Legacy ya Rais Samia ni ipi mpaka sasa?

Legacy ya Rais Samia ni ipi mpaka sasa?

Etwege

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2018
Posts
7,809
Reaction score
19,451
Rais Samia ameshakaa madarakani kwa zaidi ya miaka 5 kama Rais wa nchi yetu Tanzania hivyo ni jambo la busara kuanza kutahimini utendaji wake na kama kuna legacy yoyote atakayokumbukwa nayo siku hayupo madarakani.
 
1. Ujenzi zaidi ya kilometa 1,500 za reli ya SGR awamu ya tatu nne na tano
2. Ujenzi wa madarasa zaidi ya 8000 sekondari (Hakuna kukamata kuku au mifugo ya wananchi kuchangia ujenzi wa madarasa.
3. Uwanja wa ndege wa Kimataifa Dodoma
4. Viwanja vya Kimataifa vya mpira Dodoma na Arusha
5. Phase ya tatu, nne na tano BRT Mwendokasi
6. Hospitali za wilaya
7. Shule mpya za Sekondari kila wilaya
8. Kukamilisha phase one ya reli ya SGR kilometa 722 za awali (Dar hadi Makutupora) alizoanzisha JPM
9. Kukamilisha bwawa la kufua Umeme la Mwalimu Nyerere bila kutetereka.
10.
11.

Kisiasa amekuwa imara kiasi cha kuweza kuhimili purukushani za wanasiasa wenye nguvu ambao wote wameishia kustaafu au kukaa kando wakiwemo:
1. Ndugai (Spika)
2.Tulia (Spika)
3. Mpango (Mkamu wa Rais)
4. Nchimbi (Makamu wa Rais)
5. Mbowe (Mwneyekiti Chadema)
6. Lissu (Mwenyekiti CHADEMA na muasisi wa vugu vugu la uasi la Oktoba 29)
7. Majaliwa (Waziri Mkuu)
8. Gwajima (Mbunge na mshawishi wa vugu vugu la uasi la na vurugu za Oktoba 29)
9. Kitima ( Padri na mshawishi wa machafuko ya Oktoba 29)
10. Nape (Mbunge mwenye kiburi)
11. Kinana (Mbunge na Katibu Mkuu CCM)
12. Makamba (Mbunge na Waziri)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom