Fikiria taifa liloweza kuendeshwa kwa miaka zaidi ya mia mbili kama demokrasia bila kuwa na katiba iliyoandikwa na bado raia wake wanaweza kupata haki zao zote, mihimili iko huru na jamii haifarakani kwa sababu ya dhulma au uhuni wa kiutawala wa kisiasa. Wanaingia mawaziri wakuu na kuondoka...
Kabla Jaji aliyekimbia kesi hajapokea maagizo mengine hebu tufanye tena tafakuri ya jambo hili..
Hivi hoja ya kuizidi Uchumi Marekani ilikuwa ni hoja iliyotokana na fikra timilifu za binadamu au zilitokana na wenyeji kumlisha mgeni maharage ya Simiyu yalioungwq na mafuta ya pamba? Au ni upepo...
Wanabodi
Niko hapa King Jada Hotel Morocco DSM: Kikao Kazi Kati ya Shirika la Nyumba la Taifa, NHC na Jukwaa la Wahariri, TEF.
Tuanze na wasilisho
WASILISHO KUHUSU UTENDAJI WA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA KWA WAHARIRI WA
VYOMBO VYA HABARI
Hamad Abdallah Hamad Mkurugenzi Mkuu Shirika la Nyumba la...
Hellow!
Kama imewezekana haraka siku hiyo hiyo kuweka ulinzi na kufunga eneo lote la kanisa la ufufuo na uzima,
Kumbe hata ununuo na mabwe pande ambapo watu hutupwa wakiwa wameuwawa au kuumiza, inawezekana kuweka ulinzi wa 24 hours Ili kuzuia Hali hiyo kuendelea kutamallaki nchini petu...
Habari Wana JamiiForums, The home of great thinkers.
Moja kwa moja niende kwenye mada. Kuna dogo yeye anasoma chuo fulani Cha diploma kozi ya diagnostic radiography cha private. Sasa kutokana na kile chuo kutokuwa na facilities za kutosha anahitaji kuhama kwenda vyuo vingine vya serikali maana...
Najua humu Kuna wajuzi wengi sana waliohudumu na wanaohudumu serikalini na maeneo mengine, in fact, wakurugenzi pia wapo humu hivyo Nina Imani hoja yangu itapata mashiko na msaada wa kutosha.
Inashangaza kuikuta shule Haina photocopy machine Wala printer. Haina meza nzuri Wala viti. Swali langu...
Baada ya kuunganisha nukta, nimepata jibu kuwa huenda Polisi hawahusiki na utekaji nchini
1. Hawahusiki kuteka lakini wanajua utekaji upo!
2. Wanajua mtoa maagizo ya utekaji hivyo hawawezi kuingilia!
3. Wengine wanaumia kwa yanayoendelea lakini hawana la kufanya isipokuwa kuwatii wakubwa!
Kupitia post na mazungumzo na Mr IQ intelligence mshana Jr The platinum nimejifunza haya hapa.
01.Waganga wanafanya KAZI kwa kumuomba Mungu, na wewe usimuombe Mungu kupitia mganga(Muombe Mungu moja kwa moja utafamikiwa)
02.Sema sana ongea sana ila Usiombe yakukute.
03.kwenye maisha Kuna...
GTs,
Heche bila matusi utaeleweka zaidi ila ukiendelea na matusi unajilaani.
Heshimu viongozi ngazi zote, waite kwa majina ya staha. Mheshimu sana rais na taasisi zake zote. Hautapungukiwa na kitu. Jijengee heshima ya kuwa na lugha ya staha. Jenga hoja zaidi.
Pia fanyeni mchakato mje na jina...
Habari ze wanaJF,
Naomba kuuliza je ukishakuwa mtumishi wa umma na una CHQ number, je inawezekana kuomba nafasi za kujitolea kwenye jeshi la ulinzi na usalama na ukachaguliwa.
Kwa story nilizoziskia ni kwamba hata ukichaguliwa baadae watakuchuja kwa sababu tayari unakuwa una CHQ number so...
Vyombo vya Ulinzi visionee aibu hawa nyang'au ambao wanajidai wanajua Kingereza huku kichwani ni empty head.
Kama jana waliweza kusafirishwa kwa Wingi kuja kisutu bila shaka watakuja sana au wanakuja sana kwenye mikutano inayoendelea.
Kamwe wasiruhusiwe kuchafua amani na kumwaga damu Tanzania.
Nimeanza kumuelewa Mama Samia kwanini Samia wa 2021-2022 ni tofauti na huyu wa 2026 jibu . Kiuhalisia Mama ni type ya watu ambao wakiwa focus ni wafanisi wazuri lakini wamezaliwa wavivu tu. Sasa wakati ule alikuwa anachukulia kazi ya Uraisi kwa umakini sana na alikuwa makini. Kuanzia 2024 uvivu...
Kuna kizazi cha vijana kinachoamka kabla ya jua kuchomoza. Hawana misururu ya sifa, wala kamera zinazofuatilia maisha yao. Lakini ndani yao, kuna moto moto wa ndoto kubwa usiozimwa na maumivu ya sasa.
- Wanavaa mavumbi ya barabara kabla jiji halijapumua.
Wanalipa nauli ambayo ni pesa ya...
Kama mnakumbuka
Kipindi cha utawala wa Rais Benjamin Mkapa (1995–2005) kilishuhudia baadhi ya matukio ya kutisha ya kisiasa na kijamii nchini Tanzania, ikiwemo Zanzibar. Mojawapo ya matukio yaliyotia doa historia ya kisiasa ya Zanzibar ni yale yaliyotokea baada ya uchaguzi wa mwaka 2000...
Mmoja wa ndugu wa karibu ana tatizo la kunywa pombe kupitiliza. Ni kama ameshakuwa mraibu wa pombe, na imemuathiri sana afya yake. Hajali kula, kipaumbele chake ni pombe, tena zile za bei rahisi vilivyo kwenye vichupa vidogo wanavyoviita "DIAMOND"
Ameshashauriwa sana bila mafanikio. Njia gani...
Hello wakuu
Najua bongo mambo yote yanawezekana.
Kuna dili nimeipata mahali,ila sharti natakiwa kuwa na cheti cha ndoa.so nimeumiza kichwa hapa nikaona nije humu niwaulize wazoefu kama kuna anaejua kama naweza kupata cheti cha ndoa nikiwa sijafunga ndoa?zaidi ningepata cheti kilichotolewa bomani...
Mara nyingi utasikia watu wanasema "mpira una lugha yake" ila wanachoshindwa kutambua ni kuwa kushindwa kuelewa lugha fulani kunaweza kukupunguzia uwezo wa kuelewa maelekezo kwa haraka na ufasaha na pia kukupunguzia confidence.
Nikiangalia wachezaji wa Simba kama Karabaka, Mashaka, Balua...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amesema siku ya uchaguzi mkuu utakaofanyika baadaye mwaka huu, chama hicho kitaitisha maandamano ya kuuzuia uchaguzi usifanyike.
Kauli hiyo ya Lissu, inajibu swali kuhusu mbinu ambayo chama hicho itaitumia kuzuia uchaguzi...
amani
barabarani
bila
chadema
heshima
inawezekana
kuelekea 2025
kuzuia
lissu
maandamano
no reforms no election
siku
tundu
tundu lissu
uchaguzi
uhalisia
uwezekano
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.