Wakongwe wa Rap Bongo anayekumbuka nyimbo hii inaitwaje anisaidie jina niitafute

Forest Hill

JF-Expert Member
Mar 4, 2018
1,866
3,527
Habari zenu wakuu,

Kuna nyimbo nakumbuka mistari yake na kisa chake, sauti ya Saigon pia IPO kwenye hiyo ngoma,kisa cha nyimbo ni washikaji maisha magumu hawana pesa za mavazi wala maradhi, wanapanga wakavamie nyumbani kwa muhindi tajiri wachukue pesa wamalize shida zao,,katika mpango wao wanamshirikisha mlinzi wa muhindi(kibaraka bora).. Jamaa anakataa kufanya mchongo...anae kumbuka jina la wimbo Tafadhali
 
Back
Top Bottom