Wananchi wana imani na Rais Samia, hii inaonekana kwa jinsi wanavyohudhuria kwa wingi mikutano yake

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
2,102
2,718
Wanaosema wananchi wana mashaka na Rais hawasemi kweli. Rais Samia alikwenda Mwanza juzi,watu wengi wamehudhuria mikutano yake. Na CCM wanatazama yote hii. Wanaona jinsi watu walivyokuwa na imani na Samia. Ile mikutano wanakuwepo watu wa CCM wengi,lakini wapo wengi ambao wanaongozana nao ambao siyo CCM. Na CCM wanafurahi kuwaona watu wengi wanaongozana nao kwena kwenye hii mikutano,ama sivyo wanaweza kulazimika kumsimamisha kazi Rais.
Wananchi hawajaonyesha kukata tamaa kuhusu huyu Rais,kwa hiyo hakuna sababu ya haya manung'uniko kuendelea.
Kama wananchi hawajaonyesha upinzani kwa maneno yao,au kwa matendo yao,Rais ina maana ni Rais halali.
Nilikuwa ndani ya daladsla doku mika,nadhani nilikuwa nakwenda Mbagala. Hii ilikuwa 2015 wakati wa Kampeni za Uchafuzi. Yule dereva wa daladala alikuwa anasema,"Tazama 'landscape'ilivyobadilika. Mtu alieondoka nchini miaka michache iliyopita,akirudi,ataona maendeleo makubwa sana. Lakini nilikuwa natazama katika mtandao wa kijamii,kila mtu pale alikuwa anampinga rais. Hii inasababishwa na nini?"
(Of course,yule mtu illiterate hakusema 'landscape'but I think you get my meaning). JF siyo measure ya nani anapendwa na wananchi.
 
Wanaosema wananchi wana mashaka na Rais hawasemi kweli. Rais Samia alikwenda Mwanza juzi,watu wengi wamehudhuria mikutano yake. Na CCM wanatazama yote hii. Wanaona jinsi watu walivyokuwa na imani na Samia. Ile mikutano wanakuwepo watu wa CCM wengi,lakini wapo wengi ambao wanaongozana nao ambao siyo CCM. Na CCM wanafurahi kuwaona watu wengi wanaongozana nao kwena kwenye hii mikutano,ama sivyo wanaweza kulazimika kumsimamisha kazi Rais.
Wananchi hawajaonyesha kukata tamaa kuhusu huyu Rais,kwa hiyo hakuna sababu ya haya manung'uniko kuendelea.
Kama wananchi hawajaonyesha upinzani kwa maneno yao,au kwa matendo yao,Rais ina maana ni Rais halali.
Kwanini mnamuingiza chaka kiasi hiki? Mbona mwenyewe anaona hali ilivyo? Sasa hivi kila sifa anayomwagiwa anaiangalia kwa makini sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeye mwenyewe kaishakatia tamaa urais ni vile ni ngumu kuachia madaraka kwa binadamu yoyote
 
Wanaosema wananchi wana mashaka na Rais hawasemi kweli. Rais Samia alikwenda Mwanza juzi,watu wengi wamehudhuria mikutano yake. Na CCM wanatazama yote hii. Wanaona jinsi watu walivyokuwa na imani na Samia. Ile mikutano wanakuwepo watu wa CCM wengi,lakini wapo wengi ambao wanaongozana nao ambao siyo CCM. Na CCM wanafurahi kuwaona watu wengi wanaongozana nao kwena kwenye hii mikutano,ama sivyo wanaweza kulazimika kumsimamisha kazi Rais.
Wananchi hawajaonyesha kukata tamaa kuhusu huyu Rais,kwa hiyo hakuna sababu ya haya manung'uniko kuendelea.
Kama wananchi hawajaonyesha upinzani kwa maneno yao,au kwa matendo yao,Rais ina maana ni Rais halali.
Ukweli Usemwe. politically speaking, up to this moment there is still no alternative patriotic political leader within or outside the ruling party can challenge and win her except herself
 
FB_IMG_1688370058936.jpg
 
Sasa hivi CCM is suffering from indigestion inayosababishwa na wananchi kuukataa Mkataba huu wa bandari. Tokea tupate Uhuru hatujashuhudia Serikali inalaumiwa namna hii.
 
Hata Dr. Shika alijaza watu... kumuona...

Huyo Mwizi raia yeyote atataka kumuona tumestushwa na msaliti
 
Back
Top Bottom