inawezekana

  1. JamiiForums Tanzania Inawezekana kufuata mafundisho ya Yesu Kristo na kuwa Mkristo katika dunia ya sisia?

    Mafundisho makuu ya Yesu Kristo ni Upendo. 1. Kuwapenda jirani kama unavyojipenda mwenyewe 2. Kuwapenda na kuwaombea maadui zako. 3. Ukipigwa shavu moja ugeuze na lingine 4. Kusamehe saba mara sabini 5. Kutopenda kujikusanyia mali/ kuwa tajiri bali kusaidia masikini na wahitaji. Haya...
  2. JamiiForums Tanzania Uwezekano wa Rais aliye madarakani kuwa shahidi mahakamani ukoje kisheria?

    Lissu kuwaita mashahidi mahakamani akiwemo Rais wa nchi imekaaje kisheria ? Kuna kizuizi chochote cha Sheria kuzia rais aliye madarakani kuwa shahidi katika kesi iliyo mahakamani? Shahidi anaweza kutuma mtu kumuwakilisha kwa niaba yake mahakamani?
  3. JamiiForums Tanzania Kisheria inawezekana kukataa kurithishwa mali za wazazi?

    Wana jamvi kwema? Kama inawezekana kukataa kuandikwa kama mrithi wa baadae wa wazazi naombeni utaratibu wa kisheria ili kukamilisha jambo hilo. Mmiliki bado yupo hai ...lakini nahitaji kujitoa ktk makaratasi ambayo namimi nimeandikwa kama mrithi wa baadae wa wazazi.. Sitaki chochote
  4. JamiiForums Tanzania Kumbe inawezekana kujenga barabara kutoka Zanzibar kuja Tanzania Bara?

    Baada ya kuangalia ramani inayoonesha kina cha bahari, nimegundua ya kwamba kuna eneo la magharibi ya Zanzibar ambalo lina mwambatano wa kina kifupi sana cha bahari na visiwa vidogo vidogo ambavyo inanipa ishara kwamba huko mbeleni miaka ijayo inaweza kufanyika land reclamation ya kujaza vifusi...
  5. JamiiForums Tanzania Mbinguni ni wapi? Inawezekana bado Yesu anapaa na hajafika mbinguni

    Mbinguni ni dimension nyingine ambayo imetuzunguka hapa hapa kwenye mazingira yetu au ni eneo fulani kwenye ulimwengu au galaxy yetu. Kama ni dimension nyingine basi hakuna habari ya kupaa, ni kitendo cha kuingia humo na kutoka. Kama ni sehemu fulani kwenye huu ulimwengu basi kuna uwezekano...
  6. JamiiForums Tanzania Ni vigumu kuenjoy maisha bila mwanamke, inawezekana lakini ni vigumu

    Kikawaida wanawake wanatuumiza wanatupitisha kwenye changamoto nyingi hadi tunajuta, ila ni ngumu kuenjoy maisha bila wao. Cc: Mallerina Binti wa zamani secretarybird Eli Cohen
  7. JamiiForums Tanzania Inawezekana mwanaume akuumize binti mrembo kama wewe😏

    hii kauli imeharibu mahusiano ya wanawake wengi na kuwatoa kabisa kwenye ramani..
  8. JamiiForums Tanzania Ukweli lazima usemwe Samia sio mbaya kiivyo na inawezekana hata October 29 yeye sio muhusika mkuu kwasababu yuko front page

    Mnaweza kusema nimenunuliwa lakini hapana ukiangalia clips za Polepole kwa umakani sana unakuja kungundua Samia sio mbaya kiivyo sema walioko nyuma yake ndo tatizo. Yeye mwenyewe aliwahi kukili kwamba ana boss wake kama sijakosea ilikua kwa Mwamposa uzinduzi wa kanisa lake...
  9. JamiiForums Tanzania Ukweli lazima usemwe Samia sio mbaya kiivyo na inawezekana hata October 29 yeye sio muhusika mkuu kwasababu yuko front page

    Mnaweza kusema nimenunuliwa lakini hapana ukiangalia clips za Polepole kwa umakani sana unakuja kungundua Samia sio mbaya kiivyo sema walioko nyuma yake ndo tatizo. Yeye mwenyewe aliwahi kukili kwamba ana boss wake kama sijakosea ilikua kwa Mwamposa uzinduzi wa kanisa lake...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi humu JamiiForums inawezekana kuipata namba ya simu bila ya mhusika kutoa?

    Husika kichwa cha habari hajuu nataka kujua je inaweza kupata namba ya simu ya Mchangiaji yoyote humu bila yeye kukupa? Kwasababu humu kuna watu aina mbalimbali wanafatilia Coment za kuisema Serikali, kuna namba inanipigia simu bahati mbaya nakua sipo karibu na simu na niki jaribu kuipgia...
  11. JamiiForums Tanzania Hawa wahuni wamenipiga au ni real? Gari iingie Nchini 2013 mpaka leo iwe na km 150,000 tu. Inawezekana?

    Nikicheck Odo sasa hivi ndo nawaza kuwa hawa wahuni huenda kuna mchezo wamenichezea. Wabongo si watu wa kuaminika. Wakongwe na wazoefu nipeni experience katika hili. Ilikuja bongo kwa ajili ya mradi maalumu then ikawa ya mtú na sasa kavuta. Mtoto hawezi kuiendesha /kuigharamia Thanks
  12. JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana Tanzania kuingia mikataba ya 'Visa-Free' na nchi zilizoendelea kama Japan? nini athari zake?

    Wana-JF salamu, Nimekuwa nikitafakari kuhusu diplomasia yetu ya kimataifa na nguvu ya pasipoti yetu. Swali langu kuu ni: Je, nchi mbili zinaweza kukubaliana kufuta kabisa masharti ya Visa (Bilateral Visa Waiver Agreement) ili wananchi wake watembee kwa uhuru? Kwa mfano, ikitokea Tanzania na...
  13. JamiiForums Tanzania Je inawezekana mwalimu mwenye Degree kuhama kutoka halmashauri(shuleni) kwenda NECTA, TIE, NACTVET etc....?

    Hello, I hope mko poa. Mie ni mwalimu wa masomo ya Sayansi nafundisha shule moja ya Secondary hapa mkoani. Nimeajiliwa na serikali, 2 years ago. Sasa katika kutafuta changamoto mpya, nimekuwa nikiona matangazo ya kazi uko ajira portal, lakini nkitaka kuomba mfumo unakataa Kwa sababu Nina...
  14. JamiiForums Tanzania Inawezekana mtuhumiwa kutoroka kituo cha polisi?

    Naitwa Batuli Selemani Kiberenge, Mwalimu wa shule ya sekondari Mirijo na mkazi wa kijiji cha Mrijo wilaya ya Chemba. Mnamo tarehe 2 Julai 2026 binti yangu mwenye umri wa miaka 8 (jina nalihifadhi ili kulinda faragha yake), mwanafunzi wa darasa la 4 shule ya msingi Sanzawa, alitekwa na kisha...
  15. JamiiForums Tanzania Kijana wa Miaka 25 Kuwa Baba wa Kambo wa Mtu wa Miaka 36, Inawezekana Kweli?

    “Mimi ni mvulana wa miaka 25, nina mapenzi na mwanamke wa miaka 55. Tunakaa pamoja na mtoto wake wa kiume mwenye umri wa miaka 36 na mvulana huyu haniheshimu kama baba yake wa kambo. Najaribu kumuelimisha kuhusu maisha lakini hasikii. Tafadhali nisaidie,nifanye nini?” Huyu ni kijana anaomba...
  16. JamiiForums Tanzania My CIDP Experience: Hivi ulishaumwa hadi ukaogopa kulala sababu unaweza pitiliza moja kwa moja usiamke?

    PART 1: Hello bosses and roses.... Leo nimejaribu kuingia jamiiforum bila VPN na ikakubali, hongera sana kwa boss kubwa Maxence Melo na team yote ya JF, nina muda sana sijaandika makala humu, naomba niandike makala hii labda itawasaidia baadhi ya watu Daah, maisha haya ni fumbo sana. Ni...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa kurejelea Biblia na Quran Tukufu, inawezekana kwa shetani kupitia uganga na uchawi kumpa mtu ugonjwa na akaugua hata kufa?

    Kulingana na imani za kidini, hasa kwa kurejelea Biblia Takatifu na Qur'ani Tukufu, jibu la msingi ni kwamba shetani anaweza kutumia uganga na uchawi kusababisha magonjwa au madhara, lakini hawezi kufanya hivyo kwa mamlaka yake mwenyewe—lazima kuwe na ruhusa au makadirio ya Mungu. Katika vitabu...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana Mtu kuhama taasisi?

    Wakuu kuna mtu kaniuliza sina majibu kamili.et Mtumishi anaweza kuhama taasisi kwenda nyingine?mfano kutoka TPA kwenda TRA lkn career moja na position zinafanana
  19. JamiiForums Tanzania Inawezekana kubalance kazi na maisha binafsi kwenye dunia ya sasa?

    Katika maisha ya sasa, watu wengi wamejikuta wakitumia muda mwingi kwenye kazi, biashara, au internet kiasi cha kusahau afya zao, familia, mahusiano, na muda wa kupumzika. Wengine wana pesa lakini hawana peace of mind, huku wengine wakichoka mentally kutokana na pressure za maisha ya kila siku...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kujenga nyumba ya vyuma kwa kipato Cha 800k?!!

    Habarini wadau. Kutokana na udogo wa kipato na changamoto ya kutopatikana kwa miti ya maana ya kupaulia, napata wazo kichwani la kujenga na kupaua kwa kutumia vyuma. Sijajua gharama yake ila hiyo ndo ndoto niliyonayo......nahisi hilo litakuwa nafuu huko mbele (kwa maana nitatulia muda mrefu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…