inaitwaje

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Dawa ya kupambana na ukungu na chumvi kwenye ukuta inaitwaje?

    Wadau, Nyumba nyingi zinathriwa na kuta kubanduka sbb ya chumvi na fungus. Nasigia kunadawa ya kupaka kabla ya kupiga rangi. Je, ni dawa ipi hiyo? Je, mikoani kama inapatikana? Tupeane ushauri.
  2. Red Giant

    Sehemu ya maji iliyoingia nchi kavu Dar, pale unavuka na feri au daraja la Kigamboni inaitwaje kwa Kiswahili?

    Eti wandugu sehemu kama ile kwa kiswahili inaitwaje?
  3. Reginald L. Ishala

    Hii season inaitwaje?

    Samahani, WanaJF! Naomba mwenye kujua jina la season moja ya kizungu anikumbushe, Ilikuwa hivi, Walitekwa wanafunzi ambao ni watoto wa mawaziri, rais, makamu wa rais na viongozi wengine ndani ya serikali. Gari za escort za kuwapeleka watoto na kuwarudisha nyumbani toka shuleni zilitekwa baada...
  4. Bechede

    Msaada, hii movie inaitwaje?

    Kwema wakuu? Nisiwachoshe, niende kwenye kiini cha uzi. Hii movie ina nadharia ya comedy, nilipata kuiona katika moja ya channel DSTV. Lakini sikubahatika kuimalizia mpaka mwisho. Inaanza watu wanaenda kwenye house party, sasa kuna vijana nafikiri wawili (sina uhakika), wanawahi kufika kwenye...
  5. Ruyama

    Msaada hii movie ya Suniel Shetty inaitwaje?

    Movie inaanza Sunil Shet anaishi na mama yake hawana pesa ikabidi Sunil Shet amuage mama yake, kisha akaenda kumuaga girlfriend wake ambaye kwao ni matajiri. Baada ya miaka kadhaa wazazi wa demu wa Sunil Shet waka mpa binti yao Akshay Kumar amuoe binti alikuwa hana sauti juu ya wazazi wake...
Back
Top Bottom