israel

  1. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Picha: Ni kama Wana Israel wakivuka bahari ya Shamu

    Mambo CCM inapenda kuyaona, hawa viumbe wa CCM hawataki waone unapata raha hasa wewe mlipa kodi utapigika kisawa sawa
  2. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Kenya kama Malawi, wapanga kupeleka vibarua wa Mashamba ya Israel kwa ujira wa Ksh. 228,000 (4,000,000Tsh)

    Kenya inapanga Kupeleka Vijana wapatao 1,500 kuwa Vibarua wa Mashamba ua Wayahudi Kufuatia Vibarua zaidi ya 10,000 wengi wao kutoa Thailand kukimbia Vita vya Israel vs Hamas hivyo kuacha mashamba ya waloweso yakiwa hayana Vibarua. Israel Kwa Sasa imekuwa inakimbilia Afrika ambako watu Wana...
  3. Webabu

    JamiiForums Tanzania Hamas yamuua mtoto wa Waziri huku Israel ikisema vita vimekuwa vigumu

    Master Sergeant Gal Meir Eisenkot, mwenye umri wa miaka 25 ameuliwa na wapiganaji wa Hamas hapo jana kaskazini ya Gaza. Gal ni mtoto wa Gadi Einsenkot ambaye ni mmoja wa mawaziri wa baraza la vita la kupambana na Hamas linaloongozwa na waziri mkuu Benjamini Netanyahu. Maumivu kutokana na...
  4. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Gaza: Wanamgambo wa Hamas waanza kujisalimisha kwa jeshi la Israel, Hakuna tena kujificha nyuma ya wanawake na watoto, ni vita ya ana kwa ana

    Jeshi la Israel limefanikiwa kuwaweka chini ya ulinzi wanamgambo wa Hamas kikosi cha Shejaiya Ni kikosi kikubwa ndani ya Hamas kilichohusika zaidi kwenye shambulio la October 7 kwa kurusha mamia ya roketi kuelekea Israel, Siku 3 zilizopita ngome kuu ya kikosi hicho iliyopo Wissam Farhat...
  5. Webabu

    JamiiForums Tanzania Tuko tayari kupigana kwa muda wowote vita itakaochukua - Hamas watoa tamko kuadhimisha vita na Israel

    Kiongozi muandamizi wa Hamas, Ismail Haniyeh amesema vikosi vya kivita vya kundi hilo vimejitayarisha vya kutosha kuendeleza vita na Israel kwa muda wowote vita hivyo inakavyochukua. Katika tamko hilo kiongozi huyo amesifu utayari wa vikosi vya kivita na mikakati mnyumbuliko waliyojitayarisha...
  6. Ritz

    JamiiForums Tanzania Yemen yeigeuza meli ya Israel kuwa kivutio cha watalii

    Wanaukumbi. 🇾🇪🇮🇱 The Yemenis have turned the captured Israeli ship into a tourist attraction Visitors are seen dancing, smoking waterpipes, and chilling on the ship. =============== 🇾🇪🇮🇱 Wayemeni wamegeuza meli ya Israel iliyotekwa kuwa kivutio cha watalii. Wageni wanaonekana wakicheza...
  7. Ritz

    JamiiForums Tanzania Taarifa rasmi ya Houthis yarusha makombora ya ballistic Israel

    Wanaukumbi. BREAKING - OFFICIAL STATEMENT BY YEMEN'S HOUTHIS: BALLISTIC MISSILES LAUNCHED AT ISRAEL "With the help of God Almighty, the missile force of the Yemeni Armed Forces launched a batch of ballistic missiles at military targets of the Israeli entity in the Umm al-Rashrash area, south...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hamas ina mpango kabambe wa kujihami katika vita na Israel

    Dec 06, 2023 12:21 UTC Afisa wa ngazi ya juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu (muqawama) ya Palestina, Hamas, amesema harakati hiyo ya kupigania ukombozi wa Palestina yenye makao yake Gaza imeandaa mpango mkubwa wa kujihami katika kukabiliana na mashambulizi ya Israel, na kusisitiza kwamba...
  9. Webabu

    JamiiForums Tanzania Je, Marekani ina uwezo wa kupigana na Houthi kuilinda Israel?

    Wengine wanaweza kusema swali hilo ni kichekesho, lakini hali ilivyo sasa ni swali linalokwenda na wakati na kutaka kupatiwa jibu lake. Tangu wanamgambo wa Houthi waanze kuingia kwenye mapambano kuwasaidia wenzao wa Gaza, Marekani imekuwa ikikasirika sana na hata kuwahi kusema Yemen ni rogue...
  10. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Katika historia hakujawahi kuwa na himaya, falme wala tawala ya Palestina, hata taifa la Palestina la sasa ni kwa huruma ya Israel

    1. Hapo kabla eneo lote lilikuwa koloni la Uingereza baada ya himaya ya Ottoman kushindwa vita ya dunia, ndipo uingereza akachora mipaka kuwe na Israel na Palestine, upande wa Israel hawakuona shida lakini hao wa kuitwa wapalestina walikataa mpango huu kwa kutaka ardhi yote iwe yao na ndio...
  11. Ritz

    JamiiForums Tanzania Taarifa zinazokinzana kuhusu jumla ya wanajeshi wa Israel waliouawa katika Ukanda wa Gaza

    Wanaukumbi, Tuliambiwa kuwa Jeshi la Israel limechukua umiliki wa Gaza na wanakamilisha vitu vidogo vidogo kumaliza vita, lakini cha kushangaza mbona kila siku tunasikia vifo vya Wanajeshi wa Israel IDF hawajahi kutuonyesha maiti za Hamas zaidi ya kuona Maiti za Watoto na wanawake. DF...
  12. Webabu

    JamiiForums Tanzania Syria imeanza hatua za mwanzo kujiunga katika vita kuipiga Israel

    Miongoni mwa mataifa muhimu katika ushirika wa kuiadhibu Israel ni Syria ambayo tangu vita vianze hapo Oktoba 7 walikuwa wako kimya. Kwa mara ya mwanzo leo wanamgambo walioko mashariki ya Israel na nyuma ya Jordan walirusha makombora machache kuelekea ndani ya Israel. Hakuna madhara...
  13. Webabu

    JamiiForums Tanzania Marekani yapata kipigo chake cha mwanzo Red Sea. Yakiri meli yake kupigwa makombora ikihusiswa na vita vya Israel

    Pentagon imekiri meli yake ya kivita iitwayo USS Carney imepigwa kwa makombora kwenye bahari nyekundu.Vipigo hivyo vimehusishwa na vita vya Israel huko Gaza na kwamba meli nyengine za kibiashara zinazohusishwa na Israel nazo pia zimeshambuliwa. Bado haijawekwa wazi kiwango cha hasara na nani...
  14. Ritz

    JamiiForums Tanzania Mashambulizi holela ya Israel. Gaza yafanya Wapalestina wengi kuwaunga mkono Hamas

    Wanaukumbi. 🚨 Kura ya Kura ya Kushtua: 75% ya Wapalestina Wanaunga mkono Shambulio la Oktoba 7 dhidi ya Israeli Ni asilimia 13 pekee ya Wapalestina wanaopinga mgomo wa Oktoba 7 dhidi ya Israel, ambao ulisababisha vifo vya watu 1,400. Kura ya maoni ya Ulimwengu wa Kiarabu kwa Utafiti na...
  15. Webabu

    JamiiForums Tanzania Israel yakiri Iron Dome zimeshindwa kuzuia maroketi kutoka Gaza kutua Tel Aviv. Hii ni baada ya ukimya wa siku 7 kubadilishana mateka

    Tangu vita vianze upya baada ya ukimya wa siku 7 wakati wa kubadilishana mateka Hamas imeendelea kurusha maroketi ya masafa marefu kutokea ndani ya Gaza ambayo yanaufikia mji mkuu wa Israel wa Tel Aviv. Kwa mujibu wa Allan Fisher ,mpashaji habari wa aljazeera makombora kadhaa yaliyorushwa hapo...
  16. Ritz

    JamiiForums Tanzania Hamas inasema hakuna mazungumzo zaidi hadi Israel isitishe mashambulizi yake dhidi ya Gaza

    Wanaukumbi. Afisa wa Hamas aambia Al Jazeera mazungumzo juu ya kubadilishana wafungwa sasa yamekwisha na hayatarejelea hadi Israel itakaposimamisha mashambulizi na kuwakabidhi wafungwa wote wa Kipalestina. Israel iliamuru timu yake ya mazungumzo ya Mossad huko Doha kurejea Israel kwa sababu ya...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mwandamanaji ajichoma moto nje ya ubalozi wa Israel nchini Marekani

    Mwandamanaji mmoja yuko katika hali mbaya baada ya kujichoma moto nje ya ubalozi mdogo wa Israel katika jimbo la Georgia nchini Marekani. Polisi walisema mwandamanaji huyo alitumia petroli, na bendera ya Palestina ilipatikana katika eneo la tukio, nje ya ubalozi mdogo wa Israel mjini Atlanta...
  18. Webabu

    JamiiForums Tanzania Tufani la Alaqsa kuziangusha Marekani na Israel na kuzipindua nchi zote za kiarabu. Palestina kuwa taifa kubwa mbele ya Urusi na China

    Mipango ya mezani ya Israel wanayoiita baada ya vita inawafurahisha mno wafuasi wa Israel na mayahudi kote duniani.Mipango hiyo kwa upande wa pili kama inawatia huzuni wapenda haki kote duniani. Israel ikiendelea na mashauriano na mwenzake,Marekani wameweka mezani mikakati kadhaa ambayo...
  19. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Vita ya Israel Vs Palestina Imeifunika kabisa Russia Vs Ukraine

    Vita ya Russia na Ukraine bado inaendelea au wameamua kupumzika ili kufutilia vita ya Israel na Palestina? Hata vyombo vya habari vime-base zaidi kureport matukio ya Israel na Palestina utadhani vita ya Russia na Ukraine imeisha. Au wanaviziana? Mungu wa rehema awasaidie kurejesha amani kwa...
  20. Abtali Mwerevu

    JamiiForums Tanzania Dora Block: Mateka wa Israel Aliyesahaulika Entebbe

    Jina ni Dora Bloch na siyo Dora Block kama ilivyoandikwa katika kichwa cha habari hapo juu. Na: Mwalimu Makoba Mapema tarehe 28 mwezi Juni mwaka 1976, ndege ya Air France ilitekwa na kikundi cha Popular Front for the Liberation of Palestine na kuilazimisha ndege hiyo itue katika uwanja wa...
Back
Top Bottom