internet

  1. K

    Betty takes photo with politician and stirs the internet

    Betty Kyallo stepped out with Alinur for the much anticipated FA Cup final between Arsenal and Chelsea. Betty broke the internet earlier in the day as she adorned Chelsea colors. Netizens could not keep calm and they took sides on who would come out on top between the two teams. Her fellow...
  2. Ni GB za ngapi za Internet ushatumia kwa mwezi uliopita(June)? Share hapa

    Hello wakuu hii post ni mahususi kwa ajili ya kushare screenshot za matumizi yetu ya vifurushi vya internet kwa mwezi unaoisha (mwezi wa 6) Labda kupitia hii post watu wa makampuni ya simu waliopo humu Jamiiforums wakipitia post hii na kuona matumiz ya wateja wao kwa upande wa data ni makubwa...
  3. Wanaotumia Mtandao wa Halotel Basi Wana tabu siyo Internet wala Huduma kwa Wateja

    Nipo hapa nimeshajaribu kupiga huduma kwa Wateja lakini ninachokutana nacho, mtandao unasumbua Ata anayeongea humsikii, unaskiliza mikoromo tu mpaka masikio yanauma. Internet ndo kabisa Kwenye kudownload utakesha Inaenda slowly sana, Mida yake mpaka uivizie saa nne usiku Mpaka saa mbili humo...
  4. GE2020 Tundu Lissu: Nitazungumza na Taifa Jumatatu, 8 Juni, 2020 kupitia Facebook Live Streaming | 14:00 EAT 13:00 CET 7:00AM EST (USA)

    Nitazungumza na Taifa Jumatatu, 8 June, 2020 kupitia Facebook Live Streaming. 14:00 EAT 13:00 CET 7:00AM EST (USA)
  5. Msaada: Laptop yangu inakataa kuconnect na internet

    Habari yako, PC yangu kwa muda sasa kila nikijaribu kuconect internet kupitia simu yangu inasema "Limited" na status yake inasema "unidentified network" na "no internet access", natumia windows 8. Nimekuja hapa kuomba msaada wenu wa jinsi ya kulitatua tatizo hili.
  6. C

    Hivi Matumizi ya internet kwa mtandao wa Vodacom yako vipi?

    Wakuu nauliza hivo maana kilichotokea wala sijaamini Yaani 1GB imeisha kwa kudownload apps mbili tu na kutumia whatsapp ndani ya dakika 10 Hii kali sasa
  7. Internet yenye thamani nzuri kwa matumizi makubwa ya internet (100GB+ kwa mwezi)

    Kwa mtu mwenye matumizi makubwa ya data - tuseme 100GB kwa mwezi - Ni huduma gani ya internet nzuri? sio lazima iwe mtandao wa simu, matumizi ni kwenye PC. Ni kwa ajili ya matumizi binafsi.
  8. M

    Tigo mmebadilisha bei za vifurushi vya internet vya wiki?

    Habarini wadau na wanajf wote. Hongereni kwa kuuzingatia ushauri wa wataalamu wa afya ili kuzuia maambukizi mapya ya covid-19. Nauliza Bei mpya ya vifurushi vya internet vya wiki kwa mtao wa tigo vimebadilika kutoka sh 3000/=? nimejaribu kumnunua lakini napata and ya kuwa Sina salio la kutosha...
  9. Wito fanya ufutaji wa akaunti zako kwenye applications au kompyuta kabla huja uninstall programu husika

    Sitakupa maelezo marefu sana ya kupoteza muda wako, ila umakini na faragha ni muhimu sana nyakati hizi za kimageuzi ya mitandao na ukuaji wa teknolojia. Kwa watumiaji wa vifaa ya kimtandao kama simu na kompyuta iwe ya mezani au mipakato jaribuni sana kuwa na umakini ikiwa utaacha kutumia...
  10. Watumiaji wenye matumizi makubwa ya Internet nawaomba kidogo/Heavy Internet users

    Ni katika kuelimishana tu na kushtuana kama ilivyokua kipindi kile wakati nikijiona mjanja kulipia DSTV package na kupata vitu vizuri kumbe kuna wajanja wanakula channel zangu za DSTV kwa kutumia huduma za cable, FTA DISH, nk nk. Baada ya kusanuka nikaingia ulimwengu ule nilijishangaa sana kwa...
  11. Airtel Kwa hii spidi yenu ya internet HAPANA

    Kwa kweli ninahuzunika sana Inakuaje mnakuwa na internet slow kiasi hiki? Iwe mjini au pembezoni kote ni Jau kabisa. Fanyeni kitu bwana nyie ni mtandao wa watu wazima mnatakiwa muwe na mambo mazuri. Mnashindwa nini sasa? This is too much. Hii post nimeanza kuandika sijua saa ngapi ila ndo...
  12. Ajira ya online: Unaweza kuandika Kiingereza, unayo laptop au computer na unayo access ya internet?

    Utangulizi Ni kampuni ndogo ya IT inayojishughulisha na ku manage website na ku manage kurasa za mitandao ya kijamii ya makampuni na watu binafsi, hivyo tunahitaji kuongeza watu zaidi kwenye timu yetu kwa ajili ya kutusaidia shughuli za kila siku. Ajira Wanahitajika watu wanne kwa ajili ya...
  13. Tatizo la Intaneti mtandao wa Airtel

    Wakuu hivi ni mimi ambae nakumbana na hili tatizo la internet kwa hawa airtel!? Maana natumia like 10 minutes mtandao unakata hadi nitoe modem then niweke tena. Na upande wa simu hivyohivyo hadi nizime data then niweke on tena. Kama kuna tatizo mbona hawatupi taarifa ili tusipoteze fedha zetu...
  14. Ujumbe kutoka Vodacom: Internet imerejea kama kawaida yaahidi kufidia mb's zilizopotea

    Huduma ya INTANETI sasa imerejea. Tunaendelea kuomba radhi kwa usumbufu ulioupata leo. Vodacom tunaahidi kufidia MB zako ulizopoteza kuanzia kesho asubuhi. Ila kwa uhalisia bado haifungui chochote bado isipokuwa Facebook tu labda.
  15. P

    Internet ya Halotel ni matatizo!

    Halotel wana matatizo makubwa na huduma yao ya internet. Ni kwamba speed ya internet hubadilika kila siku, mfano leo na jana speed ni ndogo kiasi hata google webpage huwezi ku download. Mimi nina line ya chuo na huwa najiunga na vifurushi vya mwezi lakini haisaidii. Ukipiga simu Customer Care...
  16. Scholarship internet links

    Na nyinyi jaribuni bahati zenu kwa kuomba scholarships nje.. Tanzania (Chevening Scholarship) | Chevening Tanzania - University of Liverpool Tanzania | University of South Wales Your country International Scholarships for Students from Developing Countries Tanzania Embassy Site | EDUCATION...
  17. Nchi zenye speed kali ya internet duniani

    Singapore ndio nchi yenye speed kali ya internet ina wastani wa 60.39Mbps. Taarifa hizi zilikusanya na M-Lab, ikiwa ni ushikiano wa New America's Open Technology Institute, Google Open Source Research, Princeton University's PlanetLab na wabia wengine, Kumi bora ya Nchi kumi zenye speed ni: 1...
  18. N

    Trump anataka kukata internet Iran

    USA ni mwisho wa safari they own internet .Trump amesema tukitoa internet tutawamaliza. Obama alikata internet siku moja kuwaadhibu North Korea.walitapatapa in a day.
  19. Mobile Internet Connectivity Index Ranking

    Watalia hujuma!
  20. A

    Mbona internet ya Dodoma ni Vodacom tu?

    Mimi ni mgeni Dodoma. Kwenye mitandao natumia zaidi Halotel na Tigo kutokana na unafuu wa gharama. Nilipofika hapa internet inasumbua mno kiasi kwamba siwezi kustream na kuangalia video kwenye internet, wakati mwingine hata kuingia JF natakiwa kusubiri muda kidogo. Awali nilijua simu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…