Makabidhiano ya mateka: Israel kuwaacha mateka 39 wa Palestina kwa watekaji wa Israel huko Gaza

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,978
32,387
Wanaukumbi.

BREAKING: ISRAEL YAWAACHA MATEKA 39 WA PALESTINA KWA WATEKAJI WA ISRAELI HUKO GAZA.

Israel imewaachilia mateka Wapalestina 39, wanawake 24 na watoto 15.

Hamas kukabiliana na mateka 13 wa Israel.

Shirika la Kimataifa la Msalaba Mwekundu litasimamia uhamisho huo katika jela ya kijeshi ya Ofer.

Baada ya Shirika la Msalaba Mwekundu kuwapokea mateka Wapalestina, wale kutoka Jerusalem wataenda Jerusalem na wale wa Ukingo wa Magharibi watakusanyika katika baraza la manispaa ya Betunia ambako familia zao zitakuwa zikisubiri.
======================
UPDATE
BREAKING: Sky News Confirms Release of 39 Women and Children from Israeli Prisons, Totaling 150
 

Attachments

  • IMG_6727.jpeg
    IMG_6727.jpeg
    26 KB · Views: 3
  • twidown.mp4
    1.5 MB
  • twidown.mp4
    25.5 MB
Waislamu 3 kwa Myahudi 1

Hapo ishaoneka a wa thamani nani
Israel Kakubali masharti yote ya Hamas

1 Hakuna kurusha ndege zake

2 Awachie kila kitu kingie Gaza chakula, mafuta, dawa, yani kila kitu 😄

3 vifaru vyao visitingishike

4 mateka 150 kwa 50

5 ndege zao ziruke North Gaza only kwa saa sita sio South

6 Asimguse Mpalestine yoyote yule katika hizo siku 4 akimgusa Hamasi anawachapa

Hi aibu mtaificha wapi taifa la kishoga
 
Makabidhiano ya mateka Baina ya Isreal na Hamas yanafanyika.
Vyombo vya habari ya nchi za kiarabu wamepanga kuonesha live
mateka wanaoshikiliwa na hamas hata Makofi hawajaguswa.
Pia hamas imetoa statement yake

HAMAS: If Israel releases all Palestinian prisoners, we are ready to release all captured Israeli soldiers.

UPDATE
 
Israel Kakubali masharti yote ya Hamas

1 Hakuna kurusha ndege zake

2 Awachie kila kitu kingie Gaza chakula, mafuta, dawa, yani kila kitu 😄

3 vifaru vyao visitingishike

4 mateka 150 kwa 50

5 ndege zao ziruke North Gaza only kwa saa sita sio South

6 Asimguse Mpalestine yoyote yule katika hizo siku 4 akimgusa Hamasi anawachapa

Hi aibu mtaificha wapi taifa la kishoga
3:1
 
Makabidhiano ya mateka Baina ya Isreal na Hamas yanafanyika.
Vyombo vya habari ya nchi za kiarabu wamepanga kuonesha live
mateka wanaoshikiliwa na hamas hata Makofi hawajaguswa.
Pia hamas imetoa statement yake

HAMAS: If Israel releases all Palestinian prisoners, we are ready to release all captured Israeli soldiers.

UPDATE
HAMAS wamemuua Mtanzania mwenzetu, HAMAS ni maadui wa haki
 
Suleiman kajenga Hekaru la Mungu wake Yhwh and he minded his own business when he built it... Ghafra waislam wanaibuka na wanalazimisha kujenga Hekaru la mungu wao Dogon jùu ya hekaru ilo.
na wapo tayari kuua yoyote anaewapinga!!.
Hata haya huoni? Hilo "hekaru" lilivunjwa na Waislam au na warumi? Lilivunjwa Mamia ya miaka kabla hata hajaja Mtume Muhammad (Swala na Salamu ziwe juu yake). Na alipokuja na Waislam wakapewa ardhi ile kutoka kwenye mikono ya warumi ,dini ya Nabii Sulayman (Amani iwe juu yake), Uislam, ikasimamishwa tena katika ardhi ile tukufu. Na hata hao mayahudi waliokuwa pale wakaishi kwa amani kuliko walipokuwa chini ya warumi.

Na Jerusalem ilikuwa chini ya Waislam kwa miaka mingapi kabla hao mazayuni hawajaja kuanzisha dola yao katika ardhi ile, mpaka useme Waislam ndio wanataka kujenga "hekaru" lao kwa nguvu? Kama kwamba ni wao ndio walifukuzwa Ulaya na Wazungu wakristo na wakawakuta mazayuni pale.

Halafu ni Waislam ndio wana haki zaidi na Sulayman (Amani iwe juu yake) kuliko mayahudi, bali wana haki zaidi kwa Musa (Amani iwe juu yake) na Mitume wote wa Bani Israil (Amani iwe juu yao) kuliko mayahudi ambao waliwakataa wote na kuwafanyia vitimbi, waliwatukana na wengine wanawatukana (ikiwemo Sulayman) mpaka leo, na wengine waliwaua kabisa. Na wakaikataa dini aliyowachagulia Allah wakatengeneza dini yao kwa matamanio ya nafsi zao.
 
Back
Top Bottom