inawezekana

  1. JamiiForums Tanzania Kumbe inawezekana mtu akawa kaelimika bila kufaulu mtihani wa darasani kisha utendaji ukaamua kupima kwamba aliefaulu darasani hajaelimika ?

    Mfano kuna kijana anatengeneza vifaa vya umeme kama radio na tv, ana ofisi nzuri tu inayoaminika. akitengeneza tvau radio yako inarudi katika hali yake na unaweza kuendelea kuitumia bila tatizo Huyu kijana tayari ana elimu ya umeme ila hajasoma akafaulu mtihani wowote unaohusu umeme, kama...
  2. JamiiForums Tanzania Inawezekana Millard Ayo anaingiza pesa nyingi kuliko Diamond Platnumz?

    Kulingana na vyanzo vya habari, inaonekana kuwa Diamond Platinumz ni mmoja wa wasanii matajiri zaidi nchini Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Hata hivyo, ni muhimu kuelewa kuwa Millard Ayo na Diamond Platinumz wana kazi tofauti na kuzingatia vigezo tofauti linapokuja suala la utajiri...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Serikali imfanyie uchunguzi Mwamnyeto, inawezekana ni forward au kiungo halafu anatuzuga ni beki

    Sina mengi wenyewe mmeona kwenye mechi ya Leo tarehe 23 April 2023 wakicheza Yanga na Rivers United huko Nigeria Naomba kuwasilisha
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kumbe kupiga vita mapenzi ya jinsia moja inawezekana; wapo wapi wanaume waliokuwa wanajichubua na kulegeza viungo kwenye mitandao na TV?

    Hongera vyombo vya dola Kwa kuwafikisha kwenye vyombo vya dola waliokuwa wanajibadili jinsia na kukubali kuingiliwa. Wanaume waliokuwa wanajichubua na kufanyiwa masaji walegee wamepotea mtaan, wanaume waliokuwa wanalegeza sauti kwenye jamii sasa hivi sauti lazima ikaze wasikamatwe; wanaume...
  5. JamiiForums Tanzania Astral projection mnaona inawezekana, ila mtu kwenda mbinguni na karudi haiwezekani. Rethink

    JamiiForums imevamiwa na viumbe vya ajabu kabisa, ambavyo sasa havitaki kutafuta maarifa tena, havitaki tena kusoma vinataka kuangalia videos ,za tic toc zisizo na tija wala afya kwa akili zao. Maisha ya rohoni ni mapana sana kuliko maisha ya mwilini. Wengi hatuzijui siri za rohoni, lakini tu...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana Tanzania kuwa na Maisha kama ya Libya kipindi cha Muammar Gadafi

  7. JamiiForums Tanzania Inawezekana kabisa kufuta akaunti ya Boomplay isiyo na matumizi?

    Nachokijua kuna baadhi ya social media sites na platforms zilizo na kitufe cha 'delete account' pale mtumiaji anapohitaji. Mfano social media za facebook, twitter na instagram Kuna social media nyingine ambazo hazina kitufe cha 'delete account' kama vile Jamiiforums Vipi kwa upande wa account...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana vipi walimu watatu wakafundisha wanafunzi 700 katika shule moja.

    Ukisikiliza wanasiasa unaweza kubaki Midomo wazi Shule yenye wanafunzi 700 kuwa na Walimu watatu hii maana yake walimu wanachokifanya ni kugeuka maaskari. Tu kuhakikisha wanafunzi wanalindwa ili wasiumizane na warejee majumbani kwao salama Nimeshuhudia haya maeneo mengi ya vijijini Hakuna...
  9. JamiiForums Tanzania Inawezekana kuondoa network lock kwenye iphone?

    Habari wadau, kuna simu ya iphone nataka niinunue kwa mtu kwa hela ndogo ipo network locked ila anaitumia kwa gevey sim, hivi gevey sim haina shida? Na je kama sitaki kutumia gevey inawezekana kui unlock? Asanteni sana.
  10. JamiiForums Tanzania Inawezekana vipi mtu mwenye zaidi ya miaka 35 kuumia kwasababu ya mapenzi?

    Huwa najiuliza sana hili swali. Yaani huwa nashangaa kusikia au kuona mwanamke au mwanaume mwennye miaka 35+ kulia na kuhangaika kwa sababu ya mapenzi! Ni kwamba wameruka hatua za ukuaji au ni hisia? Unajua above 35, tuna assume mtu ana watoto wakubwa ambao wameshaanza kujitambua. Na hata kama...
  11. M

    JamiiForums Tanzania CWT mpya inawezekana

    Naombeni muongozo wakuu ni pitr njia zipi, Na ndoto kuwa siku moja nije kuwa rais wa chama Cha walimu Tanzania. Bado nipo chuo mwaka wa pili nasoma bachelor of science with education. Vipaumbele takapo kuwa rahisi wa CWT apo mwaka 2040 01. Pambana nyongeza za mishahara kwa walimu. 02. Huduma za...
  12. JamiiForums Tanzania Inawezekana 4G inamaliza bundle haraka sana kuliko 3G?

    Naomba kufahamu kama opt. ya 4G inapeleka bundle kwa kasi kuliko 3G.. Maana bundle halikai kabisa. Ahsante.
  13. JamiiForums Tanzania Je, inawezekana kufanya mtihani wa ACSEE kama Private Candidate kwa mtu mwenye diploma au degree?

    Habari wana JF, Karibuni nataraji kujiunga na diploma ya computer science,nimelazimika kusoma diploma kutokana na majukumu yangu kwa sasa japokuwa form four nilifaulu vizuri tu namshukuru mola. Swali langu ni kuwa, je naweza kufanya mtihani wa ACSEE kwa baadae kama private candidate sawa...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana mtu akawa wa kwanza kwenye usaili wa kuandika wa utumishi halafu asiitwe kazini

    Kama kichwa kinavyojieleza, Nina mpwa wangu naishi naye alifanya usaili utumishi kwa kada ya sheria. Katika mtihani wake alibahatika kupata 90/100 akaibuka wa kwanza kwenye mtihani wa kuandika. Lakini cha ajabu mpaka sasa hajaitwa kazini. Tumekua nawasiwasi labda alitudanganya. Hivi...
  15. JamiiForums Tanzania Inawezekana mtumishi wa Serikali kulipwa mafao Milioni 10 baada ya miaka 39 kazini?

    Habari wakuu, Naomba niende kwenye mada, kwa wenye uelewa na hili naomba kufahamu zaidi. Ni sahihi au kuna upigaji kwenye hili? Miaka 39 kazini Serikalini. Mafao hayazidi 10Million Mshahara aliostaafia Laki 6 (miaka 7) Kabla alikuwa akilipwa 250K-450K Asante
  16. JamiiForums Tanzania Kuna baadhi ya maeneo ya nchi fulani ingekuwa inawezekana ningewashauri wauzie hata nchi jirani wagawane fedha

    Nchi nilipo sasa hivi kweli Ni kubwa lakini watu waishio huku wanapata tabu maji shida, barabara taabu, Afya shida, umeme ndo kabisa ukiwauliza habari ya matumizi ya gesi ya kupikia hawaelewi kabisaa. Jamani kuna maeneo bado loh! Picha nimekatazwa kupiga.
  17. JamiiForums Tanzania Meditation ya tendo la sex bila sex na bila masterbation inawezekana?

    Wasalaam, Hivi makamanda mnaojifanya sio watu wa shoo au kulove au kuopoa mademu mnaishije? Je nyie mnatumia meditation za ulokole au inakuwaje?, fikiria daily mnaona misambwanda, chuchu, figure kama zote, lips kali, nyonyozi kama zote. Tusaidieni na sisi tufanye meditation za hisia za kuvuta...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa kukokotoa tukitumia takwimu za sensa, TSh 30,000 kwa kaya kwa Bima ya Afya kwa Wote inawezekana

    Huduma ya afya ni haki ya msingi kwa kila mtanzania. Ni wajibu wa serikali kuweka utaratibu wa kuwezesha kila mtanzania anapata haki hii ya msingi. The Healthcare must be easily accessible and affordable to every tanzanian. Huko nyuma hadi mwaka 1998 huduma hii ilikuwa inatolewa bure na...
  19. JamiiForums Tanzania Inawezekana msimu huu wa sikukuu ndio 'High season' kwa makampuni na wauzaji wa Beer

    Salamu wakuu. Mambo yasiwe mengi, nipo sehemu napata kilaji huku nikicheki mechi ya Yanga na Azam live. Ee bwana meza zimechafuka beer kila pande watu wanamwagilia moyo ndipo wazo likaja inawezekana hawa jamaa msimu huu ndio huwa wana sales kubwa kuliko miezi yote. Uzi tayari.
  20. JamiiForums Tanzania Inawezekana kweli Barbara Gonzalez ni tatizo Simba

    NIMEONA na kusikia kelele nyingi mitandaoni kuhusu Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez. Inasemekana amekuwa shida pale Simba. Inasemekana. Nimeona baadhi ya watu wakisema kuwa Barbara amekuwa akikwamisha baadhi ya vitu pale Simba. Tena wanaosema, wanaongea kwa kujiamini kweli. Ni ngumu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…