iringa

Iringa is a city in Tanzania with a population of 151,345 (as of 2012). It is situated at a latitude of 7.77°S and longitude of 35.69°E. The name is derived from the Hehe word lilinga, meaning fort. Iringa is the administrative capital of Iringa Region. Iringa Municipal Council is the administrative designation of the Municipality of Iringa.
Iringa has been one of the coldest regions in Tanzania due to its geographical location but that has attracted a lot of tourists from colder regions abroad especially Western Europe. Iringa also hosts one of Africa’s largest national parks the Ruaha National Park.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Iringa: Katibu wa CCM Kilolo avamiwa na kuuawa na Watu wasiojulikana

    Watu Wasiojulikana Wanadaiwa wamemvamia aliyekuwa Katibu wa Chama Cha mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kilolo Mkoani Iringa, Christina Kibiki na kumuua kwa kumpiga risasi. Taarifa ambayo Matukio Daima Media tumeipata inadai kuwa watu hao Wasiojulikana wamefanya uvamizi huo usiku wa kuamkia leo Novemba...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hekta 200 za misitu zimekatwa kupata mkaa Kijiji cha Makombe (Iringa), mamlaka zipo kimya tu

    Tanzania imeweka lengo la kupunguza utoaji wa gesi chafu kwa asilimia 10 hadi 20 ifikapo Mwaka 2030. Hii ni sehemu ya jitihada za kimataifa za kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi. Taarifa hiyo niliiona kwenye madokezo ya Ofisi ya Makamu wa Rais. Hata hivyo, katika baadhi ya maeneo kama...
  3. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, acheni kulalamika kila muda, chukueni hatua

    Viongozi na wafuasi wa CHADEMA wamekuwa wahanga wakubwa sana kwa manyanyaso na kila aina ya dhuluma. Mara tu wanapofanyiwa hayo wamekuwa wakijitokeza kwenye Vyombo vya habari na kulalamikia vitendo hivyo. Mimi nafikiri kwa sasa tutoke kwenye kulalamika na twende kwenye kuchukua hatua kali...
  4. Ben Zen Tarot

    JamiiForums Tanzania iringa inapendeza

    juzi nilipita iringa mitaa ya mwembetogwa nikakuta mnyalu kajenga SKYCRAPPER lake hongera zake
  5. B

    JamiiForums Tanzania Ujio wa SGR umekuwa nafuu sana kwa wasafiri wa Dar,Mwanza, Arusha, Singida na Iringa

    Kwa sasa watu wengi sana wanaosafiri kutoka DAR - MZA wanapanda SGR kutoka DAR - DOM kwa masaa manne na wakishuka tu wanapanda gari za mwanza ambapo masaa 13 upo mza. MABUS YA DOM - MZA yanafursa hii kwa sasa pia abiria wanaoenda DAR IRINGA mtu anapanda zake SGR mpaka DOM then anakwea bus la...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Biashara nauliza Comfort Iringa ilikufaje wakati ilikuwa na wateja abiria wa mabasi?

    Wataalamu wa Biashara nauliza Comfort Hotel, kitonga Iringa ilikufaje wakati ilikuwa na wateja abiria wa mabasi?
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Iringa: Matukio Yanayojiri Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025

    Iringa ni mkoa uliopo Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania, kati ya latitudo 6.540 na 100, na longitudo 33 na 37° Mashariki. Mkoa huu unachukua eneo la kilomita za mraba 58,936. Iringa ni mji wenye mandhari mazuri, uliopo katikati ya sekta ya chai nchini Tanzania. Umejengwa kwenye mteremko wa...
  8. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mkuu wa Wilaya Iringa: Mawakala wa Vyama vya Siasa wameridhika na zoezi la uandikishaji wapiga kura Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Bwana Kheri James amesema kote walikopita wilani humo mawakala wa vyama vya siasa hawakuwa na manung'uniko yoyote, wamerdhika kabisa na jinsi zoezi linavyoenda. Sasa kule Chunga na Dar mnakwama wapi kufanya zoezi hili liende kistaarabu kama wenzenu wa Iringa? ===== Ikiwa imebaki siku moja...
  9. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwandikishaji Njombe: Mwitikio wa wananchi kujiandikisha Uchaguzi Serikali za Mitaa ni wa wastani, hamasa zaidi inahitajika

    Wakuu, Mwandikishaji kutoka mtaa wa jeshini, makambako Njombe kutoka aliyejitambulisha kwa jina la Pasdia Kayombo, asema mwitiko wa wananchi kushiriki kwenye kujiandikisha uchaguzi wa serikali za mitaa ni wa wastani, na kwamba umeongezeka kidogo baada ya hamasa kuongezwa akiongeza kuwa ni...
  10. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Iringa: Lukuvi kutoa Tsh. 500,000 kwa kijiji kitakachoongoza kuandikisha wananchi Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Wakuu, Tumefikia huku, watu tumekuwa wazito kushiriki kwenye shughuli za uchaguzi na siasa kwa ujumla mpaka ka hela kahusike! === Mbunge wa jimbo la Isimani ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) William Lukuvi ameahidi kutoa zawadi kwa vijiji vitatu...
  11. Abtali Mwerevu

    JamiiForums Tanzania Interview Iringa Ajira za Ualimu

    Kuna mdau hatumii JF, kachaguliwa kwenda huko Iringa, ila kaniomba nimtangazie group lake kwa waliochaguliwa kwenda huko ili mshirikiane mawili matatu wasomi nyinyi. Jiunge moja kwa moja kupitia link hii: Iringa Interview
  12. nipo online

    JamiiForums Tanzania Natumia usafiri gani kuitoa pikipiki kutoka Mtwara kwenda Iringa kupitia Songea?

    Samahan wataalamu wa long vehicles wanipe maarifa na gharama hua zinakuaje, lengo niitoe pikipiki aina ya haujiwea, kutoka masasi to iringa via songea. Je, ni lorry, busses, or by truck? Hakuna bus la moja kwa moja from masasi to iringa. Zinaishia Makambako. Asanteni.
  13. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Iringa Festival

  14. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Namtafuta rafiki wa kike awe Mafinga au Iringa mjini umri awe 35 and above Mimi ni mweusi Nina miaka 43

    Husika na kichwa Cha habari hapo juu naomba mwanamke yoyoye aliye mafinga au Iringa mjini awe rafiki yangu kipenzi. Kama upo maeneo hayo naomba uje inbox nipo serious, Mimi ni mwaminifu siyo tapeli nitakupenda na kukujari🙏🏿
  15. Roboti Wa Nape

    JamiiForums Tanzania Hii baridi la Kilolo sio ya Mchezo

    Leo nimeenda kumtembelea jamaa yangu mmoja anaishi sehemu moja inaitwa Kilolo Mkoa wa Iringa. Huyu ni mate wangu, nilisoma naye chuo kikuu anafanya kazi huku ni Afisa fulani. Wazee hii baridi sio mchezo. Kesho nitaikimbia na kurudi kwangu Dar. Sijui wanaishije hawa watu. Yaani nimeingia jioni...
  16. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Halmashauri ya manispaa ya Morogoro wekeni lami barabara ya zamani ya Iringa kuanzia SUA, Magadu mpaka Mzumbe

    Natoa pendekezo kwa halmashauri ya manispaa ya Morogoro iweke lami kwenye barabara hii muhimu, miaka ya zamani old Iringa Road ilikuwa na lami ambayo baadae iliondolewa kutokana na uchakavu badala ya kutengenezwa! Barabara hii kuanzia njiapanda ya SUA kuelekea Magadu hospitali ya jeshi mpaka...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya maeneo mkoani Iringa yapata mvua

    #HABARI:Baadhi ya maeneo ya Mafinga Mjini, mkoani Iringa, jana yamepata mvua za barafu ambayo kwa mujibu wa baadhi ya wakazi wakisema haijawahi kutokea huku wakiifananisha na ile ya nchi za Ulaya. Siku ya jana Oktoba 1, ilinyesha mvua hiyo ya barafu na kusababisha theluji kutanda barabarani na...
  18. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Iringa: Polisi yakana madai ya kada wa CHADEMA, Vitus Nkuna kushambuliwa na wasiojulikana barabarani, yasema alisababisha ajali kutokana na ulevi

    Jeshi la Polisi mkoani Iringa limemkamata kada wa Chadema, Vitus Nkuna kwa kusababisha ajali mnamo Septemba 30, 2024. Kamanda wa Polisi, SACP Allan Bukumbi, ameeleza kuwa Nkuna alikuwa anaendesha gari akiwa na kiwango kikubwa cha ulevi, hali iliyosababisha kugonga gari la kampuni ya KINGS. Hata...
  19. Kiungopunda

    JamiiForums Tanzania Mvua ya mawe Mafinga na baadhi ya maeneo ya mkoa wa Iringa

    Leo hapa mafinga kumepiga mvua ya mawe na hali ilikuwa kama hivi. Sehemu nyingine hali ilikuwa hivi. Hali ya barabara ya TANZAM ilikuwa hivi. Haki hii pia imeripotiwa maeneo mbalimbali ya mkoa wa Iringa.
  20. Perry

    JamiiForums Tanzania Iringa mjini mtu ukiumwa usiku unaweza kufa, hakuna Hospitali au Zahanati wanayokesha.

    Habari Zenu wakuu. Nimekuja Iringa mara moja kikazi, sasa usiku wa kuamkia leo mwili ni kama ulibadilika nikapata kitu kama homa kali sana, ilikua ni kama saa 9 usiku hivi nikasema ngoja nivumilie kukikucha tu niwahi hapo Aga Khan. Lahaula kwenye saa 12 alfajiri na madakika hivi nikamchukua...
Back
Top Bottom