Baada ya Watu wengi kuhoji uoga wa Iran kuigusa Israel, wairan walipo ndani ya Iran wale ambao hawataki tawala ya Hawa mamullah wametoa ya moyoni.
Wanasema Marekani hata ashambulie vipi bado hawaoni kama vita imerudi, wanaamini na wanatamani Israel iingie kati sababu Israel huwa hawana utani...
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) limedai kufanya mashambulizi ya pamoja kwa kutumia makombora na ndege zisizo na rubani (drones) dhidi ya rada ya mfumo wa ulinzi wa C-RAM katika Kambi ya Ali Al Salem nchini Kuwait, pamoja na eneo lililodaiwa kuwa mahali pa mkusanyiko wa...
Iran imesema endapo itashambuliwa na silaha za Nyuklia watajibu Kwa Ukubwa sana na hawataangalia fatwa inayowakataza kutumia silaha za maangamizi ya binadamu Kwa kushambulia vinu vya Nyuklia vya Israel ambavyo vitaleta maafa kwenye Nchi hiyo ndogo tofauti na wao ambapo wataathirika lakini Ukubwa...
Kuna wajinga wengi wanauliza kwanini Iran haipigi Israel anapiga Gulf states na nchi kama Jordan na Syria pamoja na Iraq.
Ukweli Iran target yake ni kuitwanga Israel lakini kumbukeni hizo nchi ndio walinzi wa kwanza wa Israel kuna nchi zilikuwa zinangusha drones, Missiles za Iran zinawapa...
Msikilize mwenyewe Netanyahu, anasema this time there will be no next time ...
Benjamin Netanyahu has now publicly threatened to use nuclear weapons against Iran while speaking in Dimona, near Israel's main nuclear research facility, where the country maintains an undeclared nuclear weapons...
Majeshi ya Marekani sasa hivi yanajipigia tu pale yanapotaka huko Iran. Safari hii ni zamu ya Miundombinu ya madaraja na minara ya Mawasiliano!!!
Iran nayo hawa hiki kubwabwaja ovyo na vitisho visivyo na tija!!!
Sambamba na kauli za Rais wa Marekani Donald Trump mapema wiki hii, Jeshi la Anga...
Marekani wameanza kushambulia Miundombinu ndani ya Iran. Hali ni mbaya sana, Iran imeshindwa kutoa upinzani wowote. Marekani wanajipiga popote wanapotaka bila presha.
Kwa muda mrefu Trump alikua akitishia kuvunja Miundombinu, hatimaye ameanza na baadhi tu kama mfano kiwaonyesha Iran kuwa ana...
My Take
Tulikubaliana kwamba Nchi Zenye Demokrasia na Katiba Mpya Huwa hazinyanyasi watu wakiwemo waandishi wa habari na kwamba huko mambo ni saaaafi kabisa ,hii vipi tena wajameni? 😂😂😂😂
Chadomo mpo? Mkileta ukibaraka mshughulikiwe bila huruma...
Ukiangalia migogoro ya iran na USA ni kama hawa watu wamekuwa mwana seserere wa nchi zilizopo karibu na iran.
Na mpaka sasa unaweza kujiuliza wao kama wanafanya biashara kwa nini watumie nchi nyengine mfano iran anavyo fanya na nchi za nyengine kumtumia USA kuwapiga.
HABARI MPYA: Mossad ilijaribu kumgeuza mmoja wa maadui wakubwa wa Israeli kuwa mali yake kubwa zaidi.
Kulingana na New York Times, Israeli ilitumia miaka mingi kujaribu kumsajili Rais wa zamani wa Iran Mahmoud Ahmadinejad kama mali ya kijasusi, ikiwa na mpango wa kusaidia kuangusha utawala wa...
Moto mkubwa umeripotiwa katika kituo kinachoendeshwa na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC-AF) karibu na eneo la Choghadak, katika Mkoa wa Bushehr, kufuatia taarifa za mashambulizi yaliyofanywa na Jeshi la Anga na Jeshi la Wanamaji la Marekani usiku uliopita.
Kituo hicho...
Serikali ya Yemen inayotambuliwa kimataifa imesema vikosi vyake vimeishambulia Uwanja wa Ndege wa Sanaa unaodhibitiwa na waasi wa Houthi, kwa lengo la kuzuia ndege ya Iran kutua katika uwanja huo.
Hali hii inanishtua sana. Hawa Yemen si walipaswa wawasaidie Iran?
Iran wakipigwa na marekani basi haraka haraka wanakimbilia kurusha mafataki Yao huko Bahrain na Kuwait(kwa wanyonge) kwa kisingizio kuwa Kuna Kambi za marekani
Israel Wana Kambi ya Marekani, Mbona Iran hashambulii Israel??
Jana na Leo marekani zipo ndege zao zinaruka kutokea Israel, Mbona Iran...
Leo jeshi la wanajeshi wa mapinduzi ya kiislam ya Iran IRGC limesema kuwa hakutakua na muingiliano wowote wa majeshi kutoka nje ya nchi za ghuba na ghuba ya uajemi usipokua Iran.
Strait of Hormuz is no longer free to the international others. Ila kama suezi canals na panama canal wanalipa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.