imekaaje

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mzee wa kusawazisha

    JamiiForums Tanzania Dalali anataka nimpe elf 10tsh hii imekaaje

    Kuna jamaa nilikua namuuliza vyumba ili nipate sehemu ya kupanga sasa kanionesha sehem lakini saiv tupo hapa anasema tumalizane yani posho yake. Nimebaki nimeduaa mbona anataka nyingi afu cha ajabu nauli nimemlipia mimi ya kuja uku. Dah.
  2. Mr Lukwaro

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mtu akikamatwa Ijumaa anapata dhamana Jumatatu? Hii imekaaje wasomi?

    Hivi dhamana si haki ya kikatiba? Why Police officer on duty denied to bail person presumed innocent ? Hii imekaaje, Wasomi reasoning ya kwamba ni weekend ina mashiko kweli?
  3. Sonko Bibo

    JamiiForums Tanzania Wanawake na wanasaikolojia mtuelezee hii imekaaje

    Huwa ina maana gani pale mwanamke anapolinganisha mkono wake na uume wakati wa faragha husuani baada ya tendo? Hebu mje hapa wadadisi na wajuvi wa hivi vijimambo, tuliopo gizani ni wengi na tunataka tujuzwe juu ya hili.
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Yanga SC jana waliingia uwanjani na wachezaji wa nne kwenye basi lao lakini timu nzima ikaingia na coaster, kitaalamu imekaaje?

    Katika mchezo wa jana wa ngao ya jamii kati ya Yanga SC na Simba SC wakati timu zote zina wasili uwanjani. Yanga waliwasili na Wachezaji wa nne pekee kwenye basi lao kubwa na wachezaji wengine na benchi la ufundi waliwasili na costa. Wanasoka kitaalamu imekaaje hii?
  5. G

    JamiiForums Tanzania Hii imenifanya nitumie muda mwingi kujitizama kwenye kioo! Naweza kumtenga?

    💕💕💕
  6. mdesi

    JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya Ajira hii imekaaje?

    Wanajukwaa salaam! Kilicho nisukuma kuandika uzi huu ni baada ya kushuhudia vijana wengi wakikata tamaa na kujutia maamuzi yao ya kujiendeleza kielimu kwa kukosa haki za kuajiriwa serikalini. Kama tujuavyo, nafasi za kazi zote za serikali hutangazwa na huombwa kupitia mfumo wa sekretarieti ya...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Eti hii imekaaje

    Kuna mgonjwa akila chakula anapata maumivu kifuani usawa wa kwenye moyo anasema anasikia kama vile Kuna mtu anamchoma na misumari kwenye moyo na pumzi inakata kama vile mtu anaekata roho Kwa dk kama tano alafu anapata nafuu... hospital wamepima Kila kitu ikiwemo afya ya moyo lkn hakuna tatizo
  8. nipo online

    JamiiForums Tanzania Ndani ya nyumba nani anapaswa kujishusha?

    Inapotokea snario za kutoelewana ndani ya nyumba nani anapaswa kujishusha? Hapo awali nilikua hivyo lakini nikaona napelekeshwa kama gari bovu. Karibuni.
  9. F

    JamiiForums Tanzania Mchepuko wa kiume unaombaomba sana pesa hii imekaaje?

    Hivi inakuwaje mwanaume mzima kutwa kulialia kwa mwanamke...hii imekaaje wadau kuna mapenzi kweli hapa au mwanaume anataka kamserereko? Mawazo yenu ni muhimu
  10. SUBMAC

    JamiiForums Tanzania Itifaki hii ya bendera imekaaje?

    Habarini! Kama tujuavyo, Rais Samia yumo nchini Korea ya Kusini akiendelea na ziara take ya kikazi. Suala moja nimeshindwa kuling’amua kiasi cha kuhitaji msaada wa ufafanuzi na kueleweshwa kuhusu protokali ya bendera ya nchi pindi Rais wetu awapo ziarani katika nchi nyingine. Nimekuwa nikiona...
  11. Candela

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje wadau wa tra

    Kuna gari inauzwa for 54,000+ USD lakini ukiangalia kikokotooo cha TRA wameandika CIF yake ni 33,744.72 USD. Swali langu ni kuwa ukiinunua kwa hiyo bei ya sokoni watatumia kikokotoo chao au watakula na wewe kwenye price yako. na wenye uzoefu mnafanyaje kuagiza cars bila kuathiri utaratibu wa...
  12. covid 19

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje wakuu? Yaani unakutana na demu faragha ila ili umwage unaanza kumfikiria demu mwingine

    Imeshanitokea mara nyingi hii kitu na inapeleka mahusiano yangu mengi nayavunjika sana. Yaani upo na mwenzako faragha ila ili ufike mshindo unaanza kufumba macho na kuvuta hisia ya demu mwingine mimi sielewi. Kuna mademu hawana stim jamani ni bure kabisa.
  13. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Zanzibar kuwa na Ardhi inayomiliki Tanganyika imekaaje kisheria!?

    Nimemsikiliza Charles Hilary Msemaji wa serikali ya Zanzibar akisema kuwa Serikali hiyo inamiliki Ardhi huko Makurunge Bagamoyo. Hii kisheria imekaaje watanganyika wenzangu.
  14. J

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Dini anayetakiwa kuwa Mfano kujihusisha na Biashara ya Watumwa hii imekaaje?

    Wote tunajua madhara tuliyopata kutokana na Biashara ya Utumwa; Tena ambayo ilituwrka sisi waafrika kama bidhaa ya chini kabisa ya Watumwa. Naomba mtu anionyeshe andiko linaloonyesha Yesu kujihusisha na Biashara ya Watumwa. Vinginevyo Mwamba hapa anayeusumbua Ulimwengu kwa vita zote zinazotokea...
  15. vadrick

    JamiiForums Tanzania Serikali za Mitaa kukagua leseni imekaaje?

    Hivi ili suala la Serikali za Mitaa kukagua leseni na kulazimisha watu kutoa hela kama hauna leseni ipoje wakuu?
  16. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kuna uhuni Mkubwa, Dawa ya kumsaidia mtu kuacha kupiga Punyeto? imekaaje?

    Wale jamaa wanaojichukulia sheria mkononi, wanaopenda kucheza Pool. wanaopiga punyeto. kuna dawa eti inazuia mtu asifanye hilo jambo. maswali yangu 1. Punyeto ni ugonjwa gani? 2. Nini kinasababisha mtu aoige punyeto? 3. Inaenda kutibu nini hiyo dawa? Kuna wauzaji wa dawa hizi za supplement wana...
  17. Not_James_bond

    JamiiForums Tanzania Issue ya 3D number plates kukatazwa imekaaje?

    Binafsi sioni base ambayo polisi wanatumia kukataza 3D number plates. Kama nilisikiliza vizuri yule kamanda wa polisi aliekua anatoa maelezo alisema kwamba watengenezaji wa hizi number plate walipeleka maombi ya kuzitengeneza legaly ila walikataliwa specificaly sion base ya haya makatazo🤔 Nchi...
  18. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Mtu kukopa pesa mtandaoni na kukuweka kama mdhamini bila ridhaa yako ni sawa?

    1) Mtu anakopa pesa mtandano kisha anaandika namba yako kama mtu wake wa karibu bila ridhaa yako 2) Anaposhindwa kulipa, wale waliomkopesha wanaanza kukupigia simu eti uwasaidie kumfikishia taarifa kwamba alipe deni 3) Baada ya hapo anaposhindwa kulipa deni, eti wanatishia kukuchukulia hatua z...
  19. luangalila

    JamiiForums Tanzania Imekaaje kampuni ya kutoa huduma ya mawasiliano kutokuwa na kitengo cha huduma kwa wateja?

    Naona Vodacom wame amua kutoa huduma za customer service za moja kwa moja yaan namba 100. Na TCRA wapo kimyaaa, jamaa nawapigia kuwapa taarifa wafunge namba yangu imeibiwa usiku huu ila ajabu ukipiga simu namba 100 kuna option 2 tu ni either uchague 1 au 2 na zote izo hupati nafasi ya kiongea...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Hii ya Tanzania Kupeleka wanajeshi Congo imekaaje!?

    Habari zinaonyesha Tanzania tunapeleka wanajeshi Congo kwa mwamvuli wa SADC. Na kama tujuavyo wanajeshi watanzania pekee ndio huwa kwenye wakati mgumu kwani hupangiwa sehemu korofi hasa njia za kupita waasi huku wengine wakijipangia sehemu zenye wingi wa madini na kuishia kutajirisha nchi zao...
Back
Top Bottom