iran

  1. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Wanyonge wa Iran( Waarabu ) hatimaye wapatiwa silaha za kujilinda dhidi ya Iran

    Marekani imeidhinisha uuzaji wa makombora 5,250 ya Patriot na THAAD kwa Bahrain, Kuwait, Qatar na Falme za Kiarabu kama sehemu ya juhudi kubwa ya kujaza akiba ya ulinzi wa anga wa Ghuba. Hatua hii inafuatia matumizi makubwa ya vizuizi vya makombora ili kukabiliana na mashambulizi ya makombora...
  2. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Israel iko tayari kuishambulia Iran kivyake bila msaada wa yeyote!!!

    Inaripotiwa kwamba Israeli imeifahamisha Marekani kwamba iko tayari kuishambulia Iran yenyewe ikiwa ni lazima maana nia wanayo,Uwezo pia wanao wa kuitia adabu Iran Taifa la Israel lina haki na uwezo wa kujilinda kutokana na uchokozi wa Iran. Wakati wowote Magaidi wa Iran wataanza kupigika...
  3. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran na Marekani: Kipindi Maalum IBN TV

    Mzee Mohamed Said anaielezea Marekani kama taifa lililopoteza nguvu zake na kushindwa vibaya katika mzozo wa sasa: "Irani imedhibitishia dunia kuwa hawa Marekani ni chui wa karatasi". "Marekani ameishiwa nguvu huwa ameishiwa silaha kipigo alichopata katika zile vituo vyake vemweka katika hali...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ofisa wa CIA apendekeza Marekani ishirikiane na Al Qaeda na ISIS kuiangusha Iran

    Sina maelezo mengi, video yenyewe inajitosheleza
  5. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran na Marekani: Mungu Apitishie Mbali Vita Vya Nuclear

    Kuhusu Kudhoofika kwa Nguvu za Marekani na Israel Mohamed Said anaeleza kuwa Marekani imepoteza nguvu zake za kijeshi dhidi ya Iran kiasi cha kulinganishwa na "chui wa karatasi": "...tunavyodhani kuwa ni nguvu za Israeli ni nguvu za Marekani umekija kujulikana kuwa hawa wakitumia sana...
  6. zitto junior

    JamiiForums Tanzania Baada ya MOSSAD kufeli huko Iran, viongozi waandamizi wafukuzwa kazi

    Mkurugenzi wa Mossad, Roman Gofman, amewaondoa maafisa wawili waandamizi wa shirika la ujasusi ambao walihusika kwa karibu katika kutengeneza mpango usiofanikiwa wa kuangusha utawala wa Iran, televisheni ya Israeli iliripoti Alhamisi. Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Israel, mmoja wa maafisa...
  7. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa kigaidi wa Iran huko Mashariki ya kati!!

    Iran haikujenga himaya yake ya uwakilishi usiku kucha. Ilitumia miongo kadhaa ikifanya hivyo huku sehemu kubwa ya nchi za Magharibi zikiangalia upande mwingine. Huku serikali za Magharibi zikizingatia mijadala ya kisiasa na kitamaduni ya ndani, Iran iliwapa silaha Hezbollah, Hamas, Houthi...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Trump: Tunaendelea na Mazungumzo mazuri na Iran

    Rais wa Marekani Donald Trump amesema utawala wake umefanya mazungumzo "mazuri sana" na Iran katika mazungumzo ya siku nzima yaliyofanyika Jana Agosti 2,2026, jambo lililoongeza matumaini kwamba mzozo uliodumu kwa miezi mitano unaweza kufikia mwisho hivi karibuni. Trump amekuwa akitoa vitisho...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Hatimae makubaliano kati ya Iran na Oman kuhusu mlango wa bahari wa Hormuz yafanyika

    Iran na Oman zinaripotiwa kukaribia kufikia makubaliano mapya ya kuruhusu usafiri wa meli kurejea katika Mlango-Bahari wa Hormuz, huku nchi hizo mbili zikitarajiwa kugawana udhibiti wa njia za kupita pamoja na mapato yatakayokusanywa kupitia kile kinachoelezwa kuwa “ada za huduma.” Kwa mujibu...
  10. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran na Marekani: Iran Taifa la Mashahidi na Mashujaa

    https://youtu.be/2AJc0jjjz9k?si=IBOQqohMS8pQIGn9
  11. Natty Bongoman

    JamiiForums Tanzania Muajemi (Iran) karibuni atakuwa ndo kiongozi wa nchi za kiIslamu Uarabuni

    Habari wanaJamii, Muajemi anashinda vita, kabomoa makambi mengi ya mmarekani - sawa na kumfukuza Uarabuni, na hakuna nchi ya kiarabu yaweza pambana nae. Pia itikadi zake za kutaka waarabu kujitawala bila mikono ya wamagharibi inapendwa na wengi, japo hawasemi ivo - matendo yao yaongea wazi...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Wawili wanyongwa Iran kwa kutuma taarifa za siri za Jeshi kwa Mossad Majasusi wa Israel

    Iran imewanyonga raia wake wawili, baada ya kutuhumiwa kwa kutuma taarifa nyeti za kijeshi pamoja na location za maeneo ya kiusalama kwenda Israel. Inadaiwa kuwa taarifa hizo zilitumwa wakati wa vita vya siku 12 mwezi Juni 2026, pamoja na wakati wa vita vinavyoendelea hadi sasa na Iran. Taarifa...
  13. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran na Marekani: Marekani Yasalimu Amri: Kila Mchuma Janga Hula na Wakwao

    Mohamed Said anakumbuka wimbo waliokuwa wakiimba utotoni huko Mnazi Mmoja, Dar es Salaam, walipokuwa wakicheza kwenye mapembea: "...tukikaa kwenye kile tulikuwa tunaimba mchimba kisima akaingia mwenyewe wewe kaingia mchimba kisima ndoa hii mchimba kisima kaingia mwenyewe fedha hii..."...
  14. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran Na Marekani: Kuangamia Kwa Wote

    Mohamed Said, hizi hapa ni nukuu muhimu zinazohusu mzozo wa Iran na Israel: Kuhusu Uwezo wa Kijeshi wa Iran dhidi ya Israel Vyanzo vinaeleza kuwa hali ya sasa imebadilika na kuifanya Israel kuwa katika hatari zaidi: "Iran sasa inaweza kuipiga Israel kad inavyotaka". Inaelezwa kuwa Marekani...
  15. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Safari hii Iran lazima anyooshe maelezo kwa Trump!!

    Iran safari hii lazima watatema ndoano!!!
  16. M

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya ndege 40 za Marekani zaharibiwa tokea wa mapigano ya anga ya Iran

    Mgogoro wa Iran Kikosi cha uokoaji cha Marekani kiliacha ndege mbili aina ya MC-130J na helikopta nne aina ya MH-6 Little Bird ndani ya Iran baada ya usafiri huo kuzama kwenye mchanga laini wa njia ya ndege ya kurukia ndege ya kielektroniki.Vyombo vya habari vya serikali ya Iran Helikopta hizo...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kitaeleweka si muda mrefu: Marekani yaonya uwezo wa kujilinda wa Israel dhidi ya Makombora ya Iran

    Kamanda mkuu wa jeshi la Marekani nchini Ulaya, Jenerali Alexus Grynkewich, ameionya Pentagon kwamba Jeshi la Wanamaji la Marekani linaweza hivi karibuni kushindwa kuendelea kuilinda Israel dhidi ya mashambulizi ya makombora ya balistiki ya Iran kutokana na uhaba wa meli za kivita aina ya...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa, Iran katupia missiles ngapi huko Marekani mpaka aelekee kushinda vita,?

    Wana jamvi hamjamboni? Kunazo tarifa lukuki zikitokea Iran ya Madale kuwa, Tayari huko vita vya Beberu mkuu na Iran ya wairan wanaouumia ukiachana na wairan wa Miswe, eti viko mwishoni mwishoni kuimalizika huku Iran akiwa ndiye mshindi wa vita kwa kumchakaza Marekani kisawasawa Swali langu ni...
  19. zitto junior

    JamiiForums Tanzania Open-Source Intelligence: Silaha ambayo Iran Haikulazimika Kuinunua

    Kwa miaka mingi Marekani imewekeza trilioni za dola kwenye satelaiti, ndege za upelelezi, drones, rada na mashirika ya kijasusi ili kupata taarifa za adui. Lakini inaonekana Iran imegundua njia rahisi zaidi na ya gharama nafuu: bando la jero na kufungua tu TikTok, X, Instagram au Facebook...
  20. zitto junior

    JamiiForums Tanzania Marekani yamaliza 65% ya makombora kwenye vita ya Iran

    Tathmini mpya za wataalamu wa masuala ya ulinzi wa Center for Strategic and International studies (CSIS) zinaonyesha kuwa Marekani imetumia zaidi ya asilimia 65 ya makombora yake ya Patriot Interceptor missiles (PC2 na PC3) pamoja na sehemu kubwa ya makombora ya THAAD katika operesheni za hivi...
Back
Top Bottom