Watu 27 wamefariki dunia na wengine 12 kujeruhiwa baada ya moto kutokea katika jengo lenye ghorofa nne Jijini Delhi Nchini India, Polisi wamesema kulikuwa na watu zaidi ya 70 katika jengo hilo
Zaidi ya mashine 20 zilitumika kupambana kuuzima moto huo, ambapo watu wawili wanashikiliwa na mamlaka...