USA ni mwisho wa safari they own internet .Trump amesema tukitoa internet tutawamaliza. Obama alikata internet siku moja kuwaadhibu North Korea.walitapatapa in a day.
Qasem Soleimani, Jenerali wa vikosi vya kikurdi vinavyoungwa mkono na Iran, ameuawa na vikosi vya Marekani nchini Iraq. Pentagon imethibitisha kuwa aliuawa kufuatia "amri ya rais".
Hayo yamejiri kufuatia ripoti ya mashambulio katika uwanja wa kimataifa wa ndege wa Baghdad, ambayo ilisema...
Shirika la utetezi wa haki za binaadamu la Amnesty International limesema takribani watu 304 waliuawa katika siku tatu za ukandamizaji dhidi ya waandamanaji nchini Iran mwezi Novemba.
Awali shirika hilo lilikadiria watu 208, wakiwemo watoto wawili wa umri wa miaka 15 na 17. Lakini Iran...
Watu 81 wamekufa kwa sababu ya janga la homa ya mafua
Watu 81 wamekufa kwa sababu ya janga la homa ya mafua nchini Iran.
Naibu Waziri wa Afya wa Iran Ali Riza Reisi, ameliambia shirika rasmi la habari la Iran wiki iliyopita, kuwa watu elfu 8 333 wamefika mahospitalini wakilalamika kandamwa na...
A Russian state company suspended a research project with Iran because of its decision to resume enriching uranium, a move a senior official said Thursday was necessary after the U.S. canceled a waiver to allow the joint venture.
The TVEL company said in a statement that Iran’s decision to...
Mzuka wanajamvi!
Njaa iliyoko Iran inatisha sasa hivi. Chakula chao kikuu wali na mayai vimeadimika. Kuna ufukara wa aina yake. Hii ni kutokana na vikwazo vya uchumi Marekani ameweka.
Wanaoteseka sana ni akina mama. Pedi ama taulo za wanawake hamna kupatikana shida. Serikali inabana waandishi...
Rais wa Iran, Hasan Ruhani, amesema kwamba kiwango cha mafuta kilichopo nchi hio kitaongezeka kwa takribani theluthi moja ya kiwango kilichopo hivi sasa kutokana na hifadhi mpya ya mafuta kugunduliwa nchini humo.
Kituo cha runinga cha Iran kiliarifu kwamba Ruhani alikuwa akihutubia wananchi...
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wiki hii imezindua mfumo wa Makombora yenye kuhamishika (mobile) ya Ulinzi yaliyopewa jina Bavar-373. Makombora haya yanetengenezwa Tekinolojia ya ndani ya Taifa hilo na kwaa mikono ya raia wazalendo wa Iran bila kushirikisha Taifa lolote la nje.
Uwezo wake...
Boti tatu zenye silaha zinazoaminika kuwa za Jeshi la Iran zimejaribu leo kuikamata meli ya mafuta ya Uingereza katika eneo la Ghuba bila mafanikio
Shirika la Utangazaji la CNN limeripoti likiwanukuu maafisa wawili wa Marekani wakisema kuwa meli hiyo ya Uingereza ilikuwa ikiingia katika mlango...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.