube ziitwazo ninasiri na Nitaamini. Wimbo wa ninasiri umetoka...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Israel yakasirishwa na Uhispania na Ubelgiji baada ya nchi hizo mbili kusema zitatambua rasmi nchi huru ya Palestina

    Nov 25, 2023 11:03 UTC Netanyahu na mawaziri wakuu wa Uhispania na Ubelgiji Mvutano umepamba moto kati ya utawala haramu wa Israel na Uhispania na Ubelgiji, nchi mbili za Ulaya ambazo mawaziri wake wakuu wamelaani mashambulizi yaliyosababisha uharibifu mkubwa ya utawala huo dhidi ya watu wa...
  15. R

    JamiiForums Tanzania 25/11/2023 Meli ya Israel yashambuliwa na drones za Iran

    Duru za kijeshi za Marekani zinaripoti kuwa meli ya mizigo inayomilikiwa na bilionea wa Israel imeshambuliwa na ndege isiyo na rubani na kusema, "Drone hiyo inashukiwa kuwa ya Iran." Afisa huyo alizungumza na shirika la habari la Associated Press kwa sharti la kutotajwa jina na kusema kuwa meli...
  16. Bome-e

    JamiiForums Tanzania Mambo ambayo sikuwa nayafahamu kuhusu Israel kabla ya "Gaza war"!

    Kwa haya niliyofahamu,basi US na allies wake ni wanafiki wakutupwa na wamejaa double standards! Huu ndio ukatili wa Israel kwa wapalestina! 1.Israel ndio nchi pekee duniani ambayo watoto wanapelekwa mahakama za kijeshi na kuhukumiwa! 2.Israel Wana administrative detention,hii wanaitumia...
  17. Webabu

    JamiiForums Tanzania Ukimya alipozaliwa na kuteswa Yesu kule Jerusalem kwazidi kuitambulisha nafasi ya Israel kwa Waislamu na Wakristo duniani

    Vita vya Gaza vilivyoanzia na mashambulizi ya Hamas ya oktoba 7 yakiwa ndio makubwa kwa miaka 75 katika kutetea ardhi za wapalestina kumeibua mambo mengi yaliyokuwa hayakujulikana na wengi mwanzo. Miongoni mwa mambo hayo ni kuweza kuzitofautisha imani za dini ya kiislamu, kiyahudi na ukristo...
  18. Webabu

    JamiiForums Tanzania Wapalestina kusini ya Gaza wavunja ngome za Israel na kurudi Kaskazini

    Muda mfupi baada ya kusitishwa kwa vita kunakotarajiwa kuendelea kwa siku 4 makundi ya wapalestina waliotiii amri ya kwenda kusini ya Gaza walionekana kuandamana kutaka kurudi makwao. Jeshi la Israel lilisema watu hao hawatakiwi kuvuka barabara kuu ya Salahudin inayoigawa Gaza ya kusini na ya...
  19. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Mkristo kushabikia au kuwa na upande vita vya Israel na Hamas ni matokeo ya ujinga wa maandiko

    Kushabikia Wayahudi au Waislam katika vita hivi ni matokeo ya ujinga wa maarifa. Wayahudi na waislam wote hawamjui Yesu. Wananyozidi kuuana wanaongeza idadi ya watu wa jehanam. Mkristo unatakiwa kuombea amani, na katika amani hiyo hao Wayahudi wasiomjua Yesu na Waislam wakiwemo hamas wasiomjua...
  20. Ritz

    JamiiForums Tanzania Makabidhiano ya mateka: Israel kuwaacha mateka 39 wa Palestina kwa watekaji wa Israel huko Gaza

    Wanaukumbi. BREAKING: ISRAEL YAWAACHA MATEKA 39 WA PALESTINA KWA WATEKAJI WA ISRAELI HUKO GAZA. Israel imewaachilia mateka Wapalestina 39, wanawake 24 na watoto 15. Hamas kukabiliana na mateka 13 wa Israel. Shirika la Kimataifa la Msalaba Mwekundu litasimamia uhamisho huo katika jela ya...
Back
Top Bottom