Wezi waiba daraja India

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,161
10,879
Kundi la wezi likiwa na vifaa vizito nchini India wameliiba daraja la chuma lenye uzito wa tani 550.Tukio hili limefanyika kwenye mto wa Ara Sone jimbo la Bihar .
Wezi hao walifanikisha wizi huo kwa muda wa siku tatu wakianza shughuli zao kuanzia saa moja na nusu kila siku huku wakiwa wamevaa sare za wafanyakazi wa Serikali.
Vifaa vilivyotumika kuiba daraja hilo ni pamoja na tinga tinga aina ya jcb lililochimbua nguzo na tochi za kukatika vyuma
1650107337941.png
Kabla ya wizi

1650108083359.png
 
Kundi la wezi likiwa na vifaa vizito nchini India wameliiba daraja la chuma lenye uzito wa tani 550.Tukio hili limefanyika kwenye mto wa Ara Sone jimbo la Bihar .
Wezi hao walifanikisha wizi huo kwa muda wa siku tatu wakianza shughuli zao kuanzia saa moja na nusu kila siku huku wakiwa wamevaa sare za wafanyakazi wa Serikali.
Vifaa vilivyotumika kuiba daraja hilo ni pamoja na tinga tinga aina ya jcb lililochimbua nguzo na tochi za kukatika vyuma
View attachment 2189579 Kabla ya wizi

View attachment 2189586
Wajuba wametisha
 
Hata bongo wapo juzi alimanisura waibe lile la tanzanite kama sio jeshi letu la polisi kitengo cha intelegensia kuwa makini nabimara wakashtukia jamaa wangefanikiwa
 
Huko India juzi wamegang rape kenge sembuse kuiba daraja!
India daima ni nchi ya mambo makubwa makubwa tu na ya kipekee.Wakati wa corona mpaka maafisa wa serikali walikuwa wakioga mavi ya ng'ombe. Na juzi jamaa mmoja akamtaka muajiriwa wake amletee mkewe alale naye siku moja ili ampatie uhamisho alioomba.
 
rekodi ninazozikumbuka za wizi ilikuwa ni wale waliosimamisha ndege kati kati ya uwanja kabla kuruka na kuiba pesa Nigeria, na kule Afrika kusini waliofungua ATM machine na kuondoka nayo.Hii ya kuiba daraja kwa siku tatu asubuhi mpaka muda wa kazi halafu kurudia kesho yake mpaka kazi ikaisha tena mchana bila shaka itakuwa imevunja rekodi
 
Apo kuna ishu inaendelea,Hilo Daraja limeibiwa ili watu wafanikishe Shughuli yao.Siyo kwamba wanaenda uza Skrepa.Watu wanaenda kupiga Dili alafu nyie Wakora mkija mbio mnakuta hakuna Njia.
 
Fafanua hiyo. Wanaenda wapi halafu wanarudi wapi.
 
Kundi la wezi likiwa na vifaa vizito nchini India wameliiba daraja la chuma lenye uzito wa tani 550.Tukio hili limefanyika kwenye mto wa Ara Sone jimbo la Bihar .
Wezi hao walifanikisha wizi huo kwa muda wa siku tatu wakianza shughuli zao kuanzia saa moja na nusu kila siku huku wakiwa wamevaa sare za wafanyakazi wa Serikali.
Vifaa vilivyotumika kuiba daraja hilo ni pamoja na tinga tinga aina ya jcb lililochimbua nguzo na tochi za kukatika vyuma
View attachment 2189579 Kabla ya wizi

View attachment 2189586
Aiseee
 
Fafanua hiyo. Wanaenda wapi halafu wanarudi wapi.
Wewe unafikiri watu wakeshe siku3 alafu wakauze Skrepa?Maana yangu ni kuwa hapo kuna Mchongo wa kuzuiya njia watu wasipite huku hao wezi wanajuwa nn dhamira yao.
 
Back
Top Bottom