mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 7,157
- 20,650
Mko poa?
Iko hivi . Huwa najisikia amani sana nikikabeba katoto kachanga. Au nisikie kile kisauti cha kulia cha mtoto mchanga. Huwa najisikia raha na amani fulani hivi moyoni. Hii wadau mmewahi ku experience au ndio dalili za kuitwa baba?..
Na Dem hata sina .