Mashambulizi ya Iran dhidi ya kambi za jeshi la marekani mashariki ya kati yameharibu vifaa na miundo mbinu 228 kwa mujibu wa picha za satellite zilizoachiwa.Idadi ya uharibifu ni mkubwa mno tofauti na ripoti zilizotolewa na makao makuu ya jeshi Centcom.
Wiki ya kwanza ya vita inaonyesha kambi...
Wanakumbi.
⚡️EXCLUSIVE: We have obtained a complete version of the current “Memorandum of Understanding” between Iran and the United States
Details of the current Peace Deal, per an Iranian MP:
1. Declaration of the end of the war throughout the Middle East
2. Respect for each other’s...
Wanaukumbi.
Qatar — imetatua tatizo la mwisho: $12 bilioni katika mali za Iran zilizogandishwa. Mkataba huo unahamia kwa sababu ya Doha.
🇮🇷 Iran — inapata mabilioni ya pesa zilizogandishwa, vikwazo vya mafuta vimeondolewa, ada za Hormuz zimerejeshwa. Bei: makubaliano ya nyuklia ya siku zijazo...
Jeshi la Marekani usiku huu wa tarehe 26/05/2026 limefanya mashambulizi ya kijeshi kwenye sites za kurushia makombora za Iran na boti ambazo wamedai zilikuwa zinajaribu kusimika mabomu baharini
==========
US military says it struck southern Iran in 'self-defence'
The US military said it...
Supapawa wa Dunia akishirikiana na supapawa wa Middle East Israel wakipigana na nchi iliyowekewa vikwazo na kutengwa na Dunia kwa miaka zaidi ya 40 Iran.
Sasa tuangalie bajeti zao za ulinzi kwa mwaka 2025.
Iran
Iran's official military and security budget for the 2024–2025 period was set at...
Wanaukumbi.
🇮🇷 Iran Yakataa Masharti ya Marekani Kuhusu Fidia:
🇮🇷 Iran yasema Marekani haiwezi kuamua fidia ya kifedha kwa upande mmoja katika makubaliano yoyote ya amani.
Tehran inadai:
Kuondolewa mara moja kwa mali zote za Iran
Kuondolewa kabisa kwa vikwazo vya mafuta
🇮🇷Iran inaweza kupata...
Ripoti mpya ya Axios inasema makubaliano yanayoibuka kati ya utawala wa Trump na Iran yanaweza kujumuisha Tehran kutoa akiba yake ya urani iliyoruyubishwa, kusimamisha urutubishaji wa urani kwa muda mrefu, na kufungua tena Mlango-Bahari wa Hormuz.
Kulingana na Axios, maafisa wa Marekani...
Ijumaa ilopita Iran wamezungumza na shirikisho la kandanda Duniani FIFA kuomba kuhamisha timu yake ta taifa ya kandanda na maofisa wote wanoandamana na timu hiyo nchini Mexico, baada ya kukikiri kuwa wachezaji karibu wote wamepitia mafunzo maalum kutoka jeshi maalum la mapinduzi la Iran maarufu...
Picha za satellite za Iran zilionesha uharibifu mkubwa na hasara kubwa sana Marekani ilipata kutokana na kipigo Cha Iran kilichofanywa katka makambi (bases) za Supapawa Marekani huko mashariki ya kati.
Makambi mengi yalipigwa, na ndani ya makambi hayo yalikua ni Kambi za ndege,meli,rada...
Baada ya Trump kutangaza kuwa wako karibu kufikia Muafaka na Magaidi ya Serikali ya Mapinduzi ya Iran, Israel kuna uwezekano mkubwa wakashindwa kukubaliana na makubaliano dhaifu yanayokwenda kutiwa saini na Trump na magaidi hao wa Iran.
Mpaka asubuhi hii hakuna tamko rasmi kutoka serikali ya...
Kule mnaitwa "abeed" , yani mtumwa, ni jina lililozoeleka kumuita ngozi nyeusi yoyote karne na karne ila huku unatoa mimacho ukiwa unakomenti kwa hasira wakati kule utalazwa chooni maana hauna hadhi kubwa.
Trump alijua vita ya Iran itamuongezea points na MAGA wenzake kuelekea uchaguzi wa wabunge na magavana mwezi Novemba. Kilichotokea ni amepoteza points nyingi.
Sasa juzi serikali yake imemfungulia mashtaka Raul Castro kwamba mwaka 1996 akiwa waziri wa ulinzi kwenye serikali ya Fidel Castro...
My Take
Naunga mkono hoja,watu ndio Nguvu ya Taifa kiuchumi,kijeshi na kiteknolojia.
============
Kiongozi mkuu mpya wa Iran, Mojtaba Khamenei, ameibua mjadala mkubwa kimataifa baada ya kusisitiza umuhimu wa kuongeza idadi ya watu kama mkakati wa kuimarisha nguvu ya taifa.
Kupitia ujumbe wake...
Iran is threatening undersea cables. The world’s ‘digital chokepoints’ have never been more vulnerable
Ngoma inogile waache wajichanganye tena safari hii hata pesa kwenye ATM hawatatoa .
Hizi zimepita pale Hormz ,wasipokata watalipisha tozo kama Misri lakini Iran wao waliacha free lakini dunia...
Wanakumbi.
🚨Kutoka kwa Rais Trump…
“Nimeombwa na Emir wa Qatar, Tamim bin Hamad Al Thani, Mkuu wa Taji la Saudi Arabia, Mohammed bin Salman Al Saud, na Rais wa Falme za Kiarabu, Mohamed bin Zayed Al Nahyan, kusimamisha shambulio letu la Kijeshi lililopangwa la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.