Visa vipya 28,204 vya COVID19 vimerekodiwa ndani ya saa 24 zilizopita, idadi ambayo kwa mujibu wa takwimu za Serikali ni ndogo zaidi kurekodiwa katika Taifa hilo tangu Machi 16.
Kwa ujumla, maambukizi yapatayo Milioni 32 yamerekodiwa India hadi sasa. Wizara ya Afya imesema vifo 373 vimeongezeka...