israel

  1. K

    Kwanini Israel kaamua kuipuzia Yemen?

    Nimeona waasi kutoka Yemen wamekuwa wakileta chokochoko sana kwa kurusha makombola ndani ya Israel lakini sioni Israel iki react juu ya jambo hilo, je wameamua kupuuza au Hamas kawakamata vibaya?
  2. HAMAS itaachia mateka 15 kama Israel ikikubali kusitisha mapigo kwa muda

    Israel wakikubali kusitisha mapigo kwa walau siku tatu, mateka 15 wataachiwa huru............. Negotiations are continuing between Israel and Palestinian group Hamas, mediated by Qatar in coordination with the United States, that could see 10-15 Hamas-held captives released in exchange for a...
  3. K

    Kontena la maiti za wanajeshi wa Israel kutoka Gaza

    Wakati vita ya Israel dhidi ya kikundi cha HAMAS ikiendelea kwa Israel kupiga mabomu watoto na wanawake,tazama sehemu ya maiti za wanajeshi wa Israel ambao wameuawa na HAMAS. Wana mgambo wa HAMAS wapo Gaza wakiendelea kupambana na wanajeshi wanaotumia deraya.
  4. Hamas wahojiwa waelezea matumizi ya Ambulance na Jinsi ambavyo wanaitekeza Israel

    Israel imekwisha. Hamas wameshaimaliza Israel. Sisi tunasheherekea hapa Tandale kwa Mtogole kwenye Ms..... Wa Ijumaa Israel... Wamekwisha kabisa. Vita imewashinda..... Hamas wamejificha kwenye mahandaki wakipigana na wadudu kama panya nk. Israel wapo palestine hamas wapo mashimoni. Wakiendelea...
  5. Badala ya kubariki watoto na kizazi chako unabariki Israel usiyoijua wala isiyokujua; Acheni uchizi

    BADALA YA KUBARIKI WATOTO NA KIZAZI CHAKO UNABARIKI ISRAEL USIYOIJUA WALA ISIYOKUJUA; ACHENI UCHIZI. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli Yesu kama Watibeli wengine alishawahi kuwatolea maneno mbaya mbovu Wafuasi wake akiwaambia; Lk 23:28 Yesu akawageukia, akasema, Enyi binti za Yerusalemu...
  6. Marekani na Israel wana mpango wa kujenga Ben Gurion canal eneo la Gaza kuipiku Suez Canal

    Mpango wa kujengwa kwa Ben Gurion canal eneo ilipo Gaza ni mpango wa muda mrefu ulioshindwa kuanza mpaka sasa. Kufanikiwa kwa mpango huo kutaipa Israel na Marekani udhibiti wa njia muhimu ya meli za kibiashara.Mbali ya kuwa mtaji mkubwa wa kiuchumi itakuwa ni kujihakikishia usalama wao kutokana...
  7. Majeshi na Mainjinia wa Israel wakibomoa mahandaki na miundo mbinu ya Hamas. Jamaa wamo ndani ya Palestine

    Jamaa wanaendelea na operation yao. Bila kelele. Naona kwa sasa wanaendelea na kubomoa miundo mbinu ambayo wanaiiita ya Kigaidi. Hali ni Mbaya.... Wanajeshi wa Hamas hawaonekani eneo hili nimejaribu kuwaangalia bila mafanikio. But naomba sana hii vita iishe. Inatosha sasa. Wapalestine wa...
  8. Hamas yakanusha madai ya Israel ya kusonga mbele Gaza. Waonesha video za kipigo chao kwa IDF

    Katika hali isiyotegemewa kabisa.Viongozi wa kundi la Hamas wamekanusha madai ya jeshi la Israel kwamba wamepoteza udhibiti wa Gaza na kwamba jeshi la Israel limesonga mbele mpaka katikati ya Gaza. Mshangao unakuja kutokana na ukubwa wa mashambulizi yaliyofanywa na jeshi la Israel na kutoa moto...
  9. M

    Tuiombee nchi ya Israel: Haikanushiki kuwa Israel ni Taifa teule la Mungu. Hii haina maana kuwa Waisrael wote hawana makosa, tuwaombee

    Tatizo la msingi la Wayahudi ni kauli yao hii waliyoisema juu ya Yesu: Math 27:25. Wakasema damu yake na iwe juu yetu na juu ya watoto wetu! Tuwaombee Mungu awape kutubu na kupokea rehema. Natamani Mungu awajalie kutubu kama taifa la NINAWI lilivyotubu kwa mahubiri ya Nabii Yona!
  10. Kuna uwezekano mkubwa Hamas ni kundi maalum la Israel lenye lengo la kutimiza Mipango ya Wazayuni hapo Palestina

    Kwema Wakuu! Kwa jinsi mambo yalivyo ninawasiwasi mkubwa kuwa Hamas sio vile wengi tujuavyo. Wengi tunajua Hamas ni kundi la kiharakati la kupigania haki za Wapalestina ikiwemo haki za kukataa Ukoloni wa Wayahudi katika Ardhi yao. Kwa nje inaonekana hivyo lakini ukichunguza ndani unaona kitu...
  11. Israel Vs Tanzania

    Ukubwa(kilomita za mraba) Tanzania: 945,087 km² Vs Israe:22,145km² Tanzania ni kubwa mara 43 ya israel. Uchumi(pato la Taifa/ GDP in $) Tanzania:$85.42billion Vs Israel:$521.696billion Israel inauchumi mkubwa mara 6 ya Tanzania. Idadi ya watu(population) Tanzania: Watu million 61 Vs...
  12. Israel yazidai Iron Dome zake ilizoziuza kwa US baada ya ilizonazo kuharibiwa na zilizobaki kuzidiwa nguvu

    Vita kumbe bado viko hatua za mwanzo sana na yajayo yatafurahisha. Inashangaza sana nchi za kiarabu kumuogopa simba ambaye ameshachoka kujitetea Habari mpya ni kwamba jeshi la Israel huenda likainunua upya mitambo yake ya Iron dome iliyoiuzia au kuitoa kwa mshirika wake US. Hali hiyo si jambo...
  13. Hadi sasa mahandaki 130 yamefumuliwa na jeshi la Israel

    Hatari sana, yaani haya magaidi ya kidini yalikua yamejiandaa zaidi ya balaa, sema jeshi la Israel sio mchezo, limefumua mahandaki mengi sana ambapo watu walikua wanaishi kama fuko humo.................. Kwa hiki kipigo aise HAMAS wanafutika kweli....... The Israel Defense Forces on Wednesday...
  14. Wanajeshi wa Israel wapo Gaza mjini kati sasa

    Baada ya kuizingira Gaza na kuhakikisha hakuna gaidi litakalotoroka, sasa wafaulu kuingia mjini kati. ========= Defence Minister Yoav Gallant said on Tuesday, November 7, Israeli forces were operating "in the heart of Gaza City" one month after Hamas's bloody October 7 attacks, as the campaign...
  15. M

    Kwa kuangalia tu na kutumia common sense, pale Middle East Israel siyo kwao

    Nimeona watu wengi wakitoa historia uchwala. Wengine wakijaribu kulazimisha kwa kuweka baadhi ya vifungu/ aya za kwenye bible. Tujiulize kwa akili ya kawaida tu, wazungu wamefikaje mshariki ya kati, watu wa mashariki ya kati wote ni Waarabu, imekuwaje mzungu ajikute katikati ya Waarabu. Jambo...
  16. Waziri Makamba afanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel, Eli Cohen

    Kupitia ukurasa binafsi wa mtandao wa X (Zamani Twitter) wa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika. Mashariki, January Makamba ameandika ujumbe kuwa mapema leo amefanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel, Eli Cohen Ujumbe huo umeeleza kuwa Waziri Cohen ameahidi Serikali ya...
  17. M

    Rais Samia unasubiri nini kufunga Ubalozi Israel?

    Rais Samia rudisha Balozi nyumbani mara moja, na kama wao wanayo wa kwao hapo kwetu timua hii ni sauti ya Watanzania.
  18. Hamas kuwaachia mateka iwapo Israel watasitisha vita

    Kiongozi wa Hamas, Mousa Abu Marzouk amesema amesema kuwa ilikuwa ni vigumu kuachiliwa mateka wanaowashikiria wakati Israel ikiishambulia Gaza kwa mabomu. Kiongozi huyo wa Hamas ameyasema hayo wakati wa mahojiano maalumu na Shirika la Habari la Uingereza (BBC), huku akiahidi kwamba kundi lake...
  19. Mbali na kura za UN kupinga uvamizi wa wayahudi huko Gaza, Israel hajali, Kwani hii nchi ya Wayahudi inanguvu kiasi gani?

    Ninawasiwasi na baadhi yetu waswahili kuwa tunawajua juu juu tu, hawa Wayahudi, tuna lopoka tu hata tusijue hao Mayahudi ni kina nani haswa Nilitarajia Urusi, Irani, Korea na hata China waingilie kati, kwa sababu ya uswahiba wa nchi hii ya kiyahudi na US, lakini wapi, Israeli ni nani? Hata...
  20. Afrika Kusini kuwaondoa Wanadiplomasia kutoka Israel

    Afrika Kusini inasema utawarejesha nyumbani Wanadiplomasia wake wote kutoka Tel Aviv kufuatia mashambulizi makali yanayofanywa na Israel kuelekea Gaza. Shambulio la bomi lililotokea Novemba 5, 2023 lilikuwa moja ya shambulizi zito zaidi kwa Israel tangu vita baina ya pande hizo ianze mwezi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…