iringa

Iringa is a city in Tanzania with a population of 151,345 (as of 2012). It is situated at a latitude of 7.77°S and longitude of 35.69°E. The name is derived from the Hehe word lilinga, meaning fort. Iringa is the administrative capital of Iringa Region. Iringa Municipal Council is the administrative designation of the Municipality of Iringa.
Iringa has been one of the coldest regions in Tanzania due to its geographical location but that has attracted a lot of tourists from colder regions abroad especially Western Europe. Iringa also hosts one of Africa’s largest national parks the Ruaha National Park.

View More On Wikipedia.org
  1. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu Mwenezi CCM Iringa awahimiza wananchi kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la mpiga kura

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo mkoa wa Iringa Mwl. Joseph Ryata amewaomba Watanzania kujitokeza kujiandikisha kwenye zoezi la kupata vitambulisho vya Mpiga Kura kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu mwakani 2025. Akizungumza wakati wa mafunzo ya walimu Makada wa CCM mkoani Songwe, Ryata alisema kuwa...
  2. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA Iringa wamkana Mwenyekiti Mungai kauli ya kumuunga mkono Mbowe

    Wakuu, Badamu batachuruzika safari hii! ===== Wajumbe wa Mkutano Mkuu CHADEMA kutoka Mkoa wa Iringa wakiongozwa na makatibu kutoka jimbo la Kilolo, Iringa mjini na wilaya ya Iringa pamoja na viongozi wengine wameibuka kupinga kauli ya mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Iringa, William Mungai...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Iringa: Watendaji ngazi ya halmashauri wapewa mafunzo, uboreshaji wa daftari la kudumu

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeendesha mafunzo ya siku mbili kwa watendaji kwa ngazi ya halmashauri na majimbo katika halmashauri ya Iringa huku watendaji hao wakisistizwa kwenda kuifanyia kazi elimu watakayoyapata kwenye ngazi za chini. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo Afisa...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi asakwa kwa mauaji ya mtuhumiwa wa Wizi wa Simu

    Jeshi la polisi mkoani Iringa linamsaka Askari wa Jeshi hilo aliyefahamika kwa jina la Sajenti Rogers wa Kituo cha Polisi Ipogolo na Askari wa jeshi la Akiba aitwaye Thomas Mkembela kwa tuhuma za kumuua Nashon Kiyeyeu mwenye umri wa miaka 23, Mkazi wa Nyamuhanga, Manispaa ya Iringa aliyekuwa...
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya rufaa Iringa yaanzisha huduma ya kujifungua na mwenza, ndugu au mwenza atashuhudia namna tukio la mama akijifungua

    Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Iringa imeanzisha rasmi huduma mpya ya kujifungua, huku ndugu au mweza wako akishuhudia namna tukio hilo linavyotea. Akizungumza na mwananchi ofisini kwake December 10, 2024 Mganga Mfawidhi wa hospitali hiyo Dk Alfred Mwakalebela amesema huduma hiyo ni mpya katika...
  6. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Polisi na Magereza watunishiana Msuli Iringa

    Naaaaaam naona kila MTU atafikiwa Tu. Ni suala la Muda Tu. Hapa ni Tanzania Prisons wakiwa wamezuiliwa Iringa kwa kosa la Overspeeding, normal speed ilitakiwa iwe 80km/HR yeye kaendesha kwa 85km/HR. Wakamdaka kuanzia saa tano asubuhi Hadi jioni. Jamaa wa Prison anapiga mkwara kuwa very soon...
  7. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tanzania Prisons (Wajelajela) Wadhalilishwa na RTO wa Iringa

    POLICE na Magereza wote ni Wizara Moja, inasemekana huko kunako Prisons wamesafirishwa toka ifunda hadi Iringa mjini kituo cha POLICE. Prisons walikuwa safarini kwenda Mbeya wakitokea Kagera Chanzo cha sakata ni mwendokasi wa dereva wa Prisons akiwa speed 90 badala ya speed 85. Pamoja na...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Maiti ya Mchungaji John Chida iliyosubiriwa ifufuke kwa miezi miwili yazikwa Iringa, Agnes Mwakijale anashikiliwa na Polisi kwa kuishi na Maiti

    Hatimaye mwili wa aliyekuwa Mchungaji wa Kanisa la El-Huruma (E.H.C), John Chida aliyetarajiwa kufufuka, umezikwa leo Desemba 6, 2024 katika makaburi ya Mlolo Manispaa ya Iringa. Mwili wa mchungaji huyo ambaye alifariki dunia Oktoba, uligunduliwa Desemba 3, mwaka huu ndani ya nyumba yake ukiwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania KERO Kuna maafisa Manispaa ya Iringa, Mtaa wa Kajificheni wamechimba mashimo barabarani na kuyatelekeza

    Mimi ni Mkazi wa Manispaa ya Iringa, Kata ya Ilala, Mtaa wa Kajificheni kwa niaba ya wenzangu tunaomba msaada wa kusemewa kuhusu shimo lililotelekeza kwa dhumuni la kutengeneza ‘kalavati. Kuna Maafisa ambao walikuwa wakishirikiana na Uongozi wa Serikali za Mtaa kuchimba mashimbo hayo kwa ajili...
  10. kwa-muda

    JamiiForums Tanzania Hawa jamaa wa Iringa chini ya Producer Ambha walitisha sana

    Ambha anadai kwamba alifanya production lakini hakutoboa akawa ameamua kufunga studio aachane na muziki maana nyimbo zilikuwa hazipigwi na hapati fedha. Sasa akiwa ashaamua kufunga studio, asubuhi kalala kaja yaki anamgongea dirishani anamwita ambha aamke kuwa kaja na faridah anataka wakarekodi...
  11. chiembe

    JamiiForums Tanzania Nimefatilia wote waliofariki Kariakoo wanatoka Kilimanjaro na Iringa, mikoa mingine haijaona umuhimu wa Kariakoo?

    Hili swali nimejiuliza muda mrefu, mwenye jibu anipe
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Iringa: Matokeo ya Uchaguzi wa serikali za mitaa mtaa wa Sabasaba

    Wakuu bado matokeo baadhi ya maeneo yameendelea kutoa. Vipi mtaani kwako mambo yapoje huko ===================== Matokeo ya Uchaguzi wa serikali za mitaa mtaa wa Sabasaba kata ya Gangilonga Jimbo la Iringa mjini mtaa ambao MNEC Salim Abri Asas anaishi.
  13. S

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Iringa: Wananchi na viongozi mbalimbali washiriki kupiga kura

    Wananchi na viongozi wa kada mbalimbali wameendelea kujitokeza katika upigaji kura kwenye vituo mbalimbali kuanzia majira ya saa 2 asubuhi Akizungumza muda mfupi baada ya kupiga kura Mkuu wa mkoa wa Iringa Peter Serukamba amewasihi wananchi kuimarisha utulivu wakati wote wa zoezi hilo
  14. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Iringa: UVCCM Glory Chambo awaangukia wananchi kwa magoti kuomba wawachague Wenyeviti wa CCM

    Wakuu, Mjumbe wa Baraza kuu la UVCCM kutokea Mkoa wa Iringa Cde. Glory Chambo amewaangukia Wanamagulilwa kuomba wawachague Wenyeviti Wanaotokana na Chama cha Mapinduzi siku ya Uchaguzi Serikali za Mitaa tarehe 27 Novemba 2024. Chambo amesema CCM ina haki ya kupewa muhula mwingine wa...
  15. kipoma

    JamiiForums Tanzania Shamba linauzwa Ismani - Iringa

    Habari, Shamba linauzwa eneo la Ismani mkoa wa Iringa, ukanda huu sehemu nzuri sana kwa uwekezaji wa mifugo, maeneo haya mifugo inazaliana sana na kukua kwa haraka ukilinganisha na kanda zingine hasa zenye baridi. Ukanda huu una joto hivyo mifugo haikubwi na milipuko ya magonjwa. Ukihitaji...
  16. kipoma

    JamiiForums Tanzania Shamba linauzwa Ismani - Iringa

    Habari, Shamba linauzwa eneo la Ismani mkoa wa Iringa, ukanda huu sehemu nzuri sana kwa uwekezaji wa mifugo, maeneo haya mifugo inazaliana sana na kukua kwa haraka ukilinganisha na kanda zingine hasa zenye baridi. Ukanda huu una joto hivyo mifugo haikubwi na milipuko ya magonjwa. Ukihitaji...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mbunge Ritta Kabati apiga magoti jukwaani akimwaga sera kwenye Kampeni kuelekea Uchaguzi Serikali za Mitaa Iringa

    Wakuu Kumeanza kuchangamka huko kwenye Kampeni
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Viongozi wa dini Iringa wataka ustaarabu wakati wa kampeni

    Viongozi Dini Mkoani Iringa wametoa wito kwa Vyama vya Siasa, wagombea na wananchi kuwa wastaarabu wakati wa Kampeni na baada ya Uchaguzi iku kulinda na kudumisha amani iliyopo nchini. Pia, Soma: • Yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Iringa • TAKUKURU Iringa kuanzisha...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 TAKUKURU Iringa kuanzisha uchunguzi kuhusu wagombea wa serikali za mitaa kujitoa baada ya rushwa

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU mkoa wa Iringa Imeanzisha Uchunguzi wa Madai ya Uwepo Baadhi ya Wagombea wa Serikali za Mitaa kujitoa Kugombea Baada ya kupewa Rushwa. Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Iringa, Domina Mkama ametoa Kauli Hiyo wakati akizungumzia Utendaji Kazi wa Taasisi...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Iringa: Polisi yaanza uchunguzi mauwaji ya Katibu wa CCM Kilolo

    Hivi nchi yetu tunaelekea wapi jamani? Maana matukio ya kutisha yanazidi kutoea. Haya Jeshi la Polisi mkoa wa Iringa limeingia kazini kufuatailia tukio la katibu wa CCM aliyeuwawa leo, Je watachukua muda gani kuja na majibu na pengine kuwakamata hao wauwaji? ================== Jeshi la Polisi...
Back
Top Bottom