imekaaje

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Samia infrastructure bond 12% imekaaje?

    Naomba kuelewa wadau 👉.12% ni kiasi gani uwekezaji huo unaanzia kwa mwananchi yoyote 👉.je Baada ya Samia kutoka madarakani huu mfuko wa uwekezaji utaendelea? 👉.Faida zake ni zipi na hasara zake ni zipi? Naomba kupata elimu juu ya hiki kitu tafadhali?
  2. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Wakuu hii imekaaje darasa la kwanza masomo nane?

    Wakuu hawa watoto wetu si watavunjwa mabega dogo ameanza shule leo darasa la kwanza masomo nane. Yaani madafutari 8+ vitabu 8 jumla kumi na sita vyote anatakiwa avibebe kwenye bag, dogo ana miaka mitano tu aiseeh atameza haya masomo yote. Math English Kiswahili Drawing Reading Sport &art Heath...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Wanawake Wengi Hawataki kutumia Uzazi wa Mpango ila wanapenda Kugegeduana Pekupeku, Kibaya hawataki mimba au Kuzaa;Hii imekaaje?

    Unajua kuna principle moja kwenye moja ya physchosocial model inasema "we are the product of our decision". Turudi kwenye mada, wanawake wa kisasa ukiwa naye wanapenda kugegeduana pekupeku, yaani wanapenda kuisikilizia skin to skin vibaya sana, ila likija suala la kumshauri kutumia uzazi wa...
  4. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje ni mtazamo au?

    Unakuta MTU Fulani Mashuhuri amefariki watu wanahangaika kupost Huko WhatsApp as if marehemu anaona. Taarifa ni Worldwide recognized na wewe una post eti RIP kwani mbona ndugu zenu wakifa hampost kama wakifa watu popular? Mtazamo tu
  5. C

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje kwa namba za usajili wa magari?

    Kwa muda Sasa nimekuwa nikifuatilia kwa makini namba za usajili wa magari, Kuna kitu nimekiona sijakielewa. Nimeona nikilete hapa jamvini nipate msasa kidogo. Ni kuhusu zile herufi zinazoambatana na tarakimu katika namba za magari. Katika hizo herufi ni herufi mbili tu ndiyo sijawahi kuziona...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Hii logo ya CAF huwa wana download mtandaoni na kuweka kwenye jezi au kuna taratibu wanazifata kupatiwa?

    Kwamba wakiwa kwenye mchakato hiyo logo wanadownload mtandaoni tu, ama protocal zinakuwaje?
  7. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje, Polisi kuvaa fulana za ACT Wazalendo ?

    Wakuu nimecheka kwa uchungu sana, nipo hapa Manispaa ya Kinondoni, Katika kufuatilia majina ya Wagombea wa Chama changu. Lakini cha kushangaza Mapolisi walikuwa wamevaa fulana za ACT Wazalendo halafu wanajifanya ni Wanachama wa Chama cha ACT Wazalendo wakiwatuliza Wanachama wa CHADEMA eti...
  8. Meta AI

    JamiiForums Tanzania Nimeiba ama ndo zali la mentali

    Siku iko aje.... Kama kawaida jana jumapili nlitoka katika moja ya bar ya akina sisi wa hali ya kati nikiwa niko tungi kiasi. Kwa vile muda uliyoyoma nikaona nisepe mapema nikapumzike ile niupe mwili nafasi ya kujiandaa na majukumu ya kesho (ambayo ni leo). Kwa vile nliishiwa cash nikaona...
  9. hmaloh

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu kisheria hii imekaaje?

    Habarini ndugu zangu wapendwa wanajamvi, Naomba kufahamu ikiwa inawezekana kama mzazi kuwajibishwa kwa kosa alilofanya mtoto wangu. Hali iko hivi: hapa mtaani kuna mzee fulani anasema anataka kunipeleka kwenye vyombo vya sheria kwa sababu binti yangu alivunja kioo cha gari yake. Walikuwa...
  10. maigajr

    JamiiForums Tanzania *HII ISSUE YA GOOGLE PIXEL NA IPHONE IMEKAAJE?*

    Wadau, hivi hii IMEKAAJE ...Nina google pixel, nikiweka status video mtu mwenye iphone kwake haifunguki,na hata ukimtumia video haifunguki kwake. Tupeane ujuzi
  11. Faana

    JamiiForums Tanzania Kwa wataalam wa lugha hii imekaaje

    Sina maneno nimeona hii statement nikashangaa kiingereza cha siku hizi Hamisi Kigwangala anawezaje kuwa "..her" soma hapa chini Hamisi Kigwangalla is astonished by this confidence. Hamisi Kigwangalla handed her smartphone to Jenerali Ulimwengu, who then signed up for the project at...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Updates Ajira za Ualimu (Hii imekaaje Wadau??)

  13. B

    JamiiForums Tanzania Wanandoa hii imekaaje?

    Ewe mwanaume nisawa umepata likizo kazini ukaenda kwenu ukamucha mkeo Mjamzito Afya yake sio nzuri sana na watoto wadogo?? Hii imekaaje?
  14. B

    JamiiForums Tanzania Biashara ya vifaa vya music kama subwoofeers kubwa na ndogo kwa Dar es Salaam imekaaje?

    Naulizia mwenyeji ujuzi wa biashara ya subwoofeer kubwa na ndogo imekaaje kimzunguko wa fedha kwa DSM
  15. M

    JamiiForums Tanzania Je, hii imekaaje?

    Kama kuna Mtaalam wa Afya anisaidie hivi kwamfano mtu akipima na akakuta anamimba halafu baada ya siku ya hedhi akatokwa na damu kwa siku moja tu kisha akaenda hospital kuangalia. Akaambiwa ujauzito umetoka japo akipima kipimo cha mkojo kinaonyesha ana mimba ila ultrasound inasema mimba...
  16. smttz

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje wana jukwaa....??

    Tumepokea taarifa kutoka kwa mwajiri, siku ya jumatatu kila mtumishi wa sehemu hiyo, afike na kadi/ kitambulisho cha mpiga kura na asiyefanya hivyo taarifa za muhusika zifikishwe kwa muajiri. Swali fikirishi mantiki ya kushikiza hivyo,inatokana na nini?
  17. kesho kutwa

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Hii imekaaje? Anaenionganishia dili anauhitaji kuliko hata mimi! Cheki sms yake.

    "kaka vp ule mpango mbona kimya au nimuumganishie mwingine?" Hata maisha ya kuonganishiana michongo ya kazi inaharufu ya utapeli. Of course jamaa ni kweli mzee wa madili lakini the way anayo tuma sms inanistua kuona anataka kunivuna vya mfukoni mwangu. Je, umewahi kukumbana na kisanga cha...
  18. EstherSaid

    JamiiForums Tanzania Kwa uchunguzi wangu binafsi nmegundua Kuna field na kujitolea. Hii Kwani imekaaje jamani?

    Me naumia kuona watu waliosoma katika mazingira ya shida, ada za shida pia kwa sababu ya mazingira kutokuwa rafiki wanaishia kupata alama za kwenda diploma..mfano diploma ya ualimu. Then anamaliza badala ya kupata ajira direct anapo apply anakwama kwa sababu mbali mbali...kwanza kupata ajira...
  19. Denis Gregory

    JamiiForums Tanzania Ukiota ndoto umefariki ina maana gani?

    Uhali gani kwa muda huu unaosoma post hii. Nafurahi kushare nawe njozii hii ya utata kidogo Nisiku kadhaa zilizo pita toka nilipoota njozi nisiyoielewa kwamba mimi ni marehemu Maana yake nini au inausina na nini Tafadhali kama unafaamu naomba unijulishe
  20. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Kisheria hii imekaaje?

    Wakuu Mimi umri wangu ni miaka 44 mpaka nafikia umri huu sijabahatika kupata mtoto wa ndoa zaidi ya kubambikiwa watoto wa nje ya ndoa, Mimi ni mjasiriamali japo pia ni mtumishi serikali katika idara ya afya, nilichelewa kuowa kutokana Na ugumu wa maisha niliokuwa nao. Mwaka jana mwezi wa...
Back
Top Bottom