Hivi hii imekaaje kitaalamu wadau

Elon J

JF-Expert Member
Sep 30, 2022
630
1,846
Nimekaa nikakumbuka wakati nikiwa chuo Kuna mdada nilitokea kumuelewa Sana.

Picha linaaza hivi huyu mdada tulisoma wote advance but wakati tukiwa advance sikumconsider sana means tulikuwa tunaonana juujuu tu.

Baada ya kumaliza advance kumbe nae alichagua chuo ambacho na Mimi nipo but pia course Moja.

So tulivyoinana chuo tukawa mabest sana ukinzingatia tulikuwa course Moja hivyo tukawa tunashirikiana sana hata kwenye masomo yaani tukawa ni zaid ya mabest.

Kwa upande wa pili pia nilikuwa nimemuelewa sana huyu binti coz alikuwa toto la kwenda😋 bas bwana Mzee nikaaza kurusha nyavu zangu, mtoto akagoma katakata kwamba Mimi ananichukulia kama kaka yake na hataki kuingia kwenye mapenz saiv, na wala hakutegemea kama ntamwambia huo ujinga😥

Duu aisee nikawa mdogo kama Panadol, nikaacha yanipite. Daaa! end of the day kunamshikaji akaaza kudate nae huyu binti na kibaya zaid nikatambulishwa kabisa (Shem) basi bwana ikabidi nikaze moyo mambo yaende.

Urafiki na ushirikiano wetu wetu kwenye masomo uliendelea kama kawaida. Sasa bwana na Mimi nikaja kumpata Binti pale chuo (pisi ya kwenda). Sasa huyu my best ambaye alinitolea nje akaaza kunichukia kinyama yaani kiasi kwamba alikuwa akiniona na yule Binti hanisalimii kabsa anakunja ndita kwelikweli.

Kuna muda ulifika simu zangu akawa hapokei wala message hajibu tena😳 end the day mpaka tukaaza kupishana tu kama watu ambao hatujuani yaani.

So Ile hali me sikuipenda ikabidi nimfate direct coz hata kwenye simu alikuwa kashaniblock🤣, nikamvuta chemba nikaaza kumuuliza shida ni nini mbona tumechukiana gafla saivi hamna cha salamu wala nini, akaniambia badaye ntakutafuta huyo akaondoka.

Sasa kilicho kuja kunishangaza zaidi sijui alipataga wapi number ya yule Binti (Dem wang) akaanza kunichafua Kwa yule demu kwa kumtext😡

Aisee niliumia mno. Sasa nikaaza kujiuliza maswali kichwani kwanini huyu my best alichukia Mimi kuingia kwenye relationship wakati yeye alinitolea nje na pia yeye alipata mshikaji Mimi sikumfanyia vile.

Wataalamu hivi hii imekaaje.?
 
Vijn wa sikuhiz ASEE

Yaan huyo nikuita nakutombaa tuu kesi imeisha unalia Lia nn
 
Vijn wa sikuhiz ASEE

Yaan huyo nikuita nakutombaa tuu kesi imeisha unalia Lia nn
Utamgongaje mtu kakuchukia, kakublock kila sehem hataki interaction na ww tena.
 
Aliona wewe ni poyoyo maana hujui hata kuandika akaamua akukomeshe.

Jifunze kwanza irabu na silabi ndo utampata.
We kichwa kibovu kweli, ujuaji mwingiiii nioneshe sehem yenye makosa ya irabu na silabi.
 
Mtafute, mpe kerebu mbili tatu, mwambie asikuzoee kiduanzi
 
Back
Top Bottom