Anataka nisafiri ili nikaonane naye, na kama nitashindwa kusafiri itabidi yeye aje siku hiyo hiyo anifuate kwa sababu ana hamu sana ya shoo.
Wakati huo huo kwenye hiyo siku anayotaka tuonane naye, natakiwa nisafiri niende mkoa mwingine kwa shughuli za kibiashara, ambayo ni muhimu sana katika...