Mudawote
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 11,604
- 16,141
GTs,
Heche bila matusi utaeleweka zaidi ila ukiendelea na matusi unajilaani.
Heshimu viongozi ngazi zote, waite kwa majina ya staha. Mheshimu sana rais na taasisi zake zote. Hautapungukiwa na kitu. Jijengee heshima ya kuwa na lugha ya staha. Jenga hoja zaidi.
Pia fanyeni mchakato mje na jina lingine la hiyo NGO iliyokufa maana hiyo ni marehemu. Ifufueni kwa jina jipya.