iran

  1. Bonde la Baraka

    Haya sasa vijana mliokuwa na ndoto ya kuwa wanajeshi ila ndoto hizo zikafa, US na Iran itakuwa suluhisho

    Yes, kwa nchi zenye utulivu na ukosefu wa ajira kama Tanzania vijana wengi hupenda kuwa wanajeshi. Changamoto wanazokutana nazo ni matumizi mabaya ya ofisi na madaraka, hivyo basi mpaka ndugu wa Maafisa waishe, mpaka ndugu wa wenye fedha waishe ndipo utazamwe mtoto wa maskini. Vyombo vya ulinzi...
  2. R

    Maandamano Iran/Teheran

    Waandamanaji wengi sana! An imaginary situation, USA akidondosha ka bomu kamoja katka utitiri huo, ataua wangapi! Kitatokea nini? Trump amesema " I will hit back severely if Iran retaliates". Tuombe, let each party restraint from acting as per his wishes.
  3. kimsboy

    Iran yapandisha Bendera Nyekundu katika msikiti wa Jamkarān kuashiria vita inakuja

    Katika hali isiyo ya kawaida na isiyotarajiwa Iran imepandisha bendera nyekundu ikiashiria ishara ya vita kuu. Kikosi cha mapinduzi ya kiislam kimeapa kulipa kisasi na kutoa jibu kali kwa Marekani. Tujiandae kushuhudia moto ukiwaka. Taarifa zaidi; Jamuhuri ya Kiislamu ya Iran imepandisha...
  4. britanicca

    Rais Trump: Marekani itashambulia kwa nguvu na haraka sehemu 52 za Iran iwapo itagusa sehemu au Mmarekani katika kulipa kisasi

    Rais Trump amesema ameorodhesha maeneo 52 ya Iran watakayoyashambulia kwa nguvu na haraka iwapo ataguswa Mmarekani au eneo lolote la Marekani kama kulipa kisasi Jana, Iran yenyewe ilibainisha kuwa imeorodhesha maeneo 35 ya Marekani watakayoshambulia kulipa kisasi cha kifo cha aliyekuwa Kamanda...
  5. Bikis

    Marekani kutoa kipigo zaidi kwa Iran

    Juhudi za kimataifa zinaanza huku Rais Donald Trump wa Marekani, ambaye binafsi aliagiza mauaji hayo ya Jenerali Soleimani, akiitishia Iran kwamba nchi yake itavishambulia vituo muhimu 52 kwa Iran endapo Jamhuri hiyo ya Kiislamu itaamuwa kulipiza kisasi. Akitumia jukwaa lake maarufu la mtandao...
  6. britanicca

    Iran Inachekesha sana /hatuiwezi USA tutamshtaki kimataifa

    On Iranian TV, @JZarif says assassination of Qassem Soleimani, "was clearly a terrorist action" and #Iran "will launch various legal measures at the international level to hold America to account." Steve Herman on Twitter Nashangaa mbona tumeambiwa atalipiza Kisasi, lakini kinachoongelewa ni...
  7. N

    Marekani wanamkumbuka Sadam Hussein .Sadam alikuwa anawakomesha IRAN watajutia

    Sadam Hussein ailiuliwa kwa ajiki gani haswa.Mbona watamkumbuka sasa
  8. N

    Trump anataka kukata internet Iran

    USA ni mwisho wa safari they own internet .Trump amesema tukitoa internet tutawamaliza. Obama alikata internet siku moja kuwaadhibu North Korea.walitapatapa in a day.
  9. Fbn

    Marekani yamuua Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Iran katika shambulio la roketi la uwanja wa ndege wa Baghdad

    Qasem Soleimani, Jenerali wa vikosi vya kikurdi vinavyoungwa mkono na Iran, ameuawa na vikosi vya Marekani nchini Iraq. Pentagon imethibitisha kuwa aliuawa kufuatia "amri ya rais". Hayo yamejiri kufuatia ripoti ya mashambulio katika uwanja wa kimataifa wa ndege wa Baghdad, ambayo ilisema...
  10. Nyendo

    Amnesty: Waandamanaji 304 waliuawa Iran mwezi Novemba

    Shirika la utetezi wa haki za binaadamu la Amnesty International limesema takribani watu 304 waliuawa katika siku tatu za ukandamizaji dhidi ya waandamanaji nchini Iran mwezi Novemba. Awali shirika hilo lilikadiria watu 208, wakiwemo watoto wawili wa umri wa miaka 15 na 17. Lakini Iran...
  11. Miss Zomboko

    Iran: Watu 81 wapoteza maisha kutokana na homa ya mafua

    Watu 81 wamekufa kwa sababu ya janga la homa ya mafua Watu 81 wamekufa kwa sababu ya janga la homa ya mafua nchini Iran. Naibu Waziri wa Afya wa Iran Ali Riza Reisi, ameliambia shirika rasmi la habari la Iran wiki iliyopita, kuwa watu elfu 8 333 wamefika mahospitalini wakilalamika kandamwa na...
  12. dudus

    Russia suspends project with Iran due to uranium enrichment

    A Russian state company suspended a research project with Iran because of its decision to resume enriching uranium, a move a senior official said Thursday was necessary after the U.S. canceled a waiver to allow the joint venture. The TVEL company said in a statement that Iran’s decision to...
  13. The Mongolian Savage

    Wanawake wa Iran ndiyo waathirika wakuu wa vikwazo vya Marekani, hata taulo za kike wanakosa

    Mzuka wanajamvi! Njaa iliyoko Iran inatisha sasa hivi. Chakula chao kikuu wali na mayai vimeadimika. Kuna ufukara wa aina yake. Hii ni kutokana na vikwazo vya uchumi Marekani ameweka. Wanaoteseka sana ni akina mama. Pedi ama taulo za wanawake hamna kupatikana shida. Serikali inabana waandishi...
  14. Miss Zomboko

    Shirika la mafuta la Iran limegundua hifadhi mpya yenye kiwango kikubwa cha mafuta

    Rais wa Iran, Hasan Ruhani, amesema kwamba kiwango cha mafuta kilichopo nchi hio kitaongezeka kwa takribani theluthi moja ya kiwango kilichopo hivi sasa kutokana na hifadhi mpya ya mafuta kugunduliwa nchini humo. Kituo cha runinga cha Iran kiliarifu kwamba Ruhani alikuwa akihutubia wananchi...
  15. muqawama

    Vita na Iran inahitaji akili za mwendawazimu

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wiki hii imezindua mfumo wa Makombora yenye kuhamishika (mobile) ya Ulinzi yaliyopewa jina Bavar-373. Makombora haya yanetengenezwa Tekinolojia ya ndani ya Taifa hilo na kwaa mikono ya raia wazalendo wa Iran bila kushirikisha Taifa lolote la nje. Uwezo wake...
  16. Zuia Sayayi

    Boti za Iran zakwama kuikamata meli ya mafuta ya Uingereza. Iran yapinga vikali taarifa hizo

    Boti tatu zenye silaha zinazoaminika kuwa za Jeshi la Iran zimejaribu leo kuikamata meli ya mafuta ya Uingereza katika eneo la Ghuba bila mafanikio Shirika la Utangazaji la CNN limeripoti likiwanukuu maafisa wawili wa Marekani wakisema kuwa meli hiyo ya Uingereza ilikuwa ikiingia katika mlango...
Back
Top Bottom