GwajiBoy
Member
- Jan 7, 2025
- 34
- 60
Habari Mimi ni kijana wa miaka 25+ ninamtaji wa Tah 1M niko shinyanga mjini sasa naombeni ushauri wakuu,
1: Kufugua biashara ya duka la mangi mtaani. Kwa sababu ya ufinyu wa mtaji. Mzunguko mtaani ni mkubwa
2: Kufungua duka sokoni (kibanda kipo hakuna Kodi) ili niwe nachanganya baadhi ya bidhaa ziwe za jumla na zingine za reja reja (nimeambiwa naweza kuwa nachukua mzigo harafu nikiuza napeleka Hela) Mzunguko wake ni mkubwa ila una faida kidogo sana