ipi

The Kumeyaay, also known as Tipai-Ipai or by their historical Spanish name Diegueño, are a tribe of Indigenous peoples of the Americas who live at the northern border of Baja California in Mexico and the southern border of California in the United States. Their Kumeyaay language belongs to the Yuman–Cochimí language family.
The Kumeyaay consist of three related groups, the Ipai, Tipai and Kamia. The San Diego River loosely divided the Ipai and the Tipai historical homelands, while the Kamia lived in the eastern desert areas. The Ipai lived to the north, from Escondido to Lake Henshaw, while the Tipai lived to the south, in lands including the Laguna Mountains, Ensenada, and Tecate. The Kamia lived to the east in an area that included Mexicali and bordered the Salton Sea.

View More On Wikipedia.org
  1. Gemini AI

    JamiiForums Tanzania Tumalize utata: Jezi ipi kali msimu huu kati ya Yanga na Simba?

  2. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namba ipi ya jezi huwa unaipenda nje ya namba 1 mpaka namba 11?

    Mimi huwa napenda namba 39 na aliyefanya niikubali hii namba ni Toni Kroos wakati akiwa Bayern Munich. Wewe huwa unapenda ipi kubwa nje ya namba 1 mpaka 11?
  3. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Kupaka mbao dawa au kupaka oil ipi inakaa muda mrefu bila wadudu kula?

    Wakuu mimi Niko hapa kwenu nawapa tip ya ujenzi hii hapa maana mimi kwenye ujenzi nmeboboa. Kutreat mbao kwa dawa zile za kijani kijani wanazopiga wengi wauzaji wa mbao. Oili chafu inadumu muda mrefu zaidi kuliko hizi dawa. Ukweli ndio huo oili kwanza kadili inavyopigwa joto ndio kwanza...
  4. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Unachagua ipi kati ya hizi mbili?

    Kwa wewe Mwanaume unapendelea ipi kati ya hizi mbili A/B, nawewe Mwanamke unapenda mwenza wako avae ipi kati ya hizi mbili? Tiririka....
  5. Aggrey sallah

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya Kutokukata Tamaa: Mdau, Hadithi Yako ya Mafanikio ni Ipi?

    Katika safari yako ya mafanikio, ni wakati gani ulijikuta karibu sana na kukata tamaa? Ni nani au nini kilikusukuma uendelee mbele? Tunapenda kujua hadithi yako na mambo yaliyokupa nguvu ya kusimama tena na kuendelea kupigania ndoto zako.
  6. Saa 7 mchana

    JamiiForums Tanzania Ni komenti yako ipi au uzi wako upi uliouanzisha ambao unatamani uufute? Ya kwangu mimi ni hii

    Eeh bhana Kunabaadhi ya komenti tunaandika au nyuzi. ila baada ya muda mtu unakuja kuufahamu ukweli ambao unakuwa ni tofauti na komenti yako au uzi wako ulioanzisha. Binafsi nimegundua kunasehemu nikiandika tango poli bila kujua na nitashea nanyi leo. Komenti yangu niliandika kwenye uzi wa...
  7. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Sheria ipi inazuia ukiwa na mkopo wa mshahara NMB (SWL)huwezi kuhamisha mshahara benki nyingine?

    Leo mzee wa kulalamika Daily, Nimechoka na makato ya NMB Nikaona nihamishe mshahara kwenye bank nyingine yenye makato nafuu kidogo, Nikapata bank moja hivi wenyewe hawana makato ya uendeshaji, Sijui makato ya Mastercard n.k Wakanipa fomu yao nipeleke kwa afisa utumishi, Ndio akanipa majibu...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Je, nichague course ipi nzuri na yenye fursa ya ajira kwa combination za arts?

    Mimi ni muhitimu wa kidato Cha sita mchepuo HGK. Nahitaji kujua ni course ipi nzuri na yenye fursa ya ajira naweza kwenda kusomea chuo kikuu?
  9. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Kati ya hizi ipi napata hela kirahisi

    Wazee wa blog
  10. E

    JamiiForums Tanzania Hivi tofauti kati ya watu kama kina Lucas Mwashambwa na kina Erythrocytes/ faiza Foxy ipi ? Wana umuhimu gani katika Taifa ?

    Hivi Lucas mwanaCCM na Erythrocytes na mtu mwenye mwenye mitazamo kama ya Faiza Foxy watu wasiobadilika zaidi ya kutukuza watu ni Ipi ? Na wana umuhimu gani kwenye Taifa ?
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Acha Unafiki ni Nguvu Kazi ipi unayoitetea hapa wakati walipokulilia na Kodi Kero na Kodi Komoa zako uliwajibu Kidharau wahame wakaishi Burundi?

    Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba amesema jinamizi la ajali nchini limezidi kuwa kero huku kutofuata sheria akitaja mojawapo wa chanzo kikuu, huku akiwataka maofisa usalama barabarani kutoangalia namba za gari ni la Serikali au binafsi sheria itumike sawa kwa wote. “Madhara yake tunapoteza...
  12. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ukahaba/Umalaya ni kosa la jinai kwa sheria zipi na tafsiri ya ukahaba ni ipi kisheria nchini Tanzania?

    Nimekuwa nikiona viongozi hasa wa mkoa wa Dar es Salaam na wilaya zake wakiendesha oparesheni mbalimbali za kukamata wanaoitwa makahaba pamoja na kufunguia kile wanachokiita madanguro. Ningependa kufahamu ukahaba na biashara ya madanguro ni makosa kulingana na sheria zipi za nchi ya Tanzania...
  13. Kazanazo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ipi ni njia sahihi ya kukabiliana na ongezeko la ukahaba katika jamii?

    Kumekuwepo na malalamiko miongoni mwa jinsia ya kike na ya kiume Wanawake wanasema wanaume ndio chanzo cha ukahaba kwakuwa wao ndio wanunuzi na watumiaji wa huduma itolewayo na wauzaji(wanawake) hivyo wakiacha kununua hakutakuwa na wauzaji Huku wanaume wakilaumu wanawake kujirahisisha na kuwa...
  14. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ipi ili kuwa habari ya kweli juu ya jamaa hawa wawili, nchini Kenya?

    Nakumbuka zili zuka habari na minong'ono mingi ya mabwana hawa wawili. Ghafla waka pewa cheo cha Uaskari, mara tafrija zisizo eleweka. Skendo za raisi wa kipindi kile, sijui mwanae au mkewe naye yumo. Mpinzani akadai mamluki wamefika. Je nani aweza sema kitu juu ya lipi lilikuwa lengo lao hasa.
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waziri wa Michezo Dkt. Ndumbaru kama sasa TFF wameamua Makocha wa Taifa Stars watakuwa ni Wazawa Kocha Amrouche Mshahara anapewa wa kazi ipi?

    Najua unanisoma sana GENTAMYCINE hapa JamiiForums hivyo nasubiria Jibu lako kwani Wewe ulivyo na Kiherehere baada ya Kocha Amrouche Kutukera Watanzania kule AFCON ulisema tena kwa Kujiamini kabisa kuwa Kocha Amrouche bado ni Mwalimu Mkuu wa Taifa Stars ila hivi karibuni / majuzi tu Rais wa TFF...
  16. Paa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nichukue laptop ipi kati ya hizi mbili?

    1. 2024 ASUS ROG Zephyrus G16 GU605MI-G16.U94070 Intel Core Ultra 9 185H 16GB RAM 1TB NVMe SSD NVIDIA GeForce RTX 4070 16" 240Hz OLED 6.1m 2. LENOVO LEGION PRO 5 16IRX8 1TB SSD 32GB RAM CORE I9 113th gen INVIDIA GEFORCE RTX 4060 (8GB) DEDICATED WINDOWS 11 HOME 16.0” WQXGA BATTER 4 CELL 5.7m
  17. third eye chakra

    JamiiForums Tanzania Je, Dini ya kweli ni ipi?

    👉WAISLAMU 🕌husema UKRISTO ni DINI ya UONGO✔️ 👉WAKRISTO ⛪husema UISLAMU ni DINI ya UONGO.✔️ SASA MIMI NAKUBALIANA NA WOTE KWAMBA UISLAMU🕌 na UKRISTO⛪ Ni DINI za UONGO✅ Watu wengi ukiwauliza Swali Kwamba Ebu nielezee MUNGU ni kitu gani, yukoje, anafanya nn❓ Halafu mwambie asiishirikishe Biblia...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leo rasmi ligi kuu ya NBCPL inamalizika, mechi ipi utaitazama zaidi?

    Ligi kuu ya NBCPL leo rasmi inatamatika kwa kucheza michezo nane na hadi sasa Bingwa ni Yanga lakini tutashuhudia vita vikali vya kumaliza nafasi ya pili ambapo hapa ni Simba sc na Azam fc ambao ndiyo wanao wanao wania nafasi hiyo lakini vita nyingine ni ya mfungaji bora kati ya Aziz Ki wa...
  19. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tumalize Ubishi hapa: Ipi bora kati ya Chama kubaki Simba au kwenda Yanga?

    Salaam Wakuu, Kama ilivyo ada inapofika mwisho wa msimu baadhi ya Wachezaji pia humaliza mikataba na timu zao, Miongoni mwa Wachezaji waliomaliza mikataba yao kwa nchi yetu ni Cloatus Chota Chama ambaye kwa sasa anakipiga mitaa ya Msimbazi Kariakoo. Kutokana na umahiri wa mchezaji huyu...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leo sasa ni Paredi la Ubingwa wa Yanga upo mitaa ipi kuliona Paredi la Mabingwa

    Leo sasa ni Paredi la Ubingwa wa Yanga upo mitaa ipi kuliona Paredi la Mabingwa
Back
Top Bottom