Israel inatafakari ombi la HAMAS kwamba viongozi waihame Gaza na wasiuawe watakakokwenda

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,663
48,440
Mojawapo wa maombi ya HAMAS kwenye mazungumzo ya amani ni kwamba viongozi wake wataihama Gaza na wasiuawe popote watakapokwenda, wahakikishiwe uhai wao.
Hilo ombi ni ngumu kutekelezeka maana Myahudi ukimwaga damu yake subiri lazima alipe, wao hutumia sheria za Musa, yaani jicho kwa jicho, kwamba hata serikali ya Israel ikiridhia hilo ombi, ila ndugu wa waliouawa hawataishi kwa amani, watatumia hela ndefu sana kivyao kuwinda hao viongozi.

=================================

Israel is considering Hamas's demand for a commitment not to assassinate the organization's senior officials if they are exiled from the Gaza Strip, Kan reported Friday.

Prime Minister Benjamin Netanyahu previously stated in November that he had told the Mossad “to act against the heads of Hamas wherever they are.”

Israel would agree to this in exchange for an agreement that would include the demilitarization of the Gaza Strip and the release of all the hostages, according to the Kan report.
 
Back
Top Bottom