Habari wana jukwaa?
Inasemekana meli moja inayopeperusha bendera ya Tanzania imekamatwa na vikosi vya wana maji vya Iran ikiwa na shehena ya mafuta ghafi ipatayo tani 900 ambayo ni ya wizi.
---
Iran's Revolutionary Guards seized a tanker holding 900 metric tons of "smuggled fuel" and 12 crew...
Wizara ya Mambo ya Nje nchini Iran imewashauri Wairani dhidi ya kufanya safari zisizo za lazima nchini Ufaransa huku kukiwa na machafuko yanayoendelea.
Pia Wizara hiyo imeishauri polisi na serikali ya Ufaransa kujizuia kutumia mabavu kutuliza vurugu zinazoendelea na kuzingatia matakwa ya...
Israel huwa hawakawii kulipua kila wakipata sababu.
Suspected Israeli airstrikes reportedly occur in Damascus, Syria, early May 29.
Suspected Israeli airstrikes have reportedly occurred at several locations in Damascus early May 29. There were no immediate reports of casualties or material...
Jameni Urusi imeachwa bila kete nyingine, juzi karusha hypersonic ikashushwa, drones za Iran hazina umuhimu tena huku tarehe ya rais kuhutubia nchi ikiwadia, pia Bakhmut imeshindikana......
===========================
Ukraine air defenses shot down 35 Iranian-made drones over Kyiv in Russia's...
Aina mpya ya drone boat, yaani aina ya mashua inayosafiri yenyewe bila nahodha na yenye uwezo mkubwa, imepita pale Strait of Hormuz huku Irain wakishangaa shangaa...
=======================
The U.S. Navy sailed its first drone boat through the strategic Strait of Hormuz on Wednesday, a crucial...
Taarifa zimeibuka za namna Iran iliwasaidia magaidi wa kidini kushambulia Israel kwa rockets, uchunguzi zaidi unaendelea kufanywa, hili taifa la Iran hulia lia likitaka liachiwe lijihami kwa nyuklia.....
Esmail Qaani, who leads Iran’s Islamic Revolutionary Guard Corps’ elite Quds Force, has...
Bunge la Iran limeidhinisha mapendekezo ya kutoa adhabu kali kwa wahusika wa ukatili dhidi ya wanawake, mapendekezo ambayo yanaweza kupitishwa na kuwa sheria ndani ya miezi michache.
Yakianzishwa zaidi ya miaka 10 iliyopita, majadaliano bungeni yalipelekea kupitishwa siku ya Jumapili kwa kanuni...
Ripoti mbalimbali zinadai kuwa Benki kuu za Urusi na Uchina zimeanza kuondoa akiba ya dola ya Marekani katika hifadhi yake huku biashara zake nyingi zikiendeswa kwa Yuan ya China. Kuhama huku kutoka kwenye dola kumechochewa na vikwazo vilivyowekwa dhidi ya Urusi kwa kuivamia Ukraine...
Machi 10, 2023, China, Saudi Arabia na Iran zilitoa taarifa ya pamoja mjini Baijing, ikitangaza kuwa nchi hizo mbili za Mashariki ya Kati zitarejesha uhusiano wa kidiplomasia na kutekeleza makubaliano muhimu ya pande mbili yaliyositishwa kwa miaka saba.
Maendeleo hayo adimu ya kidiplomasia...
Baada ya drone kumuua Mmarekani mmoja Syria, Marekani walijibu kwa kushambulia ngome ya magaidi wa Iran na kuua kadhaa....
US airstrikes killed eight pro-Iran fighters in eastern Syria following a drone attack that killed one American contractor and wounded five US service personnel, a war...
Irani imefanya mashambulizi ya Drone na Rocket kwenye Kambi za Jeshi la Marekani Usiku wakuamkia leo. Taarifa zinasema Ile mifumo ya Ulinzi wa Anga Ulilala Fofofo.
Dunia Inako Elekea Nipatamu sana
The main air defense system at a coalition military base in northeast Syria was “not fully...
Iran inapumuliwa kote, kwa sasa inafuatiliwa kwa makini, meli yoyote yenye silaha za Iran ni halali ya wababe wa dunia hii....
The British navy seized anti-tank missiles and fins for ballistic missile assemblies during a raid on a small boat heading from Iran likely to Yemen, authorities said...
Huku serikali ikiendelea kuwanyonga raia wake ili imlinde 'mungu' wa dini yao, ila wananchi wamedhamiria lazima wafike mwisho wake.....hata wauawe mamilioni....wameandamana miji kadhaa kwa mpigo.
Mayatollah wanalo.....
=====================
Protesters in Iran have marched through the streets of...
Ni ajabu sikujua ipo siku hawa watu watakuja kuanza kubadilika na kuacha uzombi wa kidini....
China and Iran have urged mutual neighbor Afghanistan to end restrictions on women's work and education.
The call came in a joint statement Thursday issued at the close of a visit to Beijing by...
Nimeshangaa sana hawa Waisrael ambao hatuishi kuwasema kwa ubaya wamekuwa mstari wa mbele kwenda kuokoa Waarabu wa Uturuki. Pamoja na Ukafir wao.
But nashangaa Iran huyu ambaye nampenda sababu anajaribu sana kumsaidia Mrusi kwenye vita dhidi ya Ukraine. Amenyamaa tu. Saud Arabia, Iraq,Pakistan...
Jeshi la ufaransa limekamata shehena ya kutisha ya silaha zilizokuwa zikielekea kwa waasi wa huthi nchini Yemen.
============================
French forces seize shipment of weapons headed from Iran to Yemen
Officials say the seizure happened in January, with the weapons set for Yemen’s Houthi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.