Inawezekana tatizo la Samia ni uvivu tu !

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,750
Reaction score
15,441
Nimeanza kumuelewa Mama Samia kwanini Samia wa 2021-2022 ni tofauti na huyu wa 2026 jibu . Kiuhalisia Mama ni type ya watu ambao wakiwa focus ni wafanisi wazuri lakini wamezaliwa wavivu tu. Sasa wakati ule alikuwa anachukulia kazi ya Uraisi kwa umakini sana na alikuwa makini. Kuanzia 2024 uvivu wake ukaanza kuja baada ya kuweka uzoea kwenye kazi. Ni sawa tu na wewe kazini ufanye kazi kama nyumbani kuongea watu, umbweya …. Sasa Mama kaona anaweza kufanya lolote uhalisia wake umerudi ndiyo maana hajali kitu tena mikataba, watu kutekwa, ziara za kulazimishwa. Mnakumbuka wakati ule alikuwa anatangaza royal tour, pesa za covid kuwekeza, maridhiano sasa Mama huyu kachoka na kaingiwa na uvivu. Ameamua kula bata tu na kupiga deal sasa na siasa. Mambo yote karibu aliyofanya mazuri ya ubunifu ni 2021-2022 basi hana mradi mpya wa maana kuanzia 2023 mpaka leo. Lakini uvivu wake ndiyo sana furaha kwa wezi, makada, usalama na polisi wanapiga deal kila mahali

Hivyo tumuombe Mama apende kazi na aichukulie kazi yake serious maana mambo hayaendi vizuri
 
Huna adabu!

Urais sio Sawa na kuwa kijumbe kwenye Kikundi chenu cha vikoba!

Unaongoza watu zaidi ya Milioni 70 wenye hulka tofauti ..
Wajinga kama wewe na werevu pia!
Watu wanaofurahia vurugu na wapenda amani pia!

Wapenda carrot na wapenda stick! Kila mmoja atapewa anachostahili!

Man up and move!
 
Nimeanza kumuelewa Mama Samia kwanini Samia wa 2021-2022 ni tofauti na huyu wa 2026 jibu . Kiuhalisia Mama ni type ya watu ambao wamezaliwa wavivu tu.
haijakaa poa!
Sasa Kuanzia 2024 uvivu wake ukaanza kuja baada ya kuweka uzoea kwenye kazi ufanye kazi kama nyumbani kuongea watu, umbweya ….
haijakaa poa!
Sasa Mama huyu kachoka na kaingiwa na uvivu.
which is which?,kule juu umesema kazaliwa mvivu,hapa kachoka kaingiwa na uvivu,huo uvivu ni amezaliwa nao ama kaingiwa?。
Ameamua kula bata tu na kupiga uvivu wake ndiyo sana furaha kwa wezi, makada,
duh!
Hivyo tumuombe Mama apende kazi na aichukulie kazi yake serious
mtu umuite amezaliwa mvivu,anaweza kupenda kazi? mtu wa aina ni wa kumuomba,au atupishe?, sisi ndio waajiri wake na huu ndio mwaka wa kuomba kazi,kwanini madhaifu haya na mapungufu haya msiyatangaze hadharani ili tumfute kazi?
maana mambo hayaendi vizuri
mambo gani hayaendi vizuri?。
P,

Raisi Samia hajui ku debate Tatizo la Mama ni lazy huo ndiyo ukweli 2021-2022 alikuwa focus sasa ame relax na kuwa extra lazy
Kwanza naendelea kusisitiza Heshima kitu cha bure! Kwanini Rais Samia, japo sio lazima apendwe na wote lakini ni lazima aheshimiwe na wote? Akosolewe kwa staha na asitukanwe!
tumia terminologies za heshima,kuwa relaxed sio lazyness!,lazy ni uvivu!,Rais Samia sio mvivu,hivyo。kumuita Mama ni lazy, sio lugha ya heshima kwa mchapakazi huyu!,japo pale mwanzoni alianza kwa panic mode, hayo ni mambo ya adrenalin,hata ungekuwa wewe,kitu hukutegemea,hukutarajia,hukujiandaa,mara ghafla ni wewe!,lazima mwanzo utapanic,as days go by urais unamzoea,anakuwa more calm na relaxed,kwa vile Watanzania,sote katika umoja wetu,tumeamua 2025 tumpe kama nilivyo shauri hapa Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!

Then 2025 atakuwa amejiandaa,shell be calm,relaxed,cool and contented,tunakwenda kupata the best president atakayetuachia katiba mpya!
P
 
Nimeanza kumuelewa Mama Samia kwanini Samia wa 2021-2022 ni tofauti na huyu wa 2026 jibu . Kiuhalisia Mama ni type ya watu ambao wakiwa focus ni wafanisi wazuri lakini wamezaliwa wavivu tu. Sasa wakati ule alikuwa anachukulia kazi ya Uraisi kwa umakini sana na alikuwa makini. Kuanzia 2024 uvivu wake ukaanza kuja baada ya kuweka uzoea kwenye kazi. Ni sawa tu na wewe kazini ufanye kazi kama nyumbani kuongea watu, umbweya …. Sasa Mama kaona anaweza kufanya lolote uhalisia wake umerudi ndiyo maana hajali kitu tena mikataba, watu kutekwa, ziara za kulazimishwa. Mnakumbuka wakati ule alikuwa anatangaza royal tour, pesa za covid kuwekeza, maridhiano sasa Mama huyu kachoka na kaingiwa na uvivu. Ameamua kula bata tu na kupiga deal sasa na siasa. Mambo yote karibu aliyofanya mazuri ya ubunifu ni 2021-2022 basi hana mradi mpya wa maana kuanzia 2023 mpaka leo. Lakini uvivu wake ndiyo sana furaha kwa wezi, makada, usalama na polisi wanapiga deal kila mahali

Hivyo tumuombe Mama apende kazi na aichukulie kazi yake serious maana mambo hayaendi vizuri
Rais ni taasisi
 
Huna adabu!

Urais sio Sawa na kuwa kijumbe kwenye Kikundi chenu cha vikoba!

Unaongoza watu zaidi ya Milioni 70 wenye hulka tofauti ..
Wajinga kama wewe na werevu pia!
Watu wanaofurahia vurugu na wapenda amani pia!

Wapenda carrot na wapenda stick! Kila mmoja atapewa anachostahili!

Man up and move!

..Mrs.Hafizi sio mvivu, bali hana uwezo.

..juzi kakosea mpaka jina la Mzee Msuya wakati anatangaza msiba.

..yaani jambo alipopaswa kulitangaza bila kuandikiwa, lakini akaandikiwa ili asikosee, na bado akakosea!!

..Mrs.Hafizi is unfit for the job. Hana uwezo.
 
Nimeanza kumuelewa Mama Samia kwanini Samia wa 2021-2022 ni tofauti na huyu wa 2026 jibu . Kiuhalisia Mama ni type ya watu ambao wakiwa focus ni wafanisi wazuri lakini wamezaliwa wavivu tu. Sasa wakati ule alikuwa anachukulia kazi ya Uraisi kwa umakini sana na alikuwa makini. Kuanzia 2024 uvivu wake ukaanza kuja baada ya kuweka uzoea kwenye kazi. Ni sawa tu na wewe kazini ufanye kazi kama nyumbani kuongea watu, umbweya …. Sasa Mama kaona anaweza kufanya lolote uhalisia wake umerudi ndiyo maana hajali kitu tena mikataba, watu kutekwa, ziara za kulazimishwa. Mnakumbuka wakati ule alikuwa anatangaza royal tour, pesa za covid kuwekeza, maridhiano sasa Mama huyu kachoka na kaingiwa na uvivu. Ameamua kula bata tu na kupiga deal sasa na siasa. Mambo yote karibu aliyofanya mazuri ya ubunifu ni 2021-2022 basi hana mradi mpya wa maana kuanzia 2023 mpaka leo. Lakini uvivu wake ndiyo sana furaha kwa wezi, makada, usalama na polisi wanapiga deal kila mahali

Hivyo tumuombe Mama apende kazi na aichukulie kazi yake serious maana mambo hayaendi vizuri
no reforms no election!!
 
Ukimuombea wewe binafsi akapenda kazi inatosha! Sisi tunasema no reforms, no election!
 
Ndiyo
 
haijakaa poa!

haijakaa poa!

which is which?,kule juu umesema kazaliwa mvivu,hapa kachoka kaingiwa na uvivu,huo uvivu ni amezaliwa nao ama kaingiwa?。

duh!

mtu umuite amezaliwa mvivu,anaweza kupenda kazi? mtu wa aina ni wa kumuomba,au atupishe?, sisi ndio waajiri wake na huu ndio mwaka wa kuomba kazi,kwanini madhaifu haya na mapungufu haya msiyatangaze hadharani ili tumfute kazi?

mambo gani hayaendi vizuri?。

Kwanza naendelea kusisitiza Heshima kitu cha bure! Kwanini Rais Samia, japo sio lazima apendwe na wote lakini ni lazima aheshimiwe na wote? Akosolewe kwa staha na asitukanwe!
tumia terminologies za heshima,kuwa relaxed sio lazyness!,lazy ni uvivu!,Rais Samia sio mvivu,hivyo。kumuita Mama ni lazy, sio lugha ya heshima kwa mchapakazi huyu!,japo pale mwanzoni alianza kwa panic mode, hayo ni mambo ya adrenalin,hata ungekuwa wewe,kitu hukutegemea,hukutarajia,hukujiandaa,mara ghafla ni wewe!,lazima mwanzo utapanic,as days go by urais unamzoea,anakuwa more calm na relaxed,kwa vile Watanzania,sote katika umoja wetu,tumeamua 2025 tumpe kama nilivyo shauri hapa Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!

Then 2025 atakuwa amejiandaa,shell be calm,relaxed,cool and contented,tunakwenda kupata the best president atakayetuachia katiba mpya!
P
kwa utekaji, uumizaji huu wa raia na kuuliwa.

hivi pasko, wale wazee waliovunjwa miguu kisa kwenda mahakamani, wewe unachukulia poa tu eee?
 
Ukiweza kutuambia mama yako wewe amaifanyia nini familia yenu chenye maslahi ya nchi hii na walau amefanyia nini ukoo wake na mtaa anaoishi naweza nikajaribu kukusikiliza
 
Mama yake anakusanya kodi??
 
haijakaa poa!

haijakaa poa!

which is which?,kule juu umesema kazaliwa mvivu,hapa kachoka kaingiwa na uvivu,huo uvivu ni amezaliwa nao ama kaingiwa?。

duh!

mtu umuite amezaliwa mvivu,anaweza kupenda kazi? mtu wa aina ni wa kumuomba,au atupishe?, sisi ndio waajiri wake na huu ndio mwaka wa kuomba kazi,kwanini madhaifu haya na mapungufu haya msiyatangaze hadharani ili tumfute kazi?

mambo gani hayaendi vizuri?。

Kwanza naendelea kusisitiza Heshima kitu cha bure! Kwanini Rais Samia, japo sio lazima apendwe na wote lakini ni lazima aheshimiwe na wote? Akosolewe kwa staha na asitukanwe!
tumia terminologies za heshima,kuwa relaxed sio lazyness!,lazy ni uvivu!,Rais Samia sio mvivu,hivyo。kumuita Mama ni lazy, sio lugha ya heshima kwa mchapakazi huyu!,japo pale mwanzoni alianza kwa panic mode, hayo ni mambo ya adrenalin,hata ungekuwa wewe,kitu hukutegemea,hukutarajia,hukujiandaa,mara ghafla ni wewe!,lazima mwanzo utapanic,as days go by urais unamzoea,anakuwa more calm na relaxed,kwa vile Watanzania,sote katika umoja wetu,tumeamua 2025 tumpe kama nilivyo shauri hapa Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!

Then 2025 atakuwa amejiandaa,shell be calm,relaxed,cool and contented,tunakwenda kupata the best president atakayetuachia katiba mpya!
P

P,

Unaweza kuzaliwa mvivu lakini ukienda kazini kwasbabu ni kibarua unakaza msuli au ukilazimika hasa ukiwa mwoga unafanya kazi lakini ukianza kuzoea mazingira tabia yako ya asili ya uvivu inaanza kurudi. Yaani kuna watu wachapa kazi sana wakisimamiwa lakini lakini wakiachwa uvivu wao unajionyesha. Mama Samia 2021-2022 alikuwa mwoga wa madaraka na mchapa kazi kwasababu ya ulazima uliokuwepo lakini amerudi kwenye uhalisia wake wa uvivu ndiyo maana haya mambo yanatokea na hawezi kufuatilia. Hii kazi unatakiwa usiwe mvivu. Haya ni mawazo yangu sita remba remba
 
Ukiweza kutuambia mama yako wewe amaifanyia nini familia yenu chenye maslahi ya nchi hii na walau amefanyia nini ukoo wake na mtaa anaoishi naweza nikajaribu kukusikiliza

Mama yangu haui watu, hana machawa, haonei watu, hachukui rushwa na kuweka mikataba ya kifisadi. Mama yangu na Mama asiye mbinafsi pamoja na mzee wametusomesha na bila rushwa , dhuluma na mauaji ya yeyote tumefanikiwa kwa kiasi kikubwa kwa kumjali Mungu vilevile
 
Back
Top Bottom