iringa

Iringa is a city in Tanzania with a population of 151,345 (as of 2012). It is situated at a latitude of 7.77°S and longitude of 35.69°E. The name is derived from the Hehe word lilinga, meaning fort. Iringa is the administrative capital of Iringa Region. Iringa Municipal Council is the administrative designation of the Municipality of Iringa.
Iringa has been one of the coldest regions in Tanzania due to its geographical location but that has attracted a lot of tourists from colder regions abroad especially Western Europe. Iringa also hosts one of Africa’s largest national parks the Ruaha National Park.

View More On Wikipedia.org
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kihenzile Sekondari ya Kata Yazinduliwa, Mufindi - Iringa

    KIHENZILE SEKONDARI YA KATA YAZINDULIWA, MUFINDI - IRINGA Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amezindua Shule ya Kata ya Sekondari Kihenzile iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi, mkoani Iringa. Waziri Ulega amezindua shule hiyo Septemba 30, 2024 huku akisema kuwa ujenzi...
  2. tang'ana

    JamiiForums Tanzania Kuna mwana MMU wa kike yuko Iringa Mjini aje hapa Miami pub?

    Haka kamji ni kazuri sana for sure..hakana makelele kama ya Dar,Mwanza au ARUSHA. So like niko hapa since juzi but sina kampani ya kueleweka. Kama kuna mwana MMU wa kike yuko iringa na she needs to have drink jioni ya leo akuje hapa miami club tuhave funny. Asante
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Matukio Yaliyojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Iringa

    Iringa ni mkoa uliopo Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania, kati ya latitudo 6.540 na 100, na longitudo 33 na 37° Mashariki. Mkoa huu unachukua eneo la kilomita za mraba 58,936. Iringa ni mji wenye mandhari mazuri, uliopo katikati ya sekta ya chai nchini Tanzania. Umejengwa kwenye mteremko wa...
  4. ndiuka

    JamiiForums Tanzania Iringa Barabara ya kwenda Ipogolo tupo foleni kwa saa moja sasa

    Bara bara ya kwenda ipogolo ina jam tuko foleni lisaa sasa gari hazipandi wala kushuka wahusika toeni msaada
  5. Nyarupala

    JamiiForums Tanzania Shule nzuri kwaajili ya tuition pre-form one kati ya makambako au iringa

    Natumaini wote ni wazima na weekend inaenda sawa. Msaada tafadhali shule iwe ya bweni🙏
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yasaini Mkataba Ujenzi wa Barabara ya Iringa - Msembe, Shilingi Bilioni 142.5 kutumika

    Serikali imesaini mkataba wa ujenzi wa barabara ya Iringa - Msembe inayoelekea kwenye Hifadhi ya Taifa ya Ruaha (km 104) kwa kiwango cha lami utakaogharimu kiasi cha shilingi Bilioni 142.56 ili kufungua fursa za kiutalii, kiuchumi na kibiashara kwa mikoa ya Nyanda za Juu Kusini. Utiaji saini...
  7. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Iringa mkoa pekee unapeleka moto huku unaota moto

    Huamini kajaribu kwenda iringa uone
  8. milele amina

    JamiiForums Tanzania CCM: Ujenzi barabara ya Iringa - Msembe kilometa 104 kufungua fursa Nyanda za Juu Kusini, Ni utapeli Tena?

    https://www.jamiiforums.com/threads/zaidi-ya-km-2000-za-barabara-kuanza-kujengwa-kwa-mtindo-wa-epc-f-serikali-yasema-hazitalipiwa-tozo.2108484/
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Jamani Bagia za Iringa tamu, hasa za Kalenga!

    Leo asubuhi nimeamka na hamu ya BAGIA ZA IRINGA, hasa za KALENGA!, liliko fuvu la Chifu Mkwawa aliyekuwa kiongozi wa Wahehe aliyepinga ukoloni wa Kijerumani mwishoni mwa karne ya 19 kabla ya kujiua mwaka 1898 ili kuepuka kukamatwa. Tuachane na ishu za historia maana isije ikawa ni chenga ya...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Viongozi wa Mkoa wa Iringa na Wilaya ya Mufindi wanatupuuza Wafanyabiashara wa Soko Kuu Mafinga, Rais Samia tusaidie

    Sisi wafanyabiashara wa Soko Kuu Mafinga tunaomba kufikisha kero yetu kwa Mamlaka za Juu akiwemo Waziri wa Viwanda na Biashara, Waziri wa Fedha na Rais Samia na kero hiyo ni kupuuzwa kwa madai yetu kunakofanywa na Mkuu wa Mkoa wa Iringa Peter Serukamba na Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Kwa takriban...
  11. kyagata

    JamiiForums Tanzania Kwa nini iringa mjini pamoja na kuwa na baridi kali nyakati za usiku lakini kuna mbu wengi?

    Wakuu Ni siku ya tatu leo niko iringa mjini..ebana huu mji una mbu wengi tofauti na nilivyodhania. Hapa nilipo ni baridi lkn kuna mbu sio poa.. Nauliza ni sehemu zote hapa iringa mjini kuna mbu hivi au ni hii sehemu niliyofikia tu mimi?
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania KERO Kijiji cha Luganga, Viboko na Tembo wanaingia mashambani na kuharibu mazao

    Wakulima wa Kijiji cha Luganga Kata ya Ilolo Mpya Halmashauri ya Wilaya ya Iringa wameilalamikia serikali kwa kushindwa kuwaondoa wanyama pori, Viboko na Tembo ambao wanaingia katika eneo la mazao yao na kufanya uharibifu hivyo kusababisha hasara kwa wakulima. Wakulima wamesema kuwa wametoa...
  13. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa unatuabisha wana Iringa, kumbe ulikuwa unatudanganya!

    Sisi wana Iringa tumeamini kuwa wewe siyo MCHUNGAJI kabisa. Wakati bado upo cdm ulikuwa unatuaminisha kuwa hakuna chama makini kama cdm. Ukatushawishi tukakuchagua kupitia cdm na ukasema kuwa ccm siyo chama kabisa bali ni walaghai na wachumia tumbo. Leo hii tena unatuambia kuwa ccm ndiyo...
  14. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Various Jobs at University of Iringa

    EMPLOYMENT OPPORTUNITIES The University of Iringa history dates back to 1994 when the Evangelical Lutheran Churches in America. Finland and Germany supported the construction of the Lutheran Seminary for the Iringa Diocese of the Evangelical Lutheran Church in Tanzania. The Seminary was changed...
  15. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Viwanja vya Mwembetogwa Iringa mjini Mchungaji Msigwa afunguka sababu 4 za kuondoka CHADEMA

    Kama unaamini kuwa CHADMA ni Chama cha Siasa basi karibu umsikilize mchungaji Msigwa atakavyokuprove wrong. Mchungaji Msigwa anaijua CHADEMA nje ndani na ametuomba wana CCM tuamini anayosema kwa sababu yeye ni mtumishi wa Mungu. Karibuni sana na mkutano utarushwa mubashara na Vyombo mbalimbali...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Nancy Nyalusi: Serikali Imeleta Bilioni 1.8 ya Miradi ya Maendeleo Kata ya Kising'a, Iringa

    MBUNGE NANCY NYALUSI: SERIKALI IMELETA BILIONI 1.8 YA MIRADI YA MAENDELEO KATA YA KISING'A, IRINGA Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Iringa, Mhe. Nancy Nyalusi amezungumza katika Kata ya Kising'a Wilaya ya Iringa na amewataka wananchi kutembea kifua mbele na kujivunia uwepo wa Serikali sikivu...
  17. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Hospitali ya Serikali kwanini inakuwa na huduma ya choo ya kulipia?

    Ni Iringa hapa, tena Regional Referral Hospital, nimeshangaa sana au ndio yale mambo ya Halmashauri hayo, miradi inajengwa kwa fedha zetu ila unalipia tena kuitumia. Inasikitisha sana yaani hii nchi imelaaniwa sana. Halmashauri zina mambo mengi sana ya kienyeji. Kusoma majibu ya hospitali...
  18. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Iringa ni pazuri wakuu?

    Sijafika Iringa mkoa naousikia mzuri sana mimi napenda kujua upande wa mito inayotiririsha maji mwaka mzima na vipi kuhusu majengo yaliyopo Iringa majengo ya kweli yamekwenda hewani. Naombeni picha za mji wa Iringa wakuu kuanzia Ruaha na Mjini na maeneo ya mabonde yanayoleta maji Rufiji.
  19. N

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Wafanyabiashara Iringa nao wagoma kufungua maduka

    Baada ya kuripotiwa kuwepo kwa mgomo kwa wafanyabiashara Mkoani Dar es Salaam, Mwanza, Mbeya, pia leo June 26, 2024 baadhi ya wafanyabiashara Mkoani Iringa nao wamefunga maduka yao. Mmoja kati ya wafanyabiashara ambaye naye amefunga duka lake, amesema kuwa nao wamechukua uamuzi huo kwa sababu...
  20. Journalists

    JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya kujitolea, nina shahada ya Uandishi wa Habari

    Habari, Mimi ni mvulana natafuta nafasi ya kujitolea shirika lolote Nina degree ya Journalism nipo mkoa wa Iringa
Back
Top Bottom