Je nitumie dawa/tiba ipi?

Je nitumie dawa/tiba ipi?

papag

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
1,293
Reaction score
1,947
Habari wakuu?
Miezi 4 iliyopita nilifanyiwa upasuaji wa utumbo mdogo kulikuwa na uvimbe. Pale Aga khan hospital. Baada ya upasuaji, mguu wangu wa kulia ulivimba kwa kupata kitu kinaitwa " blood clots ". Nilitibiwa kwanza kwa kuvishwa soksi maalum baadae nikawa na dozi ya sindano na mwisho vidonge. Ukawa sawa.

Sasa wiki mbili zilizo pita nilianza mazoezi ya kutembea. Mwanzoni hakukuwana shida yeyote. Ila wiki hii nimefanikiwa kuweza kutembea kilomita 4.7.

Sasa ule mguu umerudia kuvimba ila sio kama mwanzo,ni kama 50% hivi.
Na hatua nilizo chukua ni kuacha kutembea.
JE KUNA TIBA YEYOTE YA KUWEZA KULIMALIZA TATIZO HILI?
AAhsanteni sana Dr's.
 
Kwanini umetembea 4.7km wakati unajua mguu wako unashida?

je huo ni mpango wa doc
 
Fanya carnivores diet kwa siku 90 utakuja kunishukuru. Muhimu sana kurudi hospitali pia.
 
Habari wakuu?
Miezi 4 iliyopita nilifanyiwa upasuaji wa utumbo mdogo kulikuwa na uvimbe. Pale Aga khan hospital. Baada ya upasuaji, mguu wangu wa kulia ulivimba kwa kupata kitu kinaitwa " blood clots ". Nilitibiwa kwanza kwa kuvishwa soksi maalum baadae nikawa na dozi ya sindano na mwisho vidonge. Ukawa sawa.

Sasa wiki mbili zilizo pita nilianza mazoezi ya kutembea. Mwanzoni hakukuwana shida yeyote. Ila wiki hii nimefanikiwa kuweza kutembea kilomita 4.7.

Sasa ule mguu umerudia kuvimba ila sio kama mwanzo,ni kama 50% hivi.
Na hatua nilizo chukua ni kuacha kutembea.
JE KUNA TIBA YEYOTE YA KUWEZA KULIMALIZA TATIZO HILI?
AAhsanteni sana Dr's.
Pole sana mkuu ,afya ndiyo kila kitu ,kazi zipo tu ,rudi tena hospital.

Angalia afya yako mkuu,afya yako ndo namba moja.
 
Back
Top Bottom