iran

  1. Ritz

    JamiiForums Tanzania Trump, anatafuta pakutokea anasema Nimeombwa Qatar, Saudi Arabia, United Arab Emirates, nisiwashambulie Iran.

    Wanakumbi. 🚨Kutoka kwa Rais Trump… “Nimeombwa na Emir wa Qatar, Tamim bin Hamad Al Thani, Mkuu wa Taji la Saudi Arabia, Mohammed bin Salman Al Saud, na Rais wa Falme za Kiarabu, Mohamed bin Zayed Al Nahyan, kusimamisha shambulio letu la Kijeshi lililopangwa la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran...
  2. 100 others

    JamiiForums Tanzania Iran yatoa mafunzo namna ya kutumia AK-47 mbashara kwenye Televisheni ya Taifa

    Televisheni ya serikali ya Iran sasa hivi inarusha vipindi vya mafunzo ya jinsi ya kutumia bunduki aina ya AK-47 kwa raia, ambapo wakufunzi kutoka jeshi la IRGC wanaonyesha namna ya kushika bunduki na kujiandaa kwa mapambano. Hatua hii isiyo ya kawaida inaleta maswali mengi magumu kuhusu...
  3. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi akiliza-liza huko India!!

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi akijiliza-liza kwenye mkutano na waandishi wa habari huko New Delhi, India. Maelezo Muhimu: Hatuwezi kuwaamini Wamarekani kabisa. Ndiyo maana kila kitu lazima kielezwe na kufafanuliwa kabla ya makubaliano yoyote. Kuna wale wanaotaka kuivuta...
  4. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Marekani imekataa pendekezo la Iran kwa ukamilifu.

    Kulingana na mwandishi mkuu wa Al Jazeera huko Tehran, Marekani imekataa pendekezo la Iran kwa ukamilifu na wakati wowote Iran itaanza kupigwa!! Pendekezo la Iran lilijumuisha masharti 5 ambayo lazima yatimizwe kabla ya kuanza mazungumzo: 1. Kumaliza vita katika pande zote 2. Kuondoa vikwazo...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Pigo Kubwa Kwa Iran: Rais Xin Ping wa China Amesema China na Marekani Zinatakiwa Kuwa Washirika na Siyo Washindani

    Siku zote tunasema kuwa China haiwezi kukubali kuingia uhasama na USA, jambo ambalo linaweza kuathiri uchumi wa China kwa kiasi kikubwa sana. Kwa nchi ya China, kipaumbele chake kikubwa ni uchumi wa China. Nchi ikiwekewa vikwazo, China inawahi haraka ili kujipatia bidhaa kwa bei nafuu isiyo na...
  6. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Leo ni Jerusalem day!!

    Yerusalemu ni zaidi ya mji. Ni moyo wa Wayahudi, mahali ambapo historia, imani, na utambulisho hukusanyika pamoja katika vizazi vyote. Leo tunaadhimisha Siku ya Yerusalemu na miaka 59 tangu kuunganishwa tena kwa mji mkuu wa milele wa Israeli. Kuanzia mawe ya kale ya Jiji la Kale hadi sauti...
  7. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran: Ulimwengu Unajua Kinachoisibu Israel Kutokana na Vita?

    https://youtu.be/jLnDr9GEKiU?si=uwb_tCX5jY4cGNUJ
  8. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Putin atoa onyo ole wake atakayethubutu kuchukua uranium ya Iran bila ruhusa ,,kumekucha!

  9. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa mipango mizuri ya serikali ,,wanaisingizia vita ya Iran

  10. Ritz

    JamiiForums Tanzania Iran yasema hakuna mbadala wa kukubali masharti yake ya kusitisha vita na Marekani

    Wanaukumbi. Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Bagher Ghalibaf, amesema hakuna njia nyingine isipokuwa kukubali haki za wananchi wa Iran kama zilivyoainishwa katika pendekezo la vipengele 14 lililowasilishwa na Tehran. Kauli hiyo ilichapishwa Jumatatu jioni kupitia akaunti yake kwenye mtandao wa X...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kumbe USA mdabwada, Iran ameshinda?

    Nilitegemea within a week or so, Iran awe " amekufa". Mpaka leo anadunda tena kwa kishindo cha ushindi! Kumbe USA ni maneno tu hana ubavu wa kupigana Vita! I stand to be corrected!
  12. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Vita vyetu na Iran havijaisha mpaka Uraniumu iondoshwe-Benjamin Netanyahu

    Netanyahu: Vita na Iran havijaisha, uranium iliyotajirishwa lazima ‘iondolewe’ Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu anasema kwamba vita na Iran havijaisha kwani bado kuna uranium iliyotajirishwa katika milki ya Iran ambayo “lazima iondolewe” nchini, na “kazi pana ya kufanywa” dhidi ya uwezo wake wa...
  13. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Magaidi zaidi ya 41 wakamatwa huko Bahrain kwa tuhuma za kuisaidia iran

    Bahrain iliwakamata watu 41 waliohusishwa na Kikosi cha Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu cha Iran, baada ya uchunguzi wa usalama kubaini shirika lililohusiana na IRGC na itikadi ya Wilayat al-Faqih. Kesi hizo zilihusisha mawasiliano na vyombo vya kigeni, shughuli zinazohusiana na ujasusi na...
  14. Ritz

    JamiiForums Tanzania Meli 1,500 na mabaharia 20,000 wamekwama Hormuz kutokana na vita vya Iran, Trump amebakia kupiga kelele kwenye mitandao.

    Wanaukumbi. Shirika la kimataifa la masuala ya bahari la Umoja wa Mataifa (IMO) limesema takribani meli 1,500 pamoja na mabaharia zaidi ya 20,000 wamekwama katika eneo la Ghuba ya Uajemi kutokana na vikwazo vya Iran kwenye njia ya Mlango wa Hormuz. Katibu Mkuu wa IMO, Arsenio Dominguez...
  15. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran: Marekani Imepwelewa Pakubwa Chombo Kimekwama Mchangani

    https://youtu.be/rXVVWfMv5wo?si=90SAmzHTuVpYN8ek
  16. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Tru.mp aibembeleza china imshauri Iran afungue Horms

    Nilishasema hapa kama Trump angejua ana dili na nani asingepoteza muda kuweka mikwara mingi pasipo suruhisho sasa akili imemkaa na ameamua kwenda china kupiga magoti na kumsihi china amshawishi Iran afungue Horms Ngoja nicheke kwa chini chini kwi kwi kwi kwi kwi......
  17. L

    JamiiForums Tanzania Vita nchini Iran vyaibua swali kuhusu usalama wa nishati duniani, na vinu vya upepo mjini Pingtan vimetoa jibu la China

    Kwenye mapumziko ya siku ya Mei Mosi, kwenye fukwe za Pingtan, mji uliopo kusini mashariki mwa China kulijaa watalii wengi. Vinu vikubwa vya upepo vyeupe vimesambaa kando ya ukanda wa pwani wa kilomita 5, mapangaboi yake makubwa yanazunguka polepole katika upepo. Hata hivyo, wakati watalii hao...
  18. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Kuna kila dalili za mataifa ya ulaya, Korea ya kusini na Japan kuingilia mzozo wa Iran

    Kulingana na duru mbalimbali za kisiasa na mizozo ya kimataifa kuna kila namna ya mataifa ya ulaya na Asia hasa Japan na Korea ya kusini kuingilia mzozo wa mashariki ya kati kuhusu usafiri wa mfereji wa Homuiz. Leo Korea imetoa taarifa inayoashiria kuwepo kwa mipango hiyo. Soon or never
  19. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania Marekani yashambuliwa na Jeshi la Wanamaji la Iran ambalo inadaiwa liliangamizwa

    Salaaam! Itachukua muda mrefu mno kuwaelewesha MADUNYA na MABAZAZI huu msemo wa kiingereza usemao kwamba "The First Victim of War is the Truth". Mhanga wa kwanza wa vita siyo mtu, bali ukweli. Vita hutawaliwa na hisia, propaganda, vitisho na woga wa kila namna. Usipokuwa makini unaweza ukabebwa...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania United Arab Emirates imesema kuwa inaendelea kukamata makombora na ndege zisizo na rubani kutoka Iran

    United Arab Emirates imesema mifumo yake ya ulinzi wa anga ilikabiliana na makombora 12 ya balistiki, makombora 3 ya cruise na ndege 4 zisizo na rubani zilizorushwa kutoka Iran siku ya Jumatatu. Mashambulizi hayo yalisababisha watu watatu kupata majeraha ya wastani, kwa mujibu wa Wizara ya...
Back
Top Bottom