Takwimu kutoka nchini Uingereza zinaonesha kuwa chanjo dhidi ya virusi vya corona inasaidia kupunguza uwezekano wa kuenea kwa maambukizi kwa hadi asilimia 85.
Utafiti uliochapishwa na taasisi ya Public Health England (PHE) unaonesha kuwa chanjo ya Pfizer-BioNTech inapunguza uwezekano wa kupata...
Habari!
Israel imetangaza Alhamisi kuwa inashirikiana na Marekani katika mpango wa uundaji wa mfumo mpya wa ulinzi wa anga dhidi ya makombora ya balistiki unaojulikana kama Arrow-4 ambao unajumuisha kizazi kijacho cha vizuizi (interceptors) ambao utachukua nafasi ya mfumo uliopo wa Arrow-2 kwa...
Habari!
Mwanasayansi wa nyuklia wa Iran aliyeuawa karibu na mji mkuu Tehran mwezi Novemba mwaka 2020, aliuawa kwa bunduki ya otomatiki iliyoingizwa nchini humo na shirika la ujasusi la Israel Mossad ikiwa katika vipande maalumu, kwa mujibu wa ripoti.
Ripoti ya The Jewish Chronicle kutoka...
Mchungaji wa KKKT Kijitonyama Dr Kimaro amesema kwa mujibu wa maandiko ya Biblia Mungu alishaitangazia uponyaji wa kwanza Afrika yanapotokea maradhi ya kiulimwengu kama Corona.
Hivyo kwa mujibu wa Biblia Afrika itapona ya kwanza, itafuatiwa na Asia na mwisho watakuwa Israel kwa maana ya wazungu...
Habari!
Marekani iko mbioni kuutumia mfumo wa ulinzi wa anga wa "Iron Dome" kwenye vituo vya kijeshi katika nchi kadhaa za Ghuba kwa mara ya kwanza. Marekani ilinunua mfumo wa Iron Dome kutoka Israel baada ya makubaliano kati ya nchi hizo mnamo mwaka 2019.
Kulingana na ripoti na vyanzo ndani...
Israel ambayo ili hack kaspersky 2014 na kuwapa taarifa NSA kuhusiana na uvujishwaji wa taarifa unaofanywa na kampuni hio, inasemekana kaspersky ilikuwa ikishirikiana na FSB (KGB zamani) kudukua taarifa mbali mbali za watumiaji, baada ya hapo USA ika ban kaspersky kutumiwa kwenye vitengo vyoote...
Pollard, a former intelligence analyst for the US, was detained in 1985 for spying for and providing top-secret intelligence to Israel, serving 30 years of a life sentence before he was paroled in 2015. He is the only American in US history to receive a life sentence for spying for an ally, as...
Mzuka Wanajamvi!
Ayatollah pressure inazidi na anazidi kupata wakati mgumu
Wapanda milima (climbers) 10 wamekufa katika milima ya kaskazini mwa Tehran baada ya dhoruba kubwa ya theluji kuanguka na wengi kadhaa hawafahamiki walipo.
Pia mabaharia saba wamepoteza maisha baada ya dhoruba kali...
Kiongozi mkubwa kabisa Nchini Pakistani Maulana Muhammad Khan Sherani asema kuwa uislamu unatufundisha kuwa Israel ni nchi ya Wayahudi pekee. Je, ndio mpango mpya wa mahusiano ya kibalozi kati ya Israel na Pakistani yanapoelekea na kipigiwa chapuo? Kiongozi mkubwa wa kidini ni ashapitisha...
Tarehe 7 June 1981 Israel ilifanya mashambulizi katika vinu vya nuclear huko Iraq,hii ilikuwa ni shambulizi la ghafla katika mradi huo chini ya Sadam Hussein, hii ilijulikana kama operation opera au Operation Babylon, Kinu kilichojulikana kama Osirak Nuclear Reactor kilichokuwa kusini...
Dubai hosted a public Chanukah celebration on Saturday night, which served as a symbol of the powerful impact the Abraham Accords are having on the Middle East.
On Saturday evening, a giant menorah was lit up in Dubai to celebrate the Chanukah holiday, which is the Jewish festival of lights...
''Kila mtu anazungumzia na wengine humuuliza kuuliza jinsi waarabu watakavyofanya biashara na Waisrael au jinsi gani watafanyaje? Yeye amesema hapana sina mpango wa kufanya Biashara na Israel, tunaweza kwanza kukutana, kama wototo wetu wanaweza kukutana na watoto wenu! tunaweza kufahamiana...
Israel na Morocco zimekubaliana kuweka mahusiano ya kidiplomasia.
Mataifa hayo yamekubaliana kuanzisha mahusiano ya kidiplomasia chini ya mkataba uliofadhiliwa na Marekani. Morocco inakuwa taifa la nne la kiarabu lililoridhia kumaliza uhasama na #Israel tangu mwezi Agosti.
Rais Donald Trump...
Afisa wa ngazi za juu wa shirika la kijasusi la mossad ameuawa usiku wakuamkia leo katika mji Tell aviv alipokua kwenye gari ghafla taa
nyekundu ya kuongozea magari ikawaka na gari yake ikashambuliwa kwa risasi 15 na washambuliaji kutoweka bila kuonekana. Inasemekana huwenda ukawa ni mwendelezo...
Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Saudi Arabia mwanamfalme Faisal bin Farhan amesema kurejeshwa kwa uhusiano na Israel ni lazima kuambatane na kuundwa kwa taifa la Palestina iliyo na mamlaka kamili na Israel iodoe majeshi yake kwenye ardhi ilizoziteka mwaka 1967 na irudishe ardhi inazozijenga...
Niaje niaje,
Nilikuwa napitia moja ya habari kutoka mtandaoni kwenye website ya CNN
Nimekutana na habari ya kushtua kidogo kiongozi na Mkuu wa shirika la Nuclear wa Irani jina lake gumu kidogo.
Ameuawa baada ya kufanyiwa ambushi na Jeshi la Israel ndani ya nchi yake. Yaani alikuwa ndani ya...
Ni baada ya Balozi wa UN kudumu wa Israel Gilad Erdan kuliomba Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuwa Jeshi la Iran na wafuasi wake waondoke haraka sana nchini Syria kwani itawaangamiza wote Alielezea kwenye barua yake aliyomuandikia Mkuu wa Baraza hilo.
Report: 19 pro-Iran fighters killed...
Na kichapo cha Jana kimeharibu maghara mengi ya silaha ambazo ndizo Irani ilijitapia nazo kuwa itazitumia kujibu mashambulizi ya hit and run ya Israel... Nadhani ni wakati wa Iran kufuata ule msemo if you can't fight them join them..
Yasemekana Wafuata mkumbo 8 wa Iran wameuawa...
Irani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.