KimChi
Senior Member
- Feb 14, 2018
- 123
- 166
Wana JF habari,
Nina biashara yangu ya chips. Natumia mkaa kukaangia viazi na gas kuchomea chips, Nina mpango wa kununua gas deep fryer kwaajili ya kukaangia viazi. Swali ni je deep fryer ipi ni NAFUU kwa matumizi ya nishati yake(NB sio unafuu wa bei ya deep fryer) kati ya fryer ya umeme na gas, au niendelee tu na mkaa.
Wazoefu naomba ushauri au tag mzoefu anisaidie