inaitwaje

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lexus SUV

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kitaalamu hii inaitwaje?

    Week end njema .🤯🤯🤯🤯🤯😆😆😆😆😆😆😆😆
  2. Kizibo

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba msaada. Benzoin kwa kiswahili inaitwaje?

    Wakuu, naomba kwa anayejua anisaidie. Benzoin kwa kiswahili inaitwaje? Inapatikana wapi au mazingira au maduka gani kwa hapa Tanzania? asanteni sana.
  3. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Hii hali wadau ndio inaitwaje kitaalamu?

    Mko poa? Iko hivi . Huwa najisikia amani sana nikikabeba katoto kachanga. Au nisikie kile kisauti cha kulia cha mtoto mchanga. Huwa najisikia raha na amani fulani hivi moyoni. Hii wadau mmewahi ku experience au ndio dalili za kuitwa baba?.. Na Dem hata sina .
  4. kadiri kasimba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii kitaalam inaitwaje wakuu?

  5. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Saa ya Kikwete (PHILIP STEIN) inauzwa bei gani?

  6. Principle girl

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kitaalamu hii inaitwaje?

    Unamdai mtu pesa yako ulimkopesha mwezi umepita hajalipa anatoa tu ahadi cha ajabu anakuja tena kujieleza shida anataka umkope tena pesa.
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Aina hii ya Nidhamu mbovu na ya Kishamba ya Mashabiki wa Yanga SC kuwa nje Uwanja wa Taifa huku Waziri Kabudi akiwa na Kikao Kizito inaitwaje?

    Na wenye Akili tunajua tu kuwa ni Injinia Hersi (Rais wa Yanga SC) ndiyo Kawaleta hapo kwa Makusudi na Kimkakati zaidi.
  8. Labani og

    JamiiForums Tanzania Pamba yaahidiwa 100million na GSM kama itaifunga Yanga

    [emoji599] Taarifa kutoka jijini Mwanza; Mdhamini Mkuu wa Pamba Jiji, GSM ametoa ahadi ya kitita cha Sh milioni 100 kama hamasa kwa wachezaji wa Pamba kuibuka na ushindi dhidi ya Yanga hapo kesho kutwa Ijumaa. Sasa endeleeni kusema Yanga inapitia kwenye slope.....wakati wapinzani wake wanapewa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo kuanza makato upya baada ya Miaka minne kumaliza deni!

    Nimeshanganzwa na makato mapya toka bodi ya mikopo kwa mshahara uliopita na Kwa watu wengi tu wamekatwa ambao walishalipa tayari sijui tukapewa na certificate of nini ?. Nolipojaribu kuwasiliana nao majibu yao wanasema hiyo ni retention fee hili limenishangaza sana na nimewapa statement ya...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Hivi mtu kujidai haamini uwepo wa Mungu, halafu hapo hapo anaamini dini flani, hii inaitwaje?

    Jamaa mmoja hivi anapinga sana uwepo wa Mungu, Mishipa inamsimama kudai Mungu hayupo, na anatoa hoja za kifedhuli kweli kweli, Sasa leo ushahidi wa mazingira umeonesha kwamba jamaa ni mkiristo tena ana hasira Kweli kweli kutajwa vibaya wakristo,huyu tumuweke kundi gani?
  11. Magical power

    JamiiForums Tanzania Hii inaitwaje kitaalamu 😁

    Hii inaitwaje kitaalamu 😁
  12. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye tuta: Naomba Kujua software inayotumika kuingiza maneno ( KUTAFSIRI) video iliyo kwenye lugha nyingine inaitwaje?!

    Kichwa Cha habari hapo wakuu kinajieleza nataka Kujua Hawa wakina Mpemba og, side kama side Huwa wanatumia software gani kuingiza maneno Yao ?!? Nawasilisha swali na kama hujui kama Mimi Kaa kimya .
  13. Yoda

    JamiiForums Tanzania Dola(katika siasa) kwa tafsiri ya Kiswahili ni nini? Kwa Kingereza "dola" inaitwaje?

    Hili neno huwa nasikia linatamkwa tu ila sijawahi kuelewa maana yake kwa Kiswahili au Kingereza, Dola ya Kirumi Dola ya Kimarekani Vyombo vya dola Kushika dola Kingereza cha "dola" ni nini?
  14. Mtu porii

    JamiiForums Tanzania hii app inaitwaje

    hii app inaitwaje wadau msaada
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Hii Staili ya vazi aliyovaa jamaa inaitwaje?

  16. Akili ya kubeti

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua hii nyimbo inaitwaje anisaidie

  17. Kilimbatzz

    JamiiForums Tanzania Ile amapiano inayopigwa kwenye hili Tangazo la jezi za Yanga inaitwaje!?

  18. Maya Goodlett

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya Inaitwaje kwa KABILA LAKO

    HAPA KAZI TU NA KAZI IENDELEE HATUTAKI KUFA TUTAMPATAJE!? MCHEZO TUNAUPENDA LAANA ZA KUJIAJIRI WAPO 2 KAMA MILIONI 677... TUTAMPATAJE TUMUANDAE (Katiba Mpya Inaitwaje kwa KABILA LAKO MAANA LABDA IPO SIKU WATU WAKO NDIO WANATAKIWA WAELEWE) Waakie Waakiek Waalagwa (pia: Wasi) Waarusha Waassa...
  19. Forest Hill

    JamiiForums Tanzania Wakongwe wa Rap Bongo anayekumbuka nyimbo hii inaitwaje anisaidie jina niitafute

    Habari zenu wakuu, Kuna nyimbo nakumbuka mistari yake na kisa chake, sauti ya Saigon pia IPO kwenye hiyo ngoma,kisa cha nyimbo ni washikaji maisha magumu hawana pesa za mavazi wala maradhi, wanapanga wakavamie nyumbani kwa muhindi tajiri wachukue pesa wamalize shida zao,,katika mpango wao...
  20. ommytk

    JamiiForums Tanzania Hivi ile hela mwanaume anayompaga mwanamke baada ya tendo inaitwaje?

    Habari za leo wadau ebu kwa wataalam na wahenga naomba ebu tujuzane kuhusu ili jambo maana kila mtu na ujuzi wake na je unaweza kutoa kwa mkeo ndani na kwanini mke apewi hii hela baada ya tendo
Back
Top Bottom