iran

  1. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuona Mkong'oto Umewaingia kisawasawa na ma sponsor wao Iran wamebanwa hawana pesa, Hamas yasema ipo tayari ku surrender,

    Baada ya kuona mambo yamebadilika na wafadhili wao wakikumbwa na changamoto za kifedha, Hamas sasa wanaonekana kulegeza msimamo. Afisa wa kundi hilo anayehusika na mazungumzo, Ghazi Hamad, amesema Hamas ipo tayari kukabidhi silaha zake kwa Kamati ya Kitaifa ya Palestina, chombo kinachopendekezwa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Missiles za Iran Zimetua Ukraine

    Vitu vya Iran vimetua Ukraine https://youtu.be/_eX4qA8y1d8?si=qsxopyxvgp18eaXO
  3. dronedrake

    JamiiForums Tanzania Mabomu ya HIMARS yakirushwa toka Kuwait kuelekea kusini mwa Iran

    Video inayosambaa mtandaoni, ikionesha mabomu ya HIMARS yakirushwa toka Kuwait kuelekea kusini mwa Iran kwa mashambulizi yaliyofanyika jana usiku. Kabla ya hapo, waziri wa Kuwait alisisitiza kwamba nchi yake haitumiwi na jeshi la Marekani kuishambulia Iran.
  4. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran na Marekani: Vita Vinazidi Kupanuka

    Kulingana na vyanzo ulivyotoa, mwanahistoria Mohamed Said anatoa uchambuzi wa kina kuhusu mzozo wa kijeshi kati ya Iran na Marekani, akiangazia mbinu za kivita, ukimya wa kimataifa, na mabadiliko ya kijiografia katika nchi za Ghuba. Hizi hapa ni nukuu muhimu kuhusu vita hivyo: Kuhusu Kichapo na...
  5. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Je, iran akimshambulia ukraine, umoja wa ulaya utaingia katika hii vita?

    Baada ya Ukraine kushambulia meli za Iran zilizokuwa zinaelekea Urusi, IRGC imeapa kushambulia bandari za Ukraine. Kumbuka Ukraine inasaidiwa pakubwa na umoja wa Ulaya kujihami dhidi ya Urusi. Will EU just watch?
  6. zitto junior

    JamiiForums Tanzania Uturuki ilivyozuia mpango wa siri wa Mossad na CIA kupindua serikali ya Iran

    Gazeti la New York Times imeripoti mpango uliokuwa umesukwa na Mossad kwa ushirikiano wa karibu na CIA wa kutumia vikundi vya waasi wa kikurdi huko Iran na Iraq ili kushambulia na kupindua serikali ya Iran. Mipango hii pia ilihusisha kumtumia Rais mstaafu wa Iran Mohammed Ahmedinejad kama...
  7. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran na Marekani: Maandamano Kuwait

    Kulingana na vyanzo ulivyotoa, neno "maandamano" na harakati za kudai mabadiliko zimezungumziwa katika mazingira mawili tofauti: maandamano ya wananchi katika nchi za Ghuba dhidi ya kambi za kijeshi za Marekani, na wito wa vijana wa Tanzania kuchukua hatua za ujasiri kudai mabadiliko ya...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Iran imepiga jengo la CIA Uarabuni, Marekani yailaumu Urusi kuwa imeisadia Iran Taarifa za kupiga

    Kulia kupokezana,kutesa kwa zamu,ukikwaga ugali,namwaga mboga,ulikua hili wenzako wanajua lile. Marekani anajifanyaga anajua sana uhuni,kumbe Kuna wahuni kama yeye. Makao ya majasusi wa Marekani CIA yamepigwa na dogo Iran,Marekani anamlaumu Mzee Urusi kua yeye ndio kampa connection. Hivi...
  9. Ritz

    JamiiForums Tanzania Egypt, Turkey. Canada, Panama, United States, hawa wote kupita kwao lazima ulipe Tozo kwa nini Marekani hawataki Iran walipwe Tozo

    Wanaukumbi. Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Arakçi: "Misri inatoza kati ya $200,000 na $700,000 kwa kila njia inayopitia Mfereji wa Suez; kwa meli kubwa za makontena au meli za mafuta, takwimu hii inaweza kuzidi dola milioni 1. Uturuki inatoza ada ya njia kwa Mlango-Bahari wa Istanbul...
  10. Brother Depo

    JamiiForums Tanzania AL Jazeera wanahoji kwanini Iran inashambulia nchi za Kiarabu lakini wanaogopa kuishambulia Israel na Meli za Kivita za Marekani?

    Siku chache niliweka Uzi wenye kuhoji kama hivi ambavyo al Jazeera wamehoji. Wairan wa tandale walikuja na maneno mengi, haya Al Jazeera nao wamekuja na huo mshangao. Kwenye hii taarifa ya al Jazeera wanaohoji kwa Nini Iran wanaikwepa Israel ikiwa Kuna ndege za marekani zinaruka kutokea Ben...
  11. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Trump anajuta na kulia kuhusu Iran

    Mashambulizi ya Iran yamejeruhi takriban wanajeshi 100 ndani ya wiki mbili - Pentagon Chanzo cha picha,Getty Images Wizara ya Ulinzi ya Marekani, Pentagon, imesema takriban wanajeshi 100 wa Marekani wamejeruhiwa katika mashambulizi ya Iran ndani ya kipindi cha wiki mbili zilizopita, hali...
  12. Fbn

    JamiiForums Tanzania Iran muda mwingine ukimfikiria kama kichekesho. USA ndio anakupiga wazi wazi we unaenda kuwatisha majirani zako

    Majigambo yake sijui ana makombora ya kufikia marekani mbona kama hizi story tumezichoka. Sasa unataka kumpiga kuwait kakukosea nini. Naona iran inaelekea kuwa uhuru sio mda.waarabu wenyepesa washafika dau.
  13. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran na Marekani: Inashangaza Marekani Haikubaini Kuipiga Iran Ni Kujiangamiza Yenyewe

    Kulingana na vyanzo ulivyotoa, mwanahistoria Mohamed Said anachambua mzozo kati ya Iran na Marekani akizingatia athari zake kwa mataifa ya Ghuba na mabadiliko ya nguvu za kijeshi duniani. Hizi hapa ni nukuu na hoja muhimu: Kibri na Maangamizi Mohamed Said anabainisha kuwa mzozo huu unachochewa...
  14. dronedrake

    JamiiForums Tanzania Makombora ya balistiki ya Iran yakatiza juu ya anga la Israel Kusini yakielekea Jordan

    Israel imewatahadharisha wananchi wake waishio kusini, juu ya hatari ya makombora kadhaa ya balistiki yaliyokatisha angani kuelekea jiji la Aqaba, nchini Jordan Ving'ora vya kuashiria hatari vililia miji kadhaa ya kusini mwa Israel ikiwemo Eliat, na wananchi wote kuamrishwa waingie kwenye...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Muunganiko wa vita kubwa mbili,Urusi v Ukraine na Iran v USA pamoja na Israel,ni Wazi Sasa tuko kwenye vita kuu ya tatu ya Dunia

    Wanajamvi,vita kubwa mbili tofauti zinazohusisha ma Supapawa wa asili,hivi Sasa zinapiganwa hapa Dunia. Vita ya kwanza ni Urusi dhidi ya Ukraine. Vita ya pili ni Iran dhidi ya USA pamoja na Israel. Vita hizi mbili zimeigawa Dunia mara mbili yaani Urusi inapigana na Ukraine,ambapo Ukraine...
  16. X

    JamiiForums Tanzania Marekani imechapika hapo M.E mpaka Maafisa wa Marekani wanashuku kuwa China au Urusi huenda wanasaidia Iran

    Iran yazidi kuimarisha uwezo wa makombora, ikiweka changamoto mpya kwa mifumo ya ulinzi ya Marekani. Iran imeboresha makombora yake ya ballastic missiles kwa kuongeza uwezo wa mambo mawili muhimu: Kasi kubwa (High Speed) Makombora yanapokaribia shabaha yanaweza kufikia kasi kubwa sana...
  17. Pulchra Animo

    JamiiForums Tanzania THE ASSOCIATED PRESS: US military says 2 troops are dead and 1 is missing after Iran attacks a base in Jordan

    DUBAI, United Arab Emirates (AP) — The U.S. military on Saturday announced its first troop deaths due to direct Iranian fire since the opening days of the war, with two killed and another missing in an attack on a base in Jordan after days of intensifying exchanges of fire. Friday’s drone and...
  18. dronedrake

    JamiiForums Tanzania CENTCOM imekiri kuuliwa kwa baadhi ya wanajeshi wa kimarekani kadhaa nchini Jordan baada ya mashambulizi ya makombora balistiki ya Iran usiku wa Jana

    Wanajeshi wawili waliokuwa wanatumikia jeshi la Marekani chini Jordan, wameuwawa kwa makombora ya balistiki ya Iran yaliyovurumishwa usiku wa jana kwenye kambi kadhaa za Marekani Mmoja wa wanajeshi hao haonekani alipo mpaka muda huu Ikumbukwe, jeshi la ulinzi la Jordan ilisema lilifanikiwa...
  19. bless on

    JamiiForums Tanzania Kashfa ya Mafuta Iran: Mossadegh na CIA

    Zamani, mafuta yote ya Iran yalikuwa mikononi mwa kampuni ya Waingereza Leo inaitwa BP. Waingereza walikuwa wanachukua faida kubwa, huku Wairani wenyewe wakiambulia patashika na umaskini. Mwaka 1951, akatokea mshua mmoja anaitwa Mohammad Mossadegh, akachaguliwa kuwa Waziri Mkuu. Huyu mzee...
Back
Top Bottom