israel

  1. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Mateka wa kiyahudi wasipopatikana je Israel itafanya nini?? Je bado wapo hai?

    Tukiwa tunaona nakushuhudia nguvu kubwa Israeli kubomoa ukanda wa gaza wote kama inavyojinasibu kuwa ni operation lakini kwa wachambuzi wa kivita wanasema Israel inatafuta mateka wakiyahudi 253+ ambao walitekwa na Hamas! Wakati huo Vyama vya upinzani na wananchi wa Israel wakiandamana kumtaka...
  2. Webabu

    JamiiForums Tanzania Israel inasubiri mateka wake kwa njia ya mazungumzo. Kwa vita imeshindikana kuwapata

    Vita kati ya Hamas na Israel ni kioja kikubwa sana katika historia ya vita. Misikiti na hospitali zote zimevunjwa ikisemwa kuna taarifa za uhakika kuwa viongozi wa Hamas na mateka wapo humo lakini wapi! Kila wakipiga na kuua watu wanajikuta mikono mitupu, hakuna Hamas wala mateka. Imebidi...
  3. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Baada kusumbuliwa na Hamas kwa miaka 1400, India yasema sasa ni zamu ya Israel

    What’s the latest hate weapon being used against Indian Muslims? Tokea Oktoba 7, Vyama vya Siasa nchini India vimeanza kutoa tahadhari dhidi ya Uislam, na kufanya ndio silaha yao kuu katika kampeni zao, haswa kutokana na vita inayoendelea kati ya Hamas na IDF, baada ya tukio la uvamizi na...
  4. Webabu

    JamiiForums Tanzania Israel yafanya mambo ya aibu na uwendawazimu.Yatengwa na mataifa karibu yote duniani

    Marekani na Uiengereza pekee ndio wako mguu njiani mguu majanini kuhusu matendo ya Israel katika vita vyake Gaza. Mwanamfalme wa Uiengereza. William ataka vita visitishwe. Rais Biden amepunguza sana urafiki na Benjamin Netanyahu japo nchi yake imepiga kura ya veta lakini haina imani na Israel...
  5. ward41

    JamiiForums Tanzania Raia 10,000, wataalamu 140

    Israel ni taifa lenye maendeleo makubwa na uchumi mkubwa as per capita income kuliko mataifa yote middle East Ni taifa tena lenye technologia kubwa pale middle East Ni taifa lililopiga hatua kubwa Sana kwenye technologia ya kilimo, anga za juu, uchakaji wa madini, utaalamu wa mambo ya computer...
  6. Replica

    JamiiForums Tanzania Vita ya Gaza: Uchumi wa Israel wasinyaa kuliko ilivyotarajiwa

    Takwimu rasmi zinaonesha GDP ya Israel imeshuka kwa 19% robo ya mwisho ya mwaka 2023. GDP ya Israel iliathiriwa moja kwa moja na kuzuka kwa mgogoro huo Octoba 07 mwaka jana, ilisema ofisi ya takwimu. Wataalam wanasema takwimu hizo zilizotolewa jana na ofisi ya takwimu ya Israel ni mbaya zaidi...
  7. Ritz

    JamiiForums Tanzania Brazil imemfukuza balozi wa Israel, na kumrudisha wa kwao kutoka Israel

    Wanaukumbi. Brazil ilimfukuza tu balozi wao wa Israel, na kuwarudisha wa kwao kutoka Israel. Hili ni tendo la kupongezwa linalopaswa kurudiwa na mataifa yote. Israel na Netanyahu wapuuzi sana wanavyowapelekesha Ulaya na Marekani wanadhani wanaweza kufokea kila taifa Netanyahu na Mawaziri wake...
  8. Ritz

    JamiiForums Tanzania Israel kwenye kesi ya ICJ - nchi 52 kutoa ushahidi kuanzia Feb 19-26

    Wanakumbi. 🚨🇮🇱ISRAEL KWENYE KESI YA ICJ - NCHI 52 KUTOA USHUHUDA KUANZIA FEB 19-26 Kesi za ICJ zitaendelea hadi Februari 26. Baadaye, majaji wanatarajiwa kuchukua miezi kadhaa kujadili kabla ya kutoa maoni ya ushauri. Kikumbusho: Hata iwe uamuzi gani, ni juu ya nchi kote ulimwenguni kutunga...
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa kuu wa ulimwengu huwa vichwa vyao vigumu. Wangewambia HAMAS kuwaachia mateka wa Israel ,kungekuwepo na ahuweni kwa watu wa GAZA

    Ukiondoa taifa la America na baadhi ya mataifa ya ulaya, wengi wa viongozi wakuu wa taifa mbali mbali wang'angania kuilaumu Israel kwa uisambaratisha Hamas. Sasa israel inajipanga kuivamia RAFAH na bado viongozi wa kiarabu ,UN ,Afrika waniona israel kama nchi mbaya sana. swali ni je israel...
  10. MK254

    JamiiForums Tanzania Maombi maalumu kufanywa na raia wa Afrika Kusini kwa ajili ya Israel

    Mungu wa Israel ana nguvu kuzidi hao wengine, sio mara ya kwanza amedhihirisha ukuu wake, kila ambaye hujaribu kuwafuta hufutwa yeye, hili tumelishuhudia juzi, magaidi walioingiwa mzuka wa maelekezo ya 'mungu' wao wa kuifuta Israel wamethubutu, kilichowakuta imebidi wakimbilie kulilia ICJ...
  11. MK254

    JamiiForums Tanzania Israel yalipua mabomba ya gesi ndani ya Iran, mbwai na iwe mbwai

    Iran bingwa la maugaidi ya dini imeanza kufanyiziwa ndani kwa ndani, maslahi yake yamepigwa kote huko nje sasa inapigwa ndani na kama ina jeuri au ubavu wa kujibu basi ifanye tuone. Mabomba yamelipuliwa na kusababisha hasara kubwa, juzi kiwanda cha kemikali kilitiwa kiberiti, yaani wameshikwa...
  12. MK254

    JamiiForums Tanzania Misri yaanza kujenga hema za Wapalestina watakao ondolewa Rafah, maana ni dhahiri Israel wanapiga

    Israel imekua kichwa cha mwenda wazimu, wamegoma kumskliza yeyote na wameanza mapigo Rafah, raia wema wanaondolewa na kupelekwa kwenye hema, watakaobaki ni magaidi ya dini akina HAMAS na hawana sehemu nyingine ya kukimbilia. Misri wameona isiwe tabu, wasaidie kwenye kujenga hema, wao kwanza...
  13. Webabu

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Misri kujenga ukuta mwengine upande wake kina maana gani. Wana njama na Israel au ni huruma kwa wapalestina

    Hivi karibuni Benjamin Netanyahu alisikika akisema anataka jeshi lake liingie Rafah na kufanikisha mpango wake wa kuwamaliza Hamas kabla mwezi mtukufu wa Ramadhani haujaingia hapo Machi 10. Baada ya kitisho hicho Misri imekuwa ikitishia kuvunja mkataba wa camp david baina yake na Israel.Hata...
  14. Webabu

    JamiiForums Tanzania Israel yacharuka, yasema imejiandaa kupiga sehemu yoyote nchi za mashariki ya kati

    Msemaji wa jeshi la Israel, Daniel Hagar amedhihirisha nia ya Israel iliyojificha kwa kusema wamejiandaa kujibu mfano wa mapigo ya HezboLlaah si Lebanon tu bali sehemu yoyote ile ya mashariki ya kati. "We do not choose war as our first priority, but we are certainly prepared," Hagari said."We...
  15. Webabu

    JamiiForums Tanzania Nchi za kiarabu zaizuia Marekani kutumia ardhi zao kupigana na Houth huku Erdogan aungana na Elsisi kuionya Israel isiendelee kupiga Rafah

    Nchi kadhaa za kiarabu zimeanza kuingia akili kwa kukataa kuachia Marekani kutumia ardhi zao kuanzisha mashambulizi dhidi ya wanamgambo wa Houth wa Yemen.Hatua hiyo itaifanya Marekani kushindwa kuwazuia Houth na itakuwa ni msaada wa nchi hizo kwa Palestina. Nchi hizo ni zile ambazo zimekuwa...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Seneti ya Marekani yapitisha msaada wa trilioni 152 Ukraine, Trilioni 35 Israel, Trilioni 22 Palestina, Trilioni 12 Taiwan

    $60 billion Ukraine $14 billion for Israel $9 billion Gaza + West bank $4.83 billion Taiwan --- Senate gives $60 billion for Ukraine, $14 billion for Israel, $9 billion in humanitarian assistance for Gaza and nearly $5 billion for the Indo-Pacific. Meanwhile Biden is putting veterans behind...
  17. MK254

    JamiiForums Tanzania Israel kuandaa hema 25,000 zitakazoishi watu wa Rafah kabla kupapiga

    Kiukweli waarabu washukuru sana wanapambana na Israel maana ingekua Urusi au Wachina wasingekua na hizi huruma, wao hupiga kitu kinachoitwa carpet bombing, Israel wana uwezo wa kusambaratisha kila kitu ndani ya siku moja, ila inawabidi wawe na huruma kwa watoto na kina mama. ambao pia magaidi ya...
  18. Webabu

    JamiiForums Tanzania Seneti ya Marekani yapitisha msaada wa dola Bilioni 9 kwa Israel na Ukraine. Wengine watishwa wasiisaidie Hamas hata senti

    Baada ya kikao cha usiku kucha baraza la seneti limekubali na kupitisha msaada mkubwa wa dola karibu bilioni 100 kwa nchi mbili marafiki ambazo ziko vitani. Sehemu ya msaada huo itakwenda Israel ambayo imeshaua karibu wapalestina 28000 na nyengine kwa Ukraine inayopigana na Urusi. ===========...
  19. Webabu

    JamiiForums Tanzania Misri yapeleka Jeshi mpakani kukabiliana na uchokozi wa Israel

    Kimya kingi kina mshindo. Hatimae nchi ya Misri imeamua kuongeza askari wake maeneo ya mpaka wa Rafah na lango la Karem Shalom. Uamuzi huo umekuja baada ya maonyo ya awali na kufuatia taarifa ya jeshi la Israel kwamba liko mbioni kupeleka askari wa miguu eneo la Rafah walipojikushanya...
  20. Webabu

    JamiiForums Tanzania Misri watishia kuvunja mkataba wa Camp David iwapo Israel itashambulia Rafah

    Baada ya ukimya wa muda mrefu hatimae Misri imetoa tamko kwamba iwapo Israel itashambulia eneo la Rafah basi itafuta mkataba wake wa muda mrefu uliotiwa saini baina yao. Mkataba huo uliotiwa saini mwaka 1979 baina ya rais Anwar Saadat wa Misri na waziri mkuu wa Israel wa wakati huo Menakhen...
Back
Top Bottom