Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,426
- 7,851
Baada ya Iran kushindwa mbinu zake zote kuifuta israel kwenye uso wa dunia mara kadhaa!! Leo tena kuna Bango jipya la matangazo katika Uwanja wa Palestina mjini Tehran, Iran leo linaipa Israeli miaka mingine 15 ya kuwepo. Siku 5,218 zimesalia.
Nina uhakika asimia 100% Iran wataangukia pua tu!!
Nina uhakika asimia 100% Iran wataangukia pua tu!!