US Tunawasubiri Iran waje kwenye mazungumzo

US Tunawasubiri Iran waje kwenye mazungumzo

5525

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
5,487
Reaction score
6,517
US.jpg
 
Kwani imekuwaje uyu Trump kuanza upya kutafuta Meza za mazungumzo ¿¿

chaguo la Kijesh lilikuwa ndio njia mkuu.

Haaaaa tunarudi tn kwenye mimeza❗️❗️❗️
 
Wanawasubiri wapi wakati Aragachi amesema yeye hana mda wa kukaa meza moja na marekani ila anafanya mazugumzo na pakstan kisa ataendelea na safari zake kwa mzee putin
Huyo naye kachanganyikiwa, kwani wanapigana na Pakistan au kuongea na Pakistan itafanya waachiwe wauze mafuta. Wanapoteza muda tu.
 
Back
Top Bottom